Nyumbani » 18/06/2013 Entries posted on “Juni 18th, 2013”

Ban akaribisha kutiwa saini mkataba wa amani Mali

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, amekaribisha kusainiwa kwa mktaba wa amani baina ya serikali ya Mali, Kundi la Azawad na Baraza la Umoja wa Azawad leo Juni 18 mjini Ouagadougou, Burkina Faso. Miongoni mwa vipengee vya mkataba huo, ni kutaka mapigano yasitishwe mara moja, kuweka njia ya kufanya uchaguzi wa urais kote [...]

18/06/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mgogoro wa Syria udhibitiwe usivuke mpaka: UNHCR

Kusikiliza / Watoto wa Syria walio ukimbizini Lebanon

Kamishna Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR, António Guterres ameanza ziara ya kuadhimisha siku ya wakimbizi duniani kwa kutembelea wakimbizi waSyriawaliokoLebanonpamoja na viongozi wa nchi hiyo inayohudumia maelfu ya wakimbizi waSyria. Katika ziara yake hiyo Bwana Guterres amesisitiza umuhimu mkuu wa kuendelea kuisaidia wakimbizi pamoja na nchi na jumuiya zianzowasaidia [...]

18/06/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Koenders akaribisha utiwaji saini makubaliano nchini Mali.

Kusikiliza / Albert  Koenders

Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Mali aliye pia Mkuu wa Ujumbe wa kuimarisha amani nchini humo MINUSMA Albert  Koenders amekaribisha utiwaji saini wa makubaliano ya awali ya uchaguzi wa rais na mazungumzo ya amani kati ya serikali ya Mali,  chama cha National Movement for the Liberation of Azawad (MNLA) na [...]

18/06/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Uganda hupoteza Trilioni 1.8 kila mwaka kutokana na utapiamlo:WFP

Kusikiliza / Utapiamlo huathiri nguvukazi inayojitaka kwenye kilimo

Uganda imekuwa ikipoteza kiasi cha shilingi Trilioni 1.8 sawa na dola za Marekani Milioni 899 kila mwaka katika pato lake jumla la ndani kutokana na matatizo ya utapiamlo. Alice Kariuki anaarifu. (RIPOTI YA ALICE KARIUKI) Utafiti huo uliendeshwa kwa ushirikiano wa pamoja baina ya serikali ya Uganda, Kamishna ya mashirikino kwa maendeleo kwa bara la [...]

18/06/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Baraza la Usalama lajadili hali nchini Libya

Kusikiliza / Baraza la usalama

      Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, leo limekutana kujadili hali nchini Libya. Joshua Mmali amekuwa akifuatilia mambo katika Baraza hilo.  (TAARIFA YA JOSHUA MMALI)  Changamoto za kisiasa na kiusalama zinazoikabili Libya sasa hivi huenda zikawa ni matokeo ya miongo ya uongozi wa kiimla, kutokuwepo taasisi imara za kitaifa, pamoja na hali [...]

18/06/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Hungary inataka kubinya uhuru wa vyombo vya maamuzi: Pillay

Kusikiliza / Ofisi ya Haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa

Mkuu wa Tume ya Umoja wa Mataifa ya haki za binadamu Navi Pillay leo ameitolea mwito serikali ya Hungary kusitisha mara moja mfululizo wa matukio ya urekebishwaji wa katiba, matukio ambayo yanashutumiwa vikali na jumuiya za kimataifa kwa maelezo kuwa yanabinya uhuru wa kikatiba. Wito huo umekuja katika wakati ambapo baraza la ushauri barani Ulaya [...]

18/06/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Ban ziarani China, kukutana na Rais Xi Jinping kesho

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa UM Ban Ki-Moon katika mazungumzo na watendaji wakuu wa kampuni nchini China

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon amewasili nchiniChinaambako tayari ameshakuwa na mazungumzo na kundi la watendaji wa kampuni za kichina ambazo ni sehemu ya mtandao wa kampuni zinazoshirikiana na Umoja huo. Mazungumzoyaoyalijikita katika maendeleo endelevu na mabadiliko ya hali ya hewa. Habari zinasema kesho Bwana Ban atakutana na Rais Xi Jinping na waziri [...]

18/06/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ujerumani yaipa WFP euro milioni 15 kusaidia wakimbizi wa Syria:

Kusikiliza / wakimbizi wa Syria walioko nchini Uturuki

Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula WFP limepokea mchango wa Euro milioni 15 sawa na dola milioni 20 kutoka kwa serikali ya Ujerumani ambazo zitachangia msaada wa chakula kwa maelfu ya wakimbizi wa Syria ambao wamekimbia machafuko nchini mwao. Mchango huo wa karibuni unafanya jumla ya msaada uliotolewa na Ujerumani kwa WFP [...]

18/06/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Wakimbizi waingia Cameroon na Niger kutokana na ukosefu wa Usalama Nigeria: UNHCR

Kusikiliza / Wakazi wa majimbo ya Kaskazini mwa Nigeria

Wakati hali ya usalama ikiendelea kuwa mbovu katika majimbo ya kaskazini mashariki mwaNigeria  ya Adamawa, Borno, na Yobe, ofisi za Shirika la Kuhudumia Wakmbizi katika Umoja wa Mataifa, UNHCR zinaripoti kuwasili kwa wakimbizi zaidi nchiniNiger, na  sasa pia nchini Cameroon. George Njogopa anaripoti (RIPOTI YA GEORGE NJOGOPA) Nchini Cameroon, timu ya maafisa hao wa UNHCR [...]

18/06/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Muungano wa mabunge wahofia hali DRC: IPU

Kusikiliza / ipu

Muungano wa wabunge IPU umeelezea hisia zake kutokana na hatua ya kuharamisha kitu cha mbunge wa upinzani aliye kizuizini nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo ukihofia kuwa maisha yake yaneweza kuwa hatarini. Kiti cha Diomi Ndongala na vile vya wabunge wengine wanne nchini DRC viliharamishwa tarehe 15 mwezi huu baada ya kukosa kuhudhuria vikao vya [...]

18/06/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Pillay aitaka serikali ya Uturuki na mashirika ya umma kutuliza misukosuko

Kusikiliza / Navi Pillay

Kamishina mkuu wa haki za binadamu kwenye Umoja wa Mataifa Navi Pillay amekaribisha uamuzi wa juma lililopita wa serikali Uturuki wa kusititisha hatua yoyote dhidi ya maandamano mjini Istabul hadi kutakapotolewa uamuzi wa mahakama na baadaye kupigwa kura ya maoni. Pillay ameishauri serikali ya Uturuki na mashirika ya umma kutumia njia ambazo hazitaleta misukosuko. Pillay [...]

18/06/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

WFP yagawa msaada wa chakula kwa wakimbizi na wanaorejea Tissi, Chad

Kusikiliza / Wakimbizi wakisubiri misaada

Shirika la mpango wa chakula duniani WFP linasema tangu mwezi Februari mwaka huu watu wamekuwa wakihama na kuvuka mpaka kutoka Sudan kuingia Chad kwenye mji wa Tissi jimbo la Sila.  Eneo hilo ni mahali ambako mipaka ya Jamhuri ya Afrika ya Kati, Sudan na Chad inakutana. Kufuatia kuongezeka kwa mapigano ya kikabila yanayoendelea katikati mwa [...]

18/06/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031