Nyumbani » 15/07/2013 Entries posted on “Julai 15th, 2013”

Wataalamu wa haki za kibinadamu wa UM wamekaribisha msamaha wa kifalme, Cambodia

Kusikiliza / Ramana ya Cambodia

Mratibu  Maalum wa Umoja wa Mataifa wa Ripoti juu ya hali ya haki za binadamu  Cambodia, Surya P. Subedi, amekaribisha leo  kupewa msamaha wa kifalme kiongozi wa upinzani Sam Rainsy, wa Cambodia  kabla ya uchaguzi utakaofanyika tarehe 28 Julai 2013. Sam Rainsy,ambaye ni kiongozi wa chama cha ukoaji  wa Cambodia alitiwa hatiana January 2010 kwa [...]

15/07/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

MONUSCO yatahadharisha sintofahamu DRC

Kusikiliza / monusco 1

Walinzi wa amani wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo DRC, wako katika tahadhari kubwa na tayari kutumia nguvu kuwalinda raia wa Goma dhidi ya mashambulizi ya kundi la waasi wa M23. Kaimu mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini DRC Moustapha Soumaré amezitaka pande zinazokinzana kusitisha mapigano akisema [...]

15/07/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Somalia yaanza kufaidi matunda ya amani

Kusikiliza / Vijana wacheza mpira wa kikapu

Baada ya vikosi vya jeshi la Somalia kwa kushirikiana na vile vya muungano wa Afrika AMISOM, kuwaondoa wapiganaji wa kundi la kigaidi la Alshabaab katika maeneo mengi ya miji na vijiji nchini humo, shughuli za kijamii ikiwemo michezo imerejea. Mathalani hivi sasa vijana nchini Somalia wanapata fursa ya kushiriki katika mchezo wa mpira wa kikapu [...]

15/07/2013 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Lowassa achambua Malengo ya Milenia.

Kusikiliza / Waziri Mkuu mstaafu Lowassa na Msami wa idhaa hii

Shirika la Un foundation wiki iliyopita liliandaa mkutano uliojadili tathmini ya utekelezaji wa maendeleo ya milenia pamoja na nini kifanyike baada ya ukomo wake mwaka 2015. Hoja iliyogubika mkutano huo ilikuwa nafasi ya wazee katika malengo hayo yanayoelekea ukingoni na mapendekezo kuhusu mkakati wa maendeleo baada ya 2015. Miongoni mwa walioalikwa kushiriki mjadala huo ni [...]

15/07/2013 | Jamii: Mahojiano | Kusoma Zaidi »

Afya barani Afrika itasaidia kuinua ukuaji wa uchumi:UNAIDS

Kusikiliza / Aids Africa

Ripoti iliyozinduliwa leo kwenye mkutano maalumu wa Muungano wa Afrika na kuhusu ukimwi, kifua kikuu na malaria imetanabaisha kwamba kuongeza fedha katika matumizi ya sekta za afya ni msingi muhimu katika ukuaji wa uchumi na maendeleo katika bara la Afrika. Ripoti hiyo iitwayo "Abuja+12:uandaaji wa mustakhbali wa afya Afrika" imechapishwa na Muungano wa Afrika kwa [...]

15/07/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Ban aishukuru Ufaransa kwa mchango wake katika kulinda amani

Kusikiliza / Katibu Mkuu apokelewa na waziri Mkuu wa Ufaransa

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ameishukuru serikali ya Ufaransa kwa mchango wake muhimu na kwa kujitolea kwake ili kuleta amani, usalama, maendeleo kwa watu waMali. Joshua Mmali na maelezo Zaidi.(RIPOTI YA JOSHUA MMALI) Ban ambaye leo amehitimisha ziara yake nchini Ufaransa ameyasema hayo alipokutana na Rais wa nchi hiyo bwana Hollande  (CLIP [...]

15/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

ILO na Uingereza kuwalinda wasichana na wanawake dhidi ya utumwa

Kusikiliza / ILO na Uingereza wazindua mradi wa kulinda wasichana

Mradi mpya wa kusaidia kuwalinda wasichana na wanawake takribani 100,000 dhidi ya mfumo mbaya kabisa wa usafirishaji haramu wa watu kwa ajili ya kufanya kazi zisizostahili baraniasiaumezinduliwa hii leo.Mradi huo utaendeshjwa na kitengo cha maendeleo ya kimataifa cha serikali ya Uingereza na shirika la kazi duniani ILO. Serikali ya Uingereza inawekeza pauni milioni 9.75 katika [...]

