Nyumbani » 01/07/2013 Entries posted on “Julai 1st, 2013”

UNAMID imejikita katika kumaliza mzozo Darfur

Kusikiliza / Meja Jenerali Kisamba

Ikiwa ni takribani muongo mmoja wa mapigano katika jimbo la Darfur nchini Sudan kati ya serikali na waasi imeelezwa kuwa mazungumzo baina ya pande zinazokinzana ndio muarubaini mzozo huo uliodumu kwa muda mrefu. Katika mahojiano maalum na mwandishi wa idhaa ya kiswahili ya radio ya Umoja wa Mataifa Asumpta Massoi, kaimu kamanda wa kikosi cha [...]

01/07/2013 | Jamii: Mahojiano | Kusoma Zaidi »

Mawaziri wataka juhudi zaidi kulinda dunia dhidi ya nyuklia

Kusikiliza / nuclear

Wakati mkutano wa kimataifa kuhusu usalama wa nyuklia ukiwa umeanza mjini Vienna Austria mawaziri husika katika mkutano huo wamesema licha ya hatua zilizopigwa katika usalama dhidi ya nyuklia katika miaka ya hivi karibuni, hatua zaidi zinahitajika kulinda dunia dhidi ya tishio la ugaidi wa nyukilia na vitendo vyote vinavyohusisha nyukilia.   Tamko la mawaziri hao [...]

01/07/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Kenya, Global Fund na UNAIDS zashirikiana kupambana na HIV, TB na malaria

Kusikiliza / Michel Sidibe

  Katika ziara ya pamoja, mkuu wa kitengo cha masuala ya HIV na UKIMWI katika Umoja wa Mataifa, Michel Sidibe na mkuu wa hazina ya kimataifa ya kupambana na UKIMWI, kifua kikuu na malaria, Mark Dybul, wameonyesha ishara ya ushirikiano wa dhati katika kupiga vita magonjwa ya kuambukiza, yakiwemo HIV na kifua kikuu. Wakuu hao [...]

01/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ukanda wa Afrika wapiga hatua utekelezaji MDG: Ban

Kusikiliza / Watoto shuleni Africa

  Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon amesema ukanda wa kusini mwa jangwa la Sahara umepiga hatua yakinifu katika kutekeleza malengo ya mendeleo hayo hususani katika elimu, afya, mapambano dhidi ya malaria na kifua kikuu. Kama inavyofafanua taarifa ya Jason Nyakundi (SAUTI YA JASON NYAKUNDI) Malengo manane ya milenia yalohusu ufukara, njaa, [...]

01/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Malengo ya Maendeleo ya Milenia yapiga hatua kubwa: Ban

Kusikiliza / Ban Ki-moon

Katibu Mkuu wa Umoja wa  Mataifa Ban Ki Moon amesema wakati ukomo wa maendeleo ya milenia mwaka 2015 unapokaribia ni wazi kwamba utekelezaji wa malengo hayo unaridhisha licha ya changamoto zilizosalia.(Taarifa zaidi na Geroge Njogopa) Akizindua ripoti kuhusu malengo ya maendekeo ya mallenia mjiniGeneva, Ban Ki-moon amesema kuwa kumekuwa hatua kubwa zilizopigwa na kutolea mfano [...]

01/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ushirikiano kati ya Serikali na waasi ndio suluhu kwa mzozo Darfur:UNAMID

Kusikiliza / Meja Jenerali Kisamba

Hali ya Usalama Darfur bado ni tete kwa sababu ya mzozo kati ya serikali na waasi, mizozo baina ya makabila nayo ni changamoto lakini mazungumzo yatakayojumuisha pande zote ndio njia pekee ambayo itaweza kuleta suluhu ya kudumu katika kutokomeza mzozo ambao umeshuhudiwa Darfur nchini Sudan kwa karibu miaka kumi .Grece Kaneiya na taarifa zaidi(RIPOTI YA [...]

