Mji wa Kaesong nchini Korea Kaskazini watajwa kuwa mji wa kihistoria

Kusikiliza /

Sanamu ya Kim-iL-Sung, mjini Kaesong

Mji wa kihistoria waKaesong ulio nchini Korea Kaskazini  umetamngazwa kuwa mji wa kihistoria  wakati Umoja wa Mataifa unopoendelea kutathimini maajabu ya kiasili na kitamaduni kote duniani.Kamati ya masuala ya kitamaduni kwenye shirika la elimu , sayansi na utamabudini la Umoja wa Mataifa UNESCO hii leo iliidhinisha mji huo kwenye mkutano unaondelea nchiniCambodiakutokana na umuhimu wake kwenye masuala ya kisiasa, kitamaduni na kidini katika historia ya eneohilo.

Kamati ya masuala ya kitamaduni kwenye shirika la elimu , sayansi na utamabudini la Umoja wa Mataifa UNESCO hii leo iliidhinisha mji huo kwenye mkutano unaondekea nchiniCambodiakutokana na umuhimu wake kwenye masuala ya kisiasa, kitamaduni na kidini katika historia ya eneohilo.

Mji waKaesonguna sehemu 12 zxikwemo ikulu , kuta za kujikinga maeneo ya utabiri wa hali ya hewa na sehemu zingine nyingi. Haya yote yanaashiri kuhusu utawala wa Koryo  uliokuwa madarakani kati ya karne ya 918 na 1392.

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2017
T N T K J M P
« dis    
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
3031