15/07/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Uhamiaji una faida na changamoto ambazo tunapaswa kukabiliana nazo: Vuk

Kusikiliza / Vuk Jeremic

Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Vuk Jeremic, amesema uhamiaji ni suala la kuwepo daima katika historia ya mwanadamu, na hivyo kuzitaka nchi wanachama kujumuisha suala la uhamiaji katika mijadala yao kuhusu jinsi ya kupunguza pengo la kitofauti baina ya nchi tajiri na nchi maskini. Bwana Jeremic amesema kwa miaka mingi, watu wamekuwa [...]

15/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Umoja wa Mataifa walaani shambulizi dhidi ya walinda amani nchini Sudan

Kusikiliza / Baraza la Usalama lalaani mashambulizi dhidi ya walinda amani, Sudan

Wanachama wa baraza la usalama la Umoja wa Mataifa  wamelaani vikali shambulizi lililofanywa na watu wasiojulika dhidi ya kikosi cha pamoja cha Umoja wa Mataifa na Muungano wa Afrika UNAMID,  kusini mwa jimbo la Darfur nchini Sudan mwishoni mwa juma wakati kikipiga doria.Kwenye shambulizi hilo walinda amani saba kutokaTanzaniawaliuawa  huku wengine 16 wakijeruhiwa. Wanachama hao [...]

15/07/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Mashirika ya kutoa misaada yaongeza huduma zake eneo la Pibor

Kusikiliza / Mashirika ya kutoa misaada yafika Pibor

Wakati hayo yakijiri makundi ya vijana waliojihami wamekabiliana  kwenye maeneo tofauti ya nchi . Zaidi ya majeruhi 200 kwenye makabiliano hayo wamesafirishwa  kupewa matibabu na ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini UNMISS. Umoja wa Mataifa kupitia huduma zake za anga pamoja na shirika la afya duniani WHO wanakagua eneo la Menyapol ili kuweza [...]

15/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UNHCR yatoa msaada wa dharura kwa raia wa DRC 66,000 walokimbilia Uganda

Kusikiliza / Wakimbizi waliokimbilia Uganda

Shirika la Kuhudumia Wakimbizi katika Umoja wa Mataifa, UNHCR, linatoa msaada wa dharura unaojumuisha makazi, blanketi na vifaa vingine muhimu kwa wakimbizi wa DRC wapatao 66,00, ambao wamekimbilia Uganda kufuatia kuzuka mapigano siku tano zilizopita. Watu hao walianza kukimbia kufuatia kundi la waasi la ADF kutoka Uganda kuuvamia mji wa Kamango ulioko mashariki mwa Jamhuri [...]

15/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Elimu bado changamoto kwa wafugaji: Lowassa

Kusikiliza / Elimu kwa jamii ya wafugaji ni changamoto

Siku chache baada ya Umoja wa Mataifa kutangaza July 12 kuwa siku ya Malala duniani ambapo elimu kwa mtoto wa kike itaangaziwa, Waziri Mkuu ms taafu wa Tanzania Edward Lowassa amesema bado elimu ya mtoto wa kike ni changamoto nchini humo hususani kwa jamii ya wafugaji. Katika mahojiano maalum na idhaa ya Kiswahili ya radio [...]

15/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Tanzania yataka kujadiliana na UM kuhusu vikosi vya UNAMID

Kusikiliza / Shambulio dhidi ya UNAMID lawauwa askari saba

Serikali ya Tanzania imesema kuwa itaanza majadiliano ya Umoja na Mataifa ili kurekebisha kipengele kinachohusu vikosi vya ulinzi wa amani vilivyoko katika jimbo la Darfur nchini Sudan.Tanzania inataka vikosi hivyo vipewe mamlaka za kutumia nguvu ya ziada kupambana na makundi ya waasi ambayo yanavuruga ustawi wa eneohilo.(George Njogopa na taarifa zaidi) Hatua ya Tanzania kutaka [...]

15/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031