Nyumbani » 13/06/2013 Entries posted on “Juni 13th, 2013”

Ubunifu wa mahema maalum wapigia upatu haki za binadamu.

Kusikiliza / Hema, Geneva

Ubunifu wa kipekee wa mahema yanayotumika kupigia upatau haki za binadamu yamezinduliwa mjini Geneva. Ni aina gani ya mahema hayo na yananini ndani yake? Ungana na Joseph Msami katika makala hii inayoajibu maswali hayo.

13/06/2013 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Baraza la haki za binadamu lataka watu wenye ulemavu wa ngozi (Alibino)walindwe:

Kusikiliza / Ulemavu wa ngozi

Baraza la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa limetoa wito kwa mataifa yote kuchukua hatua zote muhimu kuwalinda watu wenye ulemavu wa ngozi yaani alibino. Alibino ni ulemavu wa kurithi kutokana na gens ambazo zinapunguza utengenezaji chembechembe zionazotengeneza rangi ya ngozi, nywele au macho.Katika azimio lililopitishwa bila kupigiwa kura mjini Geneva Alhamisi baraza limelaani [...]

13/06/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Matumizi ya dawa mpya kutibu Kifua Kikuu sugu, Tanzania yazungumza

Kusikiliza / Kampeni dhidi ya Kifua Kikuu nchini Tanzania

Shirika la afya duniani, WHO limetoa mwongozo mpya wa muda wa tiba dhidi ya Kifua Kikuu sugu, MDR-TB duniani. Lengo ni kupunguza muda wa tiba ikilinganishwa na sasa. Miongoni mwa nchi husika ni pamoja naTanzania. Je ni lini tiba mpya hiyo itaanza?. Dokta Blasbus Njako ni Kaimu Meneja Mradi wa Kifua Kikuu na Ukoma nchini [...]

13/06/2013 | Jamii: Mahojiano | Kusoma Zaidi »

Ban alaani shambulizi kwenye mahakama kuu Kabul

Kusikiliza / KM Ban Ki-moon

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban ki-moon, amelaani vikali shambulizi la kujitoa mhanga lililotekelezwa mnamo Juni 11 mjini Kabul, karibu na jengo la mahakama kuu.Shambulizi hilo, ambalo wanamgambo wa Kitaliban wamedai kulitekeleza, liliwalenga raia, na hivyo kusababisha vifo vya yapata watu 17, na kuwajeruhi wengine 40. Katibu Mkuu amesema mashambulizi yanayowalenga raia hayakubaliki, na [...]

13/06/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

WHO yatoa muongozo wa matumizi ya dawa ya Bedaquiline kutibu Kifua Kikuu

Kusikiliza / WHO yatoa mwelekeo wa dawa mpya wa MDR-TB

Shirika la afya duniani WHO linakadiria kwamba watu takribani nusu milioni wanaambukiwa ugonjwa sugu wa kifua kikuu kila mwaka na sasa imeamua kutoa muongozo wa muda wa dawa mpya ya kukabiliana na kifua kikuu sugu iitwayo Bedaquiline. Joshua Mmali na ripoti zaidi. (TAARIFA YA JOSHUA) WHO inasema tiba ya sasa dhidi ya ugonjwa sugu wa kifua [...]

13/06/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kuna uwiano katika masoko mengi ya chakula 2013/2014:FAO

Kusikiliza / Kuna uwiano wa chakula, FAO

Shirika la chakula na kilimo FAO linasema kwa mwaka huu wa 2013/2014 kuna uwiano katika masoko mengi ya chakula na hasa kwa upande wa nafaka. Hayo yamo kwenye ripoti ya mtazamo wa masoko ya chakula iliyotolewa Alhamisi. Grace Kaneiya anaripoti(RIPOTI YA GRACE KANEIYA) Ripoti hiyo ya FAO inasema kuwa, kiwango cha usafirishaji nje bidhaa za [...]

13/06/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mwakilishi mpya wa UNSOM awasili Hargeisa Somaliland:

Kusikiliza / Nicholas Kay

Mwakilishi maalumu mpya wa wa Katibu nchini Somalia bwana Nicholas Kay amewasili mjini Hargeisa, Somaliland Alhamisi ya leo na kukutana na Rais Ahmed Mahamed Mohamud (Silaanyo)  na maafisa wengine wa uongozi wa Somaliland. Hii ni ziara ya kwanza ya bwana Kay huko Somaliland tangