Nyumbani » 17/06/2013 Entries posted on “Juni 17th, 2013”

Malala azindua ombi la elimu, asema walioshambulia wanafunzi Pakistani ni waoga na wanahaha

Kusikiliza / watoto wa shule Pakistani

Binti wa kike aliyenusurika shambulio la bomu lililofanywa na watalibani dhidi yake na wanafunzi wengine miezi Minane iliyopita huko Pakistani amewaita walioshambula kwa mabomu wanafunzi huko Quetta, Pakistani siku ya Jumamosi kuwa ni waoga na wanahaha kuwanyima watoto wa kike haki yao ya elimu. Malala Yousfzai ambaye kwa sasa anaishiBirmingham, Uingereza ametoa kauli hiyo baada [...]

17/06/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Madhara ya ukame yanaweza kupunguzwa kwa kufuata sera madhubuti: Ban

Kusikiliza / Tangazo katika msitu wa hifadhi, Minziro nchini Tanzania

Katika siku ya kimataifa ya kutokomeza vitendo vyote ya kufanya dunia kuwa jangwa hii leo, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon ametoa ujumbe wake na kusema licha ya kwamba ni vigumu kuepusha ukame lakini hatua za makusudi zaweza kuchukuliwa ili madhara yake yakapunguzwa. Bwana Ban amesema katika kipindi cha miaka 25 iliyopita dunia [...]

17/06/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ban alaani mashambulizi dhidi ya wanafunzi wa kike nchini Pakistan

Kusikiliza / Ban Ki-Moon, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amelaani mashambulizi yaliyolenga basi moja, hospitali na jumba la kihistoria nchini Pakistan ambapo watu 20 waliuawa wengi wakiwa ni wanafunzi wa kike. Kwenye taarifa kupitia kwa msemaji wake Ban amesema kuwa  ghasia dhidi ya wanawake zimeongezeka miaka ya hivi karibuni zikiwa na lengo la kuwazuia wasichana wasihudhurie [...]

17/06/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Mnyarwanda kuongoza kikosi cha ujumbe wa UM nchini Mali

Kusikiliza / Meja Jenerali Jean-Bosco Kazura, Kamanda wa kikosi cha MINUSMA, MALI

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon amemteua Meja Jenerali Jean-Bosco Kazura kutokaRwandakuwa Kamanda wa kikosi cha ujumbe wa umoja huo cha kuweka utulivu nchiniMali, MINUSMA ulioundwa hivi karibuni. Taarifa iliyotolewa na Umoja wa Mataifa inaeleza kuwa jukumuhiloataanza tarehe Mosi mwezi ujao ambapo kwa mujibu wa azimio la Baraza la Usalama, MINUSMA itapokea rasmi [...]

17/06/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Mkurugenzi mkuu wa FAO ataka wanachama kuidhinisha bajeti ya shirika hilo

Kusikiliza / Jose Graziano-da Silva

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la kilimo na Chakula la Umoja wa Mataifa FAO José Graziano da Silva ametoa wito kwa mkutano chombo hicho kuidhinisha bajeti ya shirika hilo ili kuboresha usaidizi linalotoa kwa nchi wanachama kwa minajili ya kuafikia malengo yao ya usalama wa chakula na mengine ya kilimo. Alice Kariuki anaripoti. (RIPOTI YA ALICE [...]

17/06/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Baraza la Usalama lamulika hali ya watoto katika vita vya silaha

Kusikiliza / child-soldiers

  Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, leo limefanya kikao kuhusu hali ya watoto katika vita vya silaha, ambapo pia limepokea ripoti ya Katibu Mkuu kuhusu watoto katika katika vita, ambayo imesema hali ilikuwa mbovu hata zaidi katika kipindi cha miezi 18 ilopita, wakati mizozo mipya ilipoibuka au ile iliyopo kuenea zaidi. Akiongea wakati [...]

17/06/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Tusiache mustakhbali wetu ukauke: UM

Kusikiliza / Msitu nchini Tanzania

  Leo ni siku ya kimataifa ya kutokomeza kuenea kwa jangwa ambapo ujumbe ni kwamba usiache mustakhbali wetu ukauke, ukijikita katika misitu ambayo ndiyo inategemewa kwa uhai wa sayari hii adhimu dunia. Harakati mbali mbali zinaendelea ikiwemo kuepusha watu kukata miti hovyo kwa ajili ya mikaa na kulinda maeneo ili yasitumike kukata magogo na kadhalika. Katika [...]

17/06/2013 | Jamii: Mahojiano | Kusoma Zaidi »

Hali ya kibinadamu yazidi kuwa mbaya Yemen: UNICEF

Kusikiliza / Yemen UNICEF

Hali ya kibinadamu nchini Yemen bado inasalia kuwa mbaya hata baada ya kupigwa kwa hatua za kuleta utulivu wa kisiAsa kwa mujibu wa Shirika la kuhudumia watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF. Jason Nyakundi anaripoti. (RIPOTI YA JASON NYAKUNDI) UNICEF inasema kuwa Yemen inasalia kukumbwa na tatizo la uhaba wa chakula hali ambayo imechangia kewepo [...]

17/06/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

FAO yayatambua rasmi mataifa 38 yaliyopunguza njaa kwa asilimia 50:

Kusikiliza / FAO

Mkurugenzi mkuu wa shirika la chakula na kilimo FAO José Graziano da Silva ameyatambua rasmi mataifa 38 yaliyofannikiwa kupungua njaa kwa nusu wakati tukielekea ukomo wa malengo ya maendeleo ya milenia hapo 2015. Katika hafla maalumu iliyoghudhuriwa na wakuu wa nchi mbalimbali,nchi18 zimepokea diploma ya mafanikio ya mapema ya kufikia lengo la kkwanza la milenia [...]

17/06/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Nusu ya kambi za wakimbizi wa Kipalestina nchini Syria zimegeuka kuwa " Tamthilia ya vita"

Kusikiliza / Filipo Grandi

  Kamishna Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa kwa ajili ya wakimbizi wa Palestina UNRWA ameuambia mkutano wa wadau kuwa, wakimbizi saba wa Kipalestina kati ya 12 wamegeuka kuwa " Tamthilia ya vita" Filippo Grandi amesema kuwa vitendo kama kubakwa, kunyanyaswa, kutekwa, hofu ya maisha ikiwa sehemu ya maisha yao ya kila siku. Akizungumza [...]

17/06/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

UM wakaribisha fursa mpya kwa wakimbizi wa ndani Georgia

Kusikiliza / Chaloka Beyani

Mtaalamu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu kwa wakimbizi wa ndani, Chaloka Beyani ametaka Georgia kutumia mwelekeo jumuishi katika kushughulikia masuala ya wakimbizi wa ndani ikiwemo wale wa miaka ya 1990 na 2008 pamoja na wale ambao wamepoteza makazi kutokana na majanga ya kiasili. Kauli hiyo ameitoa mwishoni mwa ziara yake ya siku [...]

17/06/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UM walaani mashambulizi ya Iraq na kusisitiza maelewano

Martin Kobler

Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Iraq Martin Kobler amelaani vikali mashambulizi ya yaliyotokea mwishoni mwa juma nchini humo ambako makumi kadhaa ya raia wamepoteza maisha na wengine kujeruhiwa. Milio ya mabomu pamoja na mitetemo ilisikika karibu maeneo ya Kati na Kusini mwaIraqhuku ikiwaacha wanachi katika hali ya wasiwasi mkubwa. Mwakilishi huyo wa Katibu [...]

17/06/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031