Nyumbani » 02/07/2013 Entries posted on “Julai 2nd, 2013”

Cameroon imeendeleza haki za binadamu lakini bado kuna upungufu: Pillay

Kusikiliza / Navi Pillay

Mkuu wa ofisi ya haki za binadamu katika Umoja wa Mataifa, Navi Pillay, amesema tathmini ya ukaguzi ulofaywa nchini Cameroon imeonyesha nchi hiyo kupiga hatua katika kuimarisha haki za binadamu. Hata hivyo, Bi Pillay ambaye amekamilisha ziara yake nchini humo amesema bado kuna hali zinazosikitisha, kama vile dhuluma dhidi ya wanawake, kuwatelekeza waandishi wa habari, [...]

02/07/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Watoto ndio wanaoathirika zaidi na hali kuzorota CAR: UNICEF

Kusikiliza / Watoto ndio wanaathirika zaidi CAR

Hali ya kibinadamu kwa watoto katika Jamhuri ya Afrika ya Kati imezidi kuwa mbaya tangu serikali ya kijeshi kuingia mamlakani nchini humo, kwa mujibu wa tathmini zilizofanywa na Shirika la Kuhudumia Watoto katika Umoja wa Mataifa, UNICEF.Tathmini hizo zinaonyesha kuwa watoto kati na magharibi mwa nchi hiyo ndio waloathirika zaidi. Utoaji wa huduma za afya [...]

02/07/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Wanawake wako katika hatari kubwa ya ukatili unaohusiana na silaha:

Kusikiliza / Wanawake ndio waathirika wakubwa wa ukatili utokanao na silaha

Wanawake ndio idadi kubwa ya waathirika wanaouawa a, kujeruhiwa au kukabiliwa na vitisho vya silaha majumbani kwa mujibu wa utafiti wa karibuni wa silaha ndogo ndogo duniani.Takwimu kutoka mataifa 111 zinaonyesha kwamba wanawake takribani 66,000 wanauawa kikatili kila mwaka kwa silaha huku idadi kubwa ya vifo ikitokea majumbani na vikitekelezwa na wepenzi wao wa sasa [...]

02/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Hatua zilizopigwa Afghanistan zapaswa kutunzwa: Jan Eliasson

Kusikiliza / Jan Eliasson

Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Yan Eliasson, ambaye yuko ziarani nchini Afghanistan, amesema nchi hiyo imepiga hatua za kuridhisha katika kipindi cha mwongo mmoja uliopita, na ambazo zinapaswa kutunzwa. Joshua Mmali ana taarifa kamili (TAARIFA YA JOSHUA MMALI) Bwana Eliasson ambaye ameuzuru mji mkuu wa Kabul na kutembelea jimbo la Kandahar, amewaambia waandishi [...]

02/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ofisi ya haki za binadamu inafuatilia hali nchini Misri:

Kusikiliza / Rupert Colville

Ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa uimesema inafuatilia kwa karibu hali tete inayoendelea nchini Misri na kuwaahidi watu wa taifa hilo kuwa waashikamana nao na wako tayari kuwasaidia. Flora Nducha na taarifa kamili(RIPOTI YA FLORA NDUCHA) Kwa mujibu wa ofisi hiyo tangu kuzuka kwa maandamano mara ya kwanza Januari 2011 nchini humo [...]

02/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UNHCR yakaribisha hatua ya serikali ya Pakistan kuendelea kuwapa hadhi wakimbizi wa Afghanistan

Kusikiliza / UNHCR

Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na wakimbizi UHNCR limetoa taarifa likikaribisha hatua ya serikali ya Pakistan ya kurudia tena ahadi yake ya kuendelea kutoa hifadhi ya ulinzi kwa zaidi wa wakimbizi milioni 1.6 kutoka Afghanistan.Waziri mpya wa Pakistan juu ya masula ya serikali na mstari wa mbele Abdul Qadir Baloch, amekutana na ujumbe wa [...]

02/07/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

UM: Ongezeko la kasi la watu mijini ni tishio kwa maendeleo endelevu

Kusikiliza / Mji

Utafiti mmoja  ulioendeshwa na Umoja wa Mataifa kupitia kitendo chake cha Uchumi na Jamii umeonyesha  kuwepo haja ya kuanzisha mikakati mipya ili kukabiliana na changamoto la watu wengi kuhamia mijini kunakochangia na mambo mbalimbali ikiwemo mahitaji ya nishati ya umeme, maji, huduma za umma na elimu.George Njogopa anaripoti (RIPOTI YA GEORGE NJOGOPA) Kwa mujibu wa [...]

02/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Amri ya rais Obama ya kupambana na uwindaji haramu yapokelewa na kamati husika

Kusikiliza / Ndovu

Kamati inayohusika na vita dhidi ya biashara ya wanyamapori walio kwenye hatari ya kuangamia imekaribisha amri iliyotolewa na rais wa Marekani Barack Obama ya kutaka kuchukuliwa kwa hatua za kimataifa za kuzuia biashara haramu ya wanyamapori . Alice Kariuki na taarifa zaidi.(RIPOTI YA ALICE KARIUKI) Amri hiyo inahusu kubuniwa kwa jopo kazi la rais kuhusu [...]

02/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UNHCR yahamisha shughuli zake kutoka kusini mwa Tunisia kwenda mijini

Kusikiliza / UNHCR latoa huduma kwa wakimbizi, Tunisia

Shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa limekamilisha shughuli za utoaji huduma kwa watu kutoka kambi ya Choucha iliyo kusini mwa Tunisia na kwenda  kwa maeneo yaliyo karibu na miji. Hadi mwishoni mwa mwezi Juni zaidi ya wakimbizi 600 walikuwa wakiishi kwenye miji iliyo kusini nchini Tunisia ya Ben Gardane na Medenine. Idadi ya watu [...]

02/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031