Balozi Mahiga azungumzia Afrika na utatuzi wa migogoro

Kusikiliza /

Augustine Mahiga

Hatimaye muda wa huduma ya Ofisi ya kisiasa ya Umoja wa Mataifa kuhusu Somalia, UNPOS, umemalizika na kuanzia Jumatatu, Juni 3, ujumbe mpya wa Umoja wa Mataifa wa kuisaidia Somalia, UNSOM, utaanza majukumu yake.Balozi Augustine Mahiga ambaye aliongoza UNPOS amesema ulikuwa ni uzoefu wa kipekee na anashukuru kuwa ameweze kusongesha mchakato wa kisiasa hadi hivi sasa nchini Somalia tayari kuna serikali na bunge. Kazi inayoendelezwa hivi sasa ni kuweka taasisi na miundombinu mingine.

Katika sehemu hii ya mwisho ya mahojiano kati ya Balozi Mahiga na Assumpta Massoi wa Idhaa hii, pamoja na kuzungumzia hatma yake anazungumzia kile ambacho angaliweza kufanya bora zaidi.

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Febuari 2017
T N T K J M P
« jan    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728