Nyumbani » 10/07/2013 Entries posted on “Julai 10th, 2013”

Wakimbizi wa Somalia walioko Kenya kurejeshwa makwao

Kusikiliza / Emmanuel Nyabera, msemaji wa UNHCR,Kenya

Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Umoja wa matifa la wakimbizi UNHCR Antonio Guterres yuko nchini Kenya ambapo pamoja na mambo mengine amefanya mazungumzo na maafisa wa serikali ya nchi hiyo kuhusu namna ya kuwezesha kuwarejesha makwao kwa hiari wakimbizi wa Somalia walioko Kenya kufuatia kile alichosema kuimarika kwa amani nchini Somalia.Yafuatayo ni mahojioano kati ya [...]

10/07/2013 | Jamii: Mahojiano | Kusoma Zaidi »

Gaye awasili CAR, kuongoza BINUCA

Kusikiliza / Babacar Gaye

Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kati Babacar Gaye amewaasili nchini humo tayari kuanza kazi hiyo akiwa ni mkuu wa ujumbe wa Umoja wa Matifa wa kujenga amani nchini humo, BINUCA. Katika mkutano na waandishi wa habari mjini Bangui Bwana Gaye amethibitisha uteuzi uliofanywa na Katibu Mkuu wa Umoja [...]

10/07/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Ban amteuwa Phumzile Mlambo-Ngcuka wa Afrika Kusini kuwa mkuu wa UN Women

Kusikiliza / Phumzile Mlambo-Ngcuka

Kufuatia ushauriano na nchi wanachama, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon, ametangaza leo kuteuliwa kwa Phumzile Mlambo-Ngcuka wa Afrika Kusini kama Mkurugenzi Mkuu wa kitengo cha Umoja wa Mataifa kinachohusika na kuendeleza usawa wa kijinsia na kuwawezesha wanawake, UN Women. Bi Mlambo-Ngcuka anachukuwa nafasi ya Bi Michelle Bachelet. Bwana Ban ameelezea shukrani zake [...]

10/07/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Baraza la Usalama lajadili Lebanon na hali Afrika Magharibi

Kusikiliza / Baraza la Uslama

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, leo limeyataka makundi yanayozozana nchini Syria kuheshimu sera ya taifa la Lebanon ya kutotaka kuhusika kwa vyovyote vile katika mzozo huo. Baraza hilo pia limepokea ripoti ya Katibu Mkuu kuhusu hali Afrika Magharibi. Joshua Mmali ana maelezo zaidi (RIPOTI YA JOSHUA MMALI)

10/07/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Kila nchi ni lazima ichukue hatua za kupiga marufuku matangazo na ufadhili wa bidhaa za tumbaku:WHO

Kusikiliza / no-smoking

Takriban mataifa 24 kote duniani yamepiga marufu matangazo ya bidhaa za tumbaku na ufadhili wake kwa mujibu wa Shirika la afya duniani WHO. Flora nducha na taarifa kamili. (PKG YA FLORA NDUCHA) Kubuniwa kwa maneo yasiyo na moshi wa sigara ni moja ya hatua zilizochukuliwa na nchi 32 kwa kupiga marufuku uvutaji wa sigara maeneo [...]

10/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Marufuku ya matumizi ya virusi vya sotoka kwa ajili ya utafiti imeondolewa:FAO

Kusikiliza / Marufuku ya kutumia virusi kwa utafiti vimeondolea

Marufuku iliyowekwa dhidi ya matumizi ya virusi hai vya sotoka kwa ajili ya utafiti imetolewa na shirika la chakula na kilimo FAO,kamainavyobaini ripoti iliyoandaliwa na Jason Nyakundi.  (Taarifa zaidi na Jaison Nyakundi) Amri hiyo ilitolewa kufuatia kutekelezwa kwa azimio mnamo tarehe mosi mwezi Mei mwaka 2011 na wanachama wa Shirika la linalohusika na afya ya [...]

10/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mkuu wa UNHCR yu ziarani nchini Kenya:

Kusikiliza / Moja ya kambi inayowahifadhi wakimbizi Kenya

Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Umoja wa matifa la wakimbizi UNHCR Antonio Guterres yuko nchini Kenya ambapo pamoja na mambo mengine amefanya mazungumzo na maafisa wa serikali ya nchi hiyo kuhusu namna ya kuwezesha kuwarejesha makwao kwa hiari wakimbizi wa Somalia walioko Kenya kufuatia kile alichosema kuimarika kwa amani nchini Somalia.Emanuel Nyabera ni msemajiwa UNHCR [...]

10/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mtaalamu wa UM kwenda Madagascar kuchunguza biashara ya ngono kwa watoto

Kusikiliza / Najat Maalla M'Jid

Mtaalamu huru wa Umoja wa Mataifa Najat Maalla M'jid anatazamiwa kwenda nchini Madagascar kwa ajili ya kuendesha uchunguzi kuhusiana na ongezeko la biashara kuuza watoto na masuala ya kingono.Ziara hiyo imepangwa kuanza kufanyika Julai 15 hadi 26 mwaka huu. Hii itakuwa ni ziara ya kwanza kwa mtaalamu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na masuala ya [...]

10/07/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Urusi yadai makundi ya upinzani Syria yalitumia silaha za kemikali

Kusikiliza / Vitaly Churkin

Mwakilishi wa kudumu wa Urusi kwenye Umoja wa Mataifa, Vitaly Churkin, amewaambia waandishi wa habari mjini New York kuwa anaamini makundi ya upinzani yalojihami nchini Syria yametumia silaha za kemikali Bwana Churkin amerejelea ripoti ya serikali ya Syria mapema mwaka huu iloyashutumu makundi ya upinzani kuwa yalirusha makombora yalojazwa gesi karibu na eneo la Khan [...]

10/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UNCTAD yazindua ripoti ya uwekezaji huku nchi za Afrika zikifanya vizuri

Kusikiliza / unctad_logo_copy

Shirika la Umoja wa Mataifa la biashara na viwanda UNCTAD, leo limetangaza ripoti ya hali ya uwekezaji ya dunia kwa mwaka 2013, huku nchi za Afrika zikichomoza kwa kuvutia wawekezaji wengi, wakati nchi zilizoendelea zikiendelea kujikongoja kutokana na athari ya mtikisiko wa uchumi wa mwakan2009. Taarifa kamili na George Njogopa Ripoti hiyo ambayo hutolewa kila [...]

10/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031