Nyumbani » 19/06/2013 Entries posted on “Juni 19th, 2013”

Baraza la usalama lashutumu shambulio Somalia, lasema ni la kigaidi

Kusikiliza / Balozi Lyall Grant

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeshutumu shambulio la kigaidi lililotokea Jumatano asubuhi nchini Somalia ambalo tayari kikundi cha kigaidi cha Al Shabaab kimedai kuhusika nalo. Rais wa Baraza la Usalama kwa mwezi huu wa Juni Balozi Lyall Grant, kutoka Uingereza amesema kwa pamoja wajumbe wamesifu kitendo cha ujasiri cha ujumbe wa umoja wa [...]

19/06/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mahitaji ya wakimbizi kote ulimwenguni yanapaswa kuzingatiwa:WFP

Kusikiliza / Bamako, Mali

Kwa zaidi ya miaka miwili, ulimwengu umeshuhudia mamailioni ya wasyria wakikimbia  makwao, kukimbia ghasia huku wakitafuata usalama, na hiyo ni kauli ya Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula WFP katika kuadhimisha siku ya wakimbizi duniani juni 20. George Njogopa na taarifa kamili.(TAARIFA YA GEORGE) Familia nyingi zimejikuta zikilazimika kuhama zaidi ya mara [...]

19/06/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

UNAIDS na Lancet kuangazia mjadala wa afya ulimwenguni baada ya 2015

Kusikiliza / UNAIDS na Lancet kushirikiana kuendeleza masuala ya afya

Katika kuhakikisha ajenda ya afya inaangaziwa ipasavyo baada ya ukomo wa malengo ya  maendeleo ya milenia 2015. Shirika la umoja wa mataifa linalohusika na maswala ya ukimwi UNAIDS na lancet, limetangaza majina ya makamishna ambao watakua wakishirikiana katika suala la ugonjwa wa virusi vya ukimwi na afya kwa ujumla Alice Kariuki anaripoti.(RIPOTI YA ALICE KARIUKI) Zaidi ya makamishna [...]

19/06/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Baraza la usalama lajadili uzuiaji migogoro na rasilimali

Kusikiliza / Baraza la Usalama

Mkutano wa leo wa Baraza la Usalama umeangazia uimarishaji wa amani na usalama wa kimataifa, hususan kuzuia mizozo na maliya asili. Joshua Mmali ana maelezo zaidi (RIPOTI YA JOSHUA MMALI)

19/06/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Watoto walio ukimbizini wakabiliwa na ndoa za mapema: UNHCR-Tanzania

Kusikiliza / Wakimbizi wa Burundi walioko Tanzania

Ripoti ya mwelekeo wa wakimbizi duniani kwa mwaka 2012 imetaja Tanzania kuwa miongoni mwa nchi zinazohifadhi idadi kubwa ya wakimbizi.Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR nchini Tanzania linasema kuwa kwa sasa wakimbizi wako katika kambi ya Nyarugusu ikiwa idadi yao ni Elfu sitini na Wanane. Bi. Joyce Mends-Cole Mkuu wa UNHCR nchini [...]

19/06/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Ban azungumzia changamoto zinazokabili walinda amani

Kusikiliza / Walinzi wa amani wanawake kutoka China

Akiwa ziarani nchini China Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon amezungumza kwa njia ya video na askari wa nchi  hiyo wanaolinda amani nchini Sudan Kusini alipotembelea kituo cha mafunzo kwa askari hao na kusema miongoni mwa changamoto kubwa za ulinzi wa amani ni kuhakikisha walinda amani wanapatiwa mafunzo ili kukabiliana na vitisho [...]

19/06/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

UNHCR yaangaza wakimbizi wa Syria walioko Jordan

Kusikiliza / Jordan yapata taswira mpya kwa mujibu wa UNHCR

Shirika la Umoja wa Mataifa la wakimbizi UNHCR limeangaza maisha ya wakimbizi wa Syria walioko Jordan kwa kuwajengea nyumba maalum ambazo pamoja na kuongeza ulinzi zinawapatia wakimbizi faragha. Ungana na Joseph Msami katika makala hii inayofafanua namna wakimbizi wa Syria walivyonufaika na mpango huu

19/06/2013 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

AMISOM yalaani mashambulizi kwenye makao ya UM nchini Somalia

Kusikiliza / Mahamat Saleh Annadif

Mjumbe maalum wa mwenyekiti wa tume ya muungano wa Afrika nchini Somalia balozi Mahamat Saleh Annadif amekashifu vikali shambuli la kigaidi la hii leo kwenye makao ya Umoja wa Mataifa mjini Mogadishu shambulizi linaloaminika kuendeshwa na wanamgambo wa Al- Shabaab. Balozi Mahamat amepongeza hatua za haraka za kikosi cha pamoja cha Umoja wa Mataifa na [...]

19/06/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Mpiga mbizi mashuhuri Lewis Pugh ateuliwa kuwa mlezi wa UNEP wa masuala ya bahari:

Kusikiliza / Lewis Pugh

Bwana Pugh wakili wa masuala ya bahari kutoka Uingereza ni mtu wa kipekee kuwai kumaliza mbizi ndefu zaidi kwenye kila bahari ya dunia, Mwaka 2007 alipiga mbizi  baharini kaskazini mwa dunia kama hamasisho kuhusu kuyeyuka kwa barafu kwenye bahari ya Arctic na mwaka 2010 akapiga mbizi kwenye ziwa mpya katika mlima Everest kutoa hamasiho kuhusu [...]

19/06/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ban awa na mazungumzo na Rais Xi Jinping wa China

Kusikiliza / Ban Ki-moon akutana na rais Xi Jinping, China

  Masuala ya uhusiano wa kimataifa, ushirikiano kati ya China na Umoja wa Mataifa hasa katika kukabiliana na changamoto duniani hivi sasa ni miongoni mwa mambo yaliyojadiliwa wakati wa mazungumzo kati ya Katibu Mkuu Ban Ki-Moon na Rais Xi Jinping wa China huko Beijing, ambako Bwana Ban yuko ziarani. Taarifa ya Assumpta Massoi inafafanua zaidi. [...]

19/06/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mwakilishi wa UM Somalia alaani shambulio dhidi ya UM Moghadishu:

Kusikiliza / Nicholas Kay

Mwakilishi maalumu wa Umoja wa mataifa nchiniSomaliana mkuu wa UNSOM Nicholas Kay amelaani vikali shambulio dhidi ya maskani ya Umoja wa Mataifa mjini Moghadishu.Mapema leo asubuhi marira ya saa 11:30 saa zaSomaliapickup iliyosheheni mabomu ililipuka kwenye lango kuu la maskani ya Umoja wa Mataifa na washambuliaji wakaingia kwa mkuu katika ofisi hizo.  Majibishano ya risasi [...]

19/06/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mamilioni ya watu walazimika kuhama makwao mwaka 2012:UNHCR

Kusikiliza / Wakimbizi wa Syria

Zaidi ya watu milioni 7.6 walilazimika kuhama makwao mwaka 2012 kwa mujibu wa Shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR. Jason Nyakundi anaripoti. (RIPOTI YA JASON NYAKUNDI) UNHCR inasema kuwa watu milioni 1.1 walilazima kuhama mataifayaokama wakimbizi huku watu milioni 6.5 wakilazimika kuwa wakimbizi wa ndani, ndani ya nchi zao. UNHCR inasema kuwa [...]

19/06/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Pillay aitaka Myanmar kukomesha vitendo vya kibaguzi

Kusikiliza / Navi Pillay

Mkuu wa tume ya Umoja wa Mataifa juu ya haki za binadamu Navi Pillay ameitolea mwito serikali ya Myanmar kuhakikisha kwamba inaendelea kupambana na vitendo vya ubaguzi vinavyojitokeza kwenye maeneo ya kikabila na imani ya kuabudu. Pillay amesema kuwa kumekuwa na ongezeko la ubaguzi kwa makundi machache ya watu ambao wanabaguliwa kutokana na makabila yao [...]

19/06/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930