01/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ofisi ya ujumbe wa MINUSMA yafunguliwa rasmi nchini Mali

Kusikiliza / Bert Koenders

Hafla ya kuhamishwa kwa mamlaka kutoka kwa vikosi vya kimataifa vya kusaidia nchi ya Mali chini ya Uongozi wa Waafrika, (MISMA) hadi kwa ujumbe mpya wa Umoja wa Mataifa wa kuweka utulivu nchini humo, MINUSMA, imefanyika leo mjini Bamako, na hivyo kuanza rasmi operesheni za walinda amani nchini Mali. Joshua Mmali na taarifa kamili (TAARIFA [...]

01/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mkutano wa kimataifa kuhusu usalama wa nyuklia waanza Vienna:IAEA

Kusikiliza / Yukiya Amano

Mkurugenzi mkuu wa shirika la kimataifa la nguvu za atomic IAEA , Yukiya Amano, leo amefungua mkutano wa kimataifa wa usalama wa nyuklia mjini Vienna kwenye makao makuu ya IAEA. Mkutano huo wa siku tano umewaleta pamoja washiriki 1300, wakiwemo mawaziri 34 kutoka nchi 120 na mashirika ya20 ya kimataifa na kikanda. Mkutano huo unatarajiwa [...]

01/07/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Mpango wa Marekani na Urusi ni ya mzozo wa Syria: Ban

Kusikiliza / KM Ban Ki-moon

  Juhudi za Marekani na Urusi kuzileta pamoja pande mbili zinazopigana kwenye meza ya mazungumzo ndio suluhu ya kudumu itakayoleta amani na kuokaoa maoisha, amesema katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon. Akongea mjini Geneva Bwana Ban amesema ingawa kuna hatua zilizofikiwa katika mkutano wa kimataifa kuhusu Syria kumekuwa na vikwazo ikiwamo ushiriki [...]

01/07/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mienendo ya idadi ya watu ni fursa nzuri kwa bara Ulaya , Marekani na Asia :UM

Kusikiliza / unece-logo

Hali ya sasa ya mienendo ya idadi ya watu barani Ulaya, Marekani na Asia ya Kati ni kama fursa na wala si tisho kwa mujibu wa mashirika ya Umoja wa Mataifa yakiwemo lile la mfuko wa idadi ya watu na tume ya uchumi ya Umoja wa Mataifa kuhusu uchumi barani Ulaya UNECE kwenye mkutano uliong'oa [...]

01/07/2013 | Jamii: Habari za wiki, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Idadi ya watu wanaotumia madawa ya kufubaza nguvu za ukimwi imeongezeka-UM

Kusikiliza / aids meds

Zaidi ya watu milioni 10 wanaishi na virusi vya Ukimwi wameripotiwa kufikiwa na madawa yanayotumika kufubaza ukali wa virusi hivyo, ripoti ya Umoja wa Mataifa imesema na kuongeza kuwa hali hiyo ilishuhudiwa katika kipindi cha mwaka uliopita 2012. Ripoti hiyo iliyoandaliwa kwa ushirikiano wa pamoja baina ya shirika la afya ulimwenguni WHO, lile linalohusika na [...]

01/07/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Ripoti mpya ya ITU yaonyesha umuhimu wa mipango ya kitaifa ya vihamisha-data

Kusikiliza / Mitambo ya mtandao

Nchi ambazo zimeweka mikakati ya kina ya kihamisha-data kasi, au broadband, zinafanya vyema zaidi kuliko zile ambazo hazijaitilia maanani njia hii ya mawasiliano.Hayo ni kwa mujibu wa ripoti mpya ilotolewa na Shirika la Kimataifa la Mawasiliano, ITU, Tume ya Kihamishadata kwa maendeleo ya dijitali na kampuni inayounda mitambo ya mitandao ya mawasiliano, Cisco. Kulingana na [...]

01/07/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031