Nyumbani » 05/07/2013 Entries posted on “Julai 5th, 2013”

Tanzania mbioni kuendeleza lishe bora

Kusikiliza / Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete

Tanzania inatajwa kuwa miongoni mwa nchi kumi duniani ambazo zinakabiliwa na tatizo la watoto wengi kudumaa, kunakoelezwa kuwa kunasababishwa na ukosefu wa lishe bora wakati mtoto akiwa angali tumboni mwa mamake, na hata baada ya kuzaliwa. Kwa kutambua ukubwa wa tatizo hilo, hivi karibuni kumezinduliwa kampeni maalum nchini humo, ambayo inahamasisha umma umuhimu wa kuzingatia [...]

05/07/2013 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Ladsous , Chambas wafanya ziara Sudan

Kusikiliza / Herve Ladsous

Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika opersheni za kulinda amani Hervé Ladsous akiambatana na mwakilishi wa pamoja wa Muungano wa Afrika na Umoja wa Mataifa katika operesheni huko Darfur (UNAMID) Muhamed Ibn Chambas wametembela Sudan. Katika ziara hiyo iliyoanza July 3, Ladsous alikwenda El Daein huko katika jimbo la Darfur Mashariki ambapo [...]

05/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Bado watu wasalia kambini miaka mitatu unusu baada ya tetemeo la ardhi nchini Haiti:IOM

Kusikiliza / Kambi, Haiti

  Shirika la kimataifa la Uhamiaji IOM limetoa ripoti yake kuhusu kuhama kwa watu nchiniHaiti  ikiwa ni miaka mitatu unusu tangu kutokea kwa tetemeko la ardhi lililosababisha uharibifu mkuwa  kwenye kisiwa hicho mwaka 2010.Ripoti hiyo inaonyesha kwa watu 279,000 wakimbizi wa ndani ambazo ni familia 71,000 bado wako kwenye kambi za wakimbizi wa ndani  na [...]

05/07/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Zaidi ya wahamiaji 8000 wameingia nchini Italia mwaka huu

Kusikiliza / UNHCR-logo4-300x257

Shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR linakadiria kuwa takriban wahamiaji 8,400 na watafuta hifadhi waliingia kwenye pwani ya Italia katika kipindi cha miezi sita ya kwanza ya mwaka huu. Jason Nyakundi anaripoti.   (TAARIFA YA JASON NYKUNDI)   Wengi wa wale waliofanya safari hii walitoka maeneo ya Kaskazini mwa Afrika hususan nchini [...]

05/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

WHO yataka vikwazo vya kuwafikia wanaohitaji msaada viondolewe Syria:

Kusikiliza /

Shirika la afya duniani WHO limetoa wito wa kutokuwepo na vikwazo vyovyote vya kuwafikia watu wnaohitaji msaada wa kibinadamu ikiwemo msaada wa madawa nchini Syria.Shirika hilo limesema hatari ya kuzuka magonjwa ya mlipuko yakiwemo yanayosababishwa na maji kama kuhara, homa ya matumbo au Typhoid, kipindupindu na hepatitis ni kubwa. Watu wanaokimbia huku na huko wanakabiliwa [...]

05/07/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Mapigano yazidi kuzua madhara makubwa kwa raia kwenye mji wa Kismayo

Kusikiliza / Mji wa Kismayo

Mapigano makali ya hivi majuzi kati ya makundi hasimu kwenye mji ulio pwani ya Somalia wa Kismayo yanaendelea kuwaathiri raia na makundi ya kutoa misaada ya kibinadamu katika eneo la Juba. Watu wote waliojeruhiwa kwenye mapigano hayo mwezi wa Juni ni watu 314 wakiwemo wanawake 15 na watoto 5 walio chini ya miaka mitano. Jumla [...]

05/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Raia walindwe Misri : Pillay

Kusikiliza / Navi PIllay

Siku mbili baada ya jeshi nichini Misri kutangaza kumwondoa madarakani rais wa Misri Muhammed Morsi, Kamishna Mkuu wa haki za binadamu katika Umoja wa Matifa Navi Pillay amezitaka pande zote nchini humo kuhakikisha haki za raia zinaheshimiwa na kulindwa wakati hali ya sintofahamu ikiwa imetanda katika taifa hilo lililoko kaskazini mwa Afrika George Njogopa na [...]

05/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Marekani, Switzerland zaipiga jeki IOM kuwanuru raia wa DRC

Kusikiliza / Wahamiaji DRC

  Juhudi zinazoendeshwa na shirika la kimataifa linalohusika na uhamiaji IOM, kwa raia wa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo waliokosa makazi, zimepata msukumo mpya kufuatia mchango wa kiasi cha dola za Marekani milioni 3 ambazo zinatazamiwa kutumika kwa ajili ya kuendesha tathmini kwa ajili ya raia hao waliokosa makazi. Kiasi hicho cha fedha [...]

05/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

FAO, WFP waonya kuhusu hali mbaya ya chakula Syria

Kusikiliza / Watoto Syria

Ripoti moja iliyotolewa na mashirika ya Umoja wa Mataifa inasema hali ya upatikanaji chakula nchini Syria ni mbaya na kwamba kunauwezekano mkubwa wa kuanguka kwa shughuli za kilimo katika kipindi cha miezi 12 ijayo. Ripoti hiyo iliyoandaliwa kwa pamoja baina ya Shirika la chakula la kilimo FAO na lile la mpango wa chakula duniani WFP, [...]

05/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UM na GRETA waungana kupambana na usafirishaji haramu wa watu Ulaya na kwingineko

Kusikiliza / Mashirika mawili kupambana na usafirishaji haramu wa watu

Wataalamu wa mashirika mawili muhimu ya kimataifa yanayopambana na usafirishaji haramu wa watu wameungana kuimarisha uwezo wa kukabiliana usafirishaji haramu wa watu barani Ulaya na kwingineko.Karibu watu milioni 21 ni wahanga wa kazi za shuruti na usafirishaji haramu wa watu duniani wakiwemo takribani watu milioni moja kwenye muungano wa Ulaya. Takwimu hizi ni kwa mujibu [...]

05/07/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Hali CAR bado ni tete, vigumu kuwafikia raia walio na hofu kubwa:UNHCR

Kusikiliza / Wengi wanakimbia mzozo, CAR

Miezi mitatu baada ya kuondolewa madarakani serikali ya Jamhuri ya Afrika ya Kati shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR limesema linatiwa hofu na hali ya wakimbizi wa ndani takribani 200,000 na wakimbizi wengine zaidi ya 20,000.Mwezi mmoja uliopita UNHCR pamoja na washirika wao wamekuwa na fursa ndogo saana ya maeneo ya Bangui [...]

05/07/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031