Nyumbani » 14/07/2013 Entries posted on “Julai 14th, 2013”

Walinda amani saba wa Kitanzania wa UNAMID wauawa na wengine 17 wajeruhiwaDarfur:

Kusikiliza / Walinda amani wa UNAMID

Walinda amani saba wa Kitanzania wa mpango wa Umoja wa Mataifa na Muungano wa Afrika wa kulinda amani Darfur UNAMID wameuawa na mtu asiyejulikana katika puruikshani mjini Darfur, Sudan, kwa mujibu wa taarifa ya msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon. Katibu Mkuu ameghadhabishwa baada ya kupokea taarifa ya shambulio hilo lililotokea [...]

14/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UNAIDS yajipanga kuwafikia wenye virusi vya ukimwi duniani

Kusikiliza / UNAIDSbig

Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na Ukimwi , UNAIDS, limezindua mkakati mpya wa kuwafikiwa watu milioni kumi na tano duniani wanaotumia dawa za kurefusha maisha baada ya ifikapo mwaka 2015. Lengo hilo ambalo liliwekwa na nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa mwaka 2011 lilikusudia kuzipa nchi na washirika njia za vitendo na nadharia katika [...]

14/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Oktoba 2017
T N T K J M P
« sep    
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031