Nyumbani » 03/07/2013 Entries posted on “Julai 3rd, 2013”

Nafuatilia yanayoendelea Misri:Ban

Kusikiliza / Ban Ki-moon na Rais Morsy

Katibu Mkuu wa Umoha wa Mataifa Ban Ki-moon anafuatilia kwa karibu maendeleo ya haraka yanayotokea Misri kwa makini na hiofu. Amesem   hata hivyo anasiamama na matakwa ya watu wa taifahilo.  Kipindi cha mpito nchini Misri chajikuta njia panda tena kufuatia hatua ya keshi kutangaza kwamba inasitisha katiba na kumteua mkuu wa mahakama ya katiba [...]

03/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UM walaani umwagaji damu unaoendela Iraq

Kusikiliza / Martin Kobler

Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mtaifa nchini Iraq Martin Kobler amelaani shambulio lililogarimu maisha ya watu kadhaa jana nchini humo.   Amesema mashambulio hayo makubwa ya kigaidi kwa mara nyingine yalilenga raia wasio na hatia wanaofanya kazi zao za kila siku, kujenga mustakabali mwema kwao na watoto wao katika mazingira tete.   [...]

03/07/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

UNOCI yalaani shambulio dhidi ya msafara wa wapokonya silaha Ivory Coast:

Kusikiliza / Cote d'ivoire

Mpango wa Umoja wa mataifa wa kulinda amani nchini Ivory Coast Jumanne umelaani vikali shambulio dhidi ya msafara wa wapokonyaji silaha uliokuwa umemmbeba mkuu wa kitaifa wa mpango huu na kutia wito kwamba wote waliohusika na shambulio hilo wafikishwe kwenye mkono wa sheria. Mpango wa (UNOCI) "umeitaka serikali ya Ivory Coast kuchukua hatua zote ili [...]

03/07/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Watunga sera watambue mchango wa wakulima: FAO

Kusikiliza / Wakulima shambani

Ripoti mpya ya shirika la Umoja wa Mataifa la  chakula na kilimo duniani FAO inasema watunga sera wanatakiwa kutambua michango tofauti ya wakulima wadogowadogo wanapowaunganisha na masoko ili kuwawezesha kulisha watu wengi zaidi.Alice Kariuki unafafanua zaidi(RIPOTI YA ALICE KARIUKI) Ripoti hiyo imesisitiza haja ya kuwa na ushirikiano wa kibiashara kwa ajili ya kupanua soko na [...]

03/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Muafaka wafikiwa kuongeza idadi ya kutembelea familia za Sahrawi zilizotengana:

Kusikiliza / Sahara Magharibi

Mkutano uliofanyika Geneva baiana ya serikali ya Morocco, Frente Polisario, Algeria, Mauritania na shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR, umemalizika leo kwa makubaliano ya kuongeza mpango wa familia kutembelea jamii zao baiana ya wakimbizi wa Sahara Magharibi wanaoishi kwenye kambi karibu na Tindouf, Algeria, na familia zao zilizopo kwenye himaya ya Sahara [...]

03/07/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Israel iondoe vikwazo vya kusafiri Gaza: OCHA

Kusikiliza / Ombi la kuondoa vikwazo

Mratibu wa masuala ya kibinadamu katika Umoja wa Mataifa, James Rawley, ametoa wito kwa serikali ya Israel kuondoa vikwazo vya muda mrefu, ambavyo vimekuwepo kwenye ukanda wa Gaza tangu mwaka 2007.Akitaka kumulika athari za vikwazo hivi kwa maisha ya watu, Bwana Rawlye aliongoza ziara ya ujumbe wa mashirika ya kutoa huduma za kibinadamu na wawakilishi [...]

03/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mjumbe wa AU akutana na rais wa Somalia pamoja na waziri mkuu

Kusikiliza / Mahamat Saleh Annadif

Mjumbe maalum wa Muungano wa nchi Afrika nchini Somalia balozi mahamat Saleh Annadif hii leo amemtembelea rais wa Somalia Hassan Sheikh Mahamud pamoja na waziri mkuu wa nchi hiyo Abdi Farah Shirdoon.Wote hao walizungumzia masuala kadha zikiwemo ghasia zilizoshuhudiwa hivi majuzi mjini kismayo. Mjumbe huyo pamoja na rais walijadili njia za kumaliza taabu za watu [...]

03/07/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Uhamiaji na maendeleo kumulikwa Geneva

Kusikiliza / IOM katika shughuli ya uhamiaji

Mkutano kuhusu uhamiaji umeanza mjini Geneva ambapo uhamaiaji na maendeleao unatarajiwa kumulikwa. Mkutano huo ulioko chini ya kundi la kimataifa la uhamiaji GMC, unahusisha mashirika kadhaa ya Umoja wa Mataifa  yakiwemo  mfuko wa Umoja wa Mataifa wa idadi ya watu UNFPA na lile la Mpango wa chakula WFP chini ya uenyekiti wa shirika la uhamiaji [...]

03/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi cha kati ya mwaka 2001 na 2010 kilirekodi viwango vya juu zaidi vya joto:WMO

Kusikiliza / Ukame Afrika

  Ulimwengu ulishuhudia athari nyingi zinazotokana na mabadiliko ya hali ya hewa kati ya mwaka 2001 – 2010 ambao ulikuwa ni mwongo wenye joto zaidi tangu kuanza kunakilikiwa kwa viwango vjoto mwaka 1850 kwa kujibu wa ripoti mpya kutoka kwa shirika la utabiri wa hali ya hewa duniani WMO. Jason Nyakundi na taarifa kamili. (RIPOTI [...]

03/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Uhamishiaji wa teknoljia Afrika waangaziwa katika mkutano wa ECOSOC

Kusikiliza / ECOSOC

Mkutano wa Baraza la masuala ya kiuchumi na kijamii katika Umoja wa Mataifa, ECOSOC unaendelea mjini Geneva, Uswisi, ambapo mada kuu ya majadiliano hii leo imekuwa ni ushirikiano wa kimataifa katika kuendeleza, kuhamishia na kupanua matumizi ya teknolojia barani Afrika. Joseph Msami na taarifa kamili(TAARIFA YA JOSEPH MSAMI) Kikao hicho kuhusu utekelezaji kimesikiliza taarifa za [...]

03/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UM wataka rais Mosri kutopuuza kilio cha wananchi

Kusikiliza / Rais wa Misri Mohamed Morsi

Ofisi ya Umoja wa Mataifa juu ya haki za binadamu imemtaka rais wa Misri Mohamed Morsi kutoyapuuza madai ya wananchi ambao wanaendesha maandamano wakiulalamikia utawala wake badala imemtaka kuwasilikiliza. George Njogopa na taarifa kamili.(TAARIFA YA GEORGE) Kwa mujibu wa msemaji wa tume hiyo ya haki za binadamu Rupert Colville, Ofisi hiyo inaendelea kufuatilia kwa karibu [...]

03/07/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031