Nyumbani » 12/07/2013 Entries posted on “Julai 12th, 2013”

Matarajio yetu ni ulimwengu ambako kila mimba inatakiwa:UM

Kusikiliza / Mama na mtoto

Siku ya Idadi ya Watu Duniani huadhimishwa kila mwaka mnamo tarehe 11 Julai. Mwaka huu, kauli mbiu ya siku hiyo ambayo imeadhimishwa wiki hii imekuwa: mimba miongoni mwa wasichana wadogo. Takriban wasichana milioni 16 chini ya umri wa miaka 18 hujifungua mamba kila mwaka, huku wengine milioni 3.2 wakitoa mimba kwa njia zisizo salama. Wengi [...]

12/07/2013 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Kwenye Siku ya Malala Duniani vijana waunga kampeni ya Elimu Kwanza

Kusikiliza / Maadhimisho ya siku ya Malala

Katika kuadhimisha Siku ya Malala Duniani kwa mara ya kwanza mnamo tarehe 12 Julai, vijana mia moja kutoka kote duniani wamekusanyika kwenye Umoja wa Mataifa na kulitwaa jukwaa la ukumbi wa Baraza la Usalama. Vijana hao, ambao wameshuhudia na kumsikiliza mtoto Malala akilihutubia Baraza la Usalama, wamebadilishana pia mawazo kuhusu jinsi ya kuliendesha gurudumu la [...]

12/07/2013 | Jamii: Mahojiano | Kusoma Zaidi »

Ging awavulia kofia wafanyikazi wa misaada ya kibinadamu

Kusikiliza / John Ging OCHA

Mkurugenzi wa Ofisi ya Masuala ya Misaada katika Umoja wa Mataifa, OCHA John Ging, amewapa heshima wafanyikazi wa misaada ya kibinadamu Somalia na kutoa wito wa uwekezaji mkubwa ili kuvunja mzunguko wa migogoro nchini humo, mwishoni mwa ziara ya siku mbili Mogadishu na Nairobi Ijumaa. Ging ameelani mashambulizi yalopelekea kupoteza kwa maisha katika kituo cha [...]

12/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ruhusuni raia na wafanyakazi wa misaada Homs na Aleppo: Pillay

Kusikiliza / Kamishna Mkuu wa haki za binadamu, UM Navi Pillay

"Tuna wasiwasi mkuu kufuatia kuendela kwa ghasia katika maeneo ya Homs na Aleppo na athari za kibinadamu na haki za binadamu kwa watu wa kawaida'' Hiyo ni kauli ya Kamishna Mkuu wa haki za binadamu katika Umoja wa Mataifa Navi Pillay akizungumzia machafuko nchini Syria ambapo amesema watu kiasi cha 2,500 wako ndani ya Homs [...]

12/07/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Elimu ya watoto wa kike yapigiwa debe!

Kusikiliza / Watoto wa shule

Watoto wa kike wamekuwa wakinyimwa fursa za elimu sehemu mbalimbali duniani kutokana na sababu nyingi mojawapo ikiwa ni utamaduni na umaskini . Katika makala hii Joseph Msami anamulika tatizo hilo wakati huu ambapo mtoto mwanaharakati wa elimu Malala Yousfzai ambaye alipigwa risasi mwaka jana na wanamgambo wa Taliban kutokana na msimamo wake wa kutetea bayana [...]

12/07/2013 | Jamii: Mahojiano | Kusoma Zaidi »

Pillay ataka haki ya faragha iheshimiwe akiongea kuhusu Snowden

Kusikiliza / Navi Pillay

Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu katika Umoja wa Mataifa, Navi Pillay, amesema hali ya raia wa Marekani, Edward Snowden na madai ya ukiukwaji wa haki ya faragha uliotekelezwa na mifumo ya ujasusi inazua masuala kadhaa muhimu kuhusu haki za binadamu za kimataifa.Bi Pillay amesema, ingawa masuala ya usalama wa kimataifa na uhalifu yanaweza kuhalalisha [...]

12/07/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Angelique Kidjo ampa ujumbe mzito Malala

Kusikiliza / Kidjo

Mwanamuziki mashuhuri na mwanaharati wa haki za wanawake Angelique Kidjo amekutana na mtoto mwanaharakti Malala Yousfzai ambaye ameadhimisha miaka kumi na sita leo na kumtaka kuendeleza harakati zake katika kufikia dunia katika swala la elimu kwa watoto wa kike. Akongea muda mfupi baada ya kuhudhuria hafla maalua makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New [...]

12/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Cousin kuzuru Mataifa manne barani Afrika:WFP

Kusikiliza / Ertharin Cousin, WFP

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la chakula duniani Ertharin Cousin anatarajiwa kuanza safari yake ya siku kumi ya nchi nne Afrika kesho.Taarifa ya George Njogopa inafafanua.(RIPOTI YA GEORGE) Ratiba ya safari yake inaonyesha ataanzia nchini Zimbabwe ambako atatembelea hospitali moja ambayo WFP inatoa huduma ikiwemo chakula kwa wagonjwa wa kifua kikuu na wale wenye vrusi vya [...]

12/07/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Hakuna mtoto anayepaswa kufa kwa sababu ya kwenda shule:Ban

Kusikiliza / Maadhimisho ya siku ya Malala

Mwakilishi Maalum wa masuala ya elimu katika Umoja wa Mataifa, Gordon Brown, amewashukuru familia ya Malala na madaktari ambao wamemwezesha Malala kuishi na kutekeleza yale ambayo wataliban walitaka asitekeleze. Bwana Brown amesema siku ya leo sio tu ya kusherehekea kuzaliwa kwa Malala na kunusurika kwake, bali ni siku ya kusherehekea mtazamo na ndoto yake: (SAUTI [...]

12/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Siku ya Malala ni siku ya kila mmoja ambaye amepaazia sauti haki zake:Malala

Kusikiliza / Malala Yousafzai

Leo imetangazwa rasmi kuwa Siku ya Malala Duniani, na hapa kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa, kumefanyika hafla maalum, ambako amekaribishwa na kuongea mtoto wa Kipakistani, Malala Yousafzai, ambaye alinusurika kifo baada ya kushambuliwa na wanamgambo wa kitaliban mnamo Oktoba 9, mwaka 2012, wakipinga msimamo wake wa kutetea haki ya elimu ya watoto wasichana [...]

12/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

IOM kuwasaidia wahamaji kwa hospitali inayozunguka

Kusikiliza / IOM waanza hospitali zinazozunguka Puntland

Shirika la uhamiaji duniani IOM kwa kushirikiana na wizara ya afya ya Puntland imeanza kuwanufaisha raia elfu kumi wa waliohamai eneo liitwalo Jowle lililoko nje ya mji.Mradi huo unaotegemea hospitali inayozunguka inatoa huduma za afya zaamsingi kwa familia zilizopoteza makazi kama vile ishe, magonjwa yanayoambukiza na  kinga. Jumbe Omari Jumbe ni bmsemaji wa IOM na [...]

12/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UNHCR yasema kuwa hali imeboreka kwenye kituo cha wahamiaji katika kisiwa cha Manus

Kusikiliza / UNHCR logo

Shirika la kuhudmia wakimbizi la Umoja wa Mataiafa UNHCR limetoa ripoti yake ya pili kuhusu kituo kilicho kwenye kisiwa cha Manus nchini papua New Guinea ambacho kwa sasa kinawahifadhi watafuta hifadhi 250 waliopelekwa huko na Australia kuandikishwa. Jason Nyakundi anaripoti. (TAARIFA YA JASON NYAKUNDI) Ripoti hiyo inatokana na matekeo ya kundi moja la Shirika la [...]

12/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Elimu kwa watoto wa kike ni haki sio hiari:Brown

Kusikiliza / Gordon Brown na KM Ban ki-Moon

Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika elimu kimataifa Gordon Brown amesema ni muhimu serikali na wale wenye misimamo mikali wakatambua na kutekeleza elimu kwa watoto wa kike kama haki ya msingi nasio kitu cha hiari. Akiongea mjini New York muda mchache kabla ya maadhimishio ya miaka 16 ya mtoto Malala Yousfzai [...]

12/07/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Jamii nzima ya CAR imeathirika na mgogoro:Valarie Amos

Kusikiliza / bangui

Mratibu wa masuala ya kijamii na misaada ya dharura OCHA Bi Valarie Amos ambaye yuko ziarani Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) ameonya kwamba mgogoro wa kisiasa umeathiri taifa zima . Bi Amos na mwenzie kutoka Jumuiya ya Muungano wa Ulaya wameitaka serikali ya Jamhuri ya Afrika ya Kati, kurejesha mara moja utawala wa sheria [...]

12/07/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

UNESCO yapigia debe elimu kwa watoto wa kike

Kusikiliza / Elimu ya mtoto wa kike yapigiwa debe

Katika kuadhimisha miaka kumi na sita ya mtoto mwanaharakati wa elimu Malala Yousfzai ambaye alijeruhiwa kwa risasi na watalibani huko Pakistani mwezi Oktoba mwaka jana kutokana na msimamo wake wa kutetea bayana elimu kwa mtoto wa kike shirika la Umoja wa Mataifa la elimu, sayansi, na utamaduni UNESCO, limetaka kuwepo kwa fursa za elimu kwa [...]

12/07/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031