Nyumbani » 16/07/2013 Entries posted on “Julai 16th, 2013”

Ban amteua abdoulaye Mar Dieye wa Senegal kuwa mkuu wa UNDP Afrika

Kusikiliza / Abdoulaye Mar Dieye (2 kutoka kushoto) akiwa Sudan Kusini

      Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon, amemteua Bwana Abdoulaye Mar Dieye wa Senegal kuwa Msimamizi Msaidizi na Mkurugenzi Mkuu wa ofisi ya Afrika ya Mpango wa Maendeleo katika Umoja wa Mataifa, UNDP. Bwana Dieye atamrithi Bwana Tegegnework Gettu, ambaye amechukua wadhfa mpya wa Naibu wa Katibu Mkuu wa masuala ya [...]

16/07/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

UNHCR yazitaka nchi majirani kufungua mipaka kuwapokea wakimbizi wa Syria

Kusikiliza / UNHCR

Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa wakimbizi António Guterres amezitaka nchi kufungua mipaka kwa ajili ya wakimbizi wa Sryia kuvuka huku pia akonya hatua za haraka lazima zichukuliwe kupunguza hatari ya ukosefu wa amani kwa nchi jirani. Akiwahutubia wajumbe wa baraza la usalama kwa njia ya video kutoka mjini Geneva , Gutteres ametaka nchi [...]

16/07/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Baraza la Usalama lakutana kuhusu hali ya kibinadamu Syria

Kusikiliza / Baraza la Usalama

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, leo limekutana kujadili hali Mashariki ya Kati, ambapo pia limesikiliza taarifa za wakuu wa mashirika ya huduma za kibinadamu katika Umoja wa Mataifa, Antonio Guterrs wa UNHCR na Valerie Amos wa OCHA, pamoja na Msaidizi wa Katibu Mkuu kuhusu haki za binadamu, Ivan Simonovic. Joshua Mmali ana maelezo [...]

16/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UM watoa dola milioni 172 kwa ajili misaada ya dharura katika maeneo yalopuuzwa

Kusikiliza / Valerie Amos

Mratibu Mkuu wa masuala ya kibinadamu katika Umoja wa Mataifa, Valerie Amos, ametangaza leo kutolewa kwa dola milioni 72 kwa huduma za kibinadamu katika jumla ya nchi 12 duniani zenye mizozo ilopuuzwa. Kiwango hiki kipya cha fedha kinafanya jumla ya fedha zilizotengwa na mfuko wa CERF kwa ajili ya huduma za dharura katika maeneo yenye uhaba [...]

16/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mjumbe maalum wa UM apongeza kuondolewa kikosi cha kulinda mpaka nchini Myanmar

Kusikiliza / Tomás Ojea Quintana

  Mjumbe maalum wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya kibinadamu nchini Myanmar Tomas Ojea Quintana ameunga mkono kuondolewa kwa kikosi cha kulinda mpaka kinachofahamika kama Nasaka kinachoendesha shughuli zake kwenye jimbo la Rakhine.Mjumbe huyo maaalum ametaka utawala wa Myanmar kufanya uchunguzi na kuwachukua wale waliohusika kwenye ukiukaji wa haki za binadamu. [...]

16/07/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Namibia na Angola zakabiliwa na ukame :UNICEF

Kusikiliza / Namibia na Angola zakabiliwa na ukame

Namibia na Angola zinakabiliwa na ukame unaotishia usalama wa chakula  na kuathiri watoto katika pande zote za mipaka ya nchi hizo. Japo dharura hii iko katika hatua za mwanzo lakini hali inatarajiwa kuzorota.Grace Kaneiya anafanunua zaidi.(TAARIFA YA GRACE) Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na watoto UNICEF linasaka uungwaji mkono toka Jumuiya ya Kimataifa kwa [...]

16/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Wakimbizi wa DRC wana wakati mgumu:UNHCR

Kusikiliza / Wakimbizi wa DRC walioko Uganda

Mashirika ya misaada ya Umoja wa Mataifa yanaonya juu ya hali mbaya ya kibinadamu Magharibi mwa Uganda ambapo juhudi za kuwafidhi sehemu salama maelfu ya wakimbizi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo , DRC wakati huu ambapoa juhudi za kuwahifadhi sehemu salama wakimbizi hao zinafanywa.Taarifa zaidi na George Njogopa(TAARIFA YA GEORGE) Shirika la Umoja wa [...]

16/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Wasudan Kusini waliokwama mpakani wawasili Juba:IOM

Kusikiliza / Wakimbizi wa Sudan/picha ya faili

Raia wa Sudan 978 waliokuwa wakirejea nyumbani na kukwama kwenye mji wa Renk mpakani wamewalisi Juba Jumanne kwa msafara ulioandaliwa na shirika la kimataifa la uhamiaji IOM.Tishali nne zilizobeba watu hao na mizigo yao ziliondoka Rwnk Renk jimbo la Upper Nile tarehe 30 Juni wametumia wiki mbili hadi kuwasili Juba wakipumzika katika miji ya Melut, [...]

16/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mkurugenzi mkuu wa UNESCO ataka kuchukuliwa hatua za kulindwa maeneo ya kitamaduni nchini Syria

Kusikiliza / Crac des Chevaliers, Syria

Mkurugenzi mkuu wa Shirika la elimu ,sayansi na utamaduni la Umoja wa Mataifa UNESCO ameelezea mshangao wake kutokana na ripoti za kuharibiwa kwa maeneo zaidi ya kitamaduni nchini Syriabaada ya vyombo vya habari kuripoti uharibufu kwenye eneo la kitamaduni la Crac des Chevaliers. Maeneo hayo ni mfano wa mijengo iliyojengwa kati ya karne ya 11 [...]

16/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031