Nyumbani » 23/06/2013 Entries posted on “Juni 23rd, 2013”

Ban awapa heko wafanyakazi wa umma

Kusikiliza / Katibu Mkuu Ban Ki-moon

Kukabiliana na changamoto za sasa kunahitaji sera za umma za mtazamo wa mbele na mifumo yenye uwazi, na uwajibikaji, na ambayo inazingatia ujumuishaji wa watu maskini zaidi na wanyonge zaidi.Huo ndio ujumbe wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon kwenye Siku ya Umoja wa Mataifa ya Wafanyakazi wa Umma, ambayo huadhimishwa mnamo Juni [...]

23/06/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Wajane wanastahili maisha yenye hadhi na wasibaguliwe: UM

Kusikiliza / Lakshmi Puri

Jumuiya ya kimataifa imetakiwa kuchagiza harakati za kutokomeza vitendo vyote vya ubaguzi na unyanyapaa vinavyokabili wajane duniani wakati huu ambapo inakadiriwa kuna wajane Milioni 115 ulimwenguni wakiishi katika maisha ya dhiki. Kaimu Mkuu wa shirika la masuala ya wananake la Umoja wa Mataifa, UN-Women, Lakshmi Puri ametoa kauli hiyo katika ujumbe wake wa siku ya [...]

23/06/2013 | Jamii: Habari za wiki, Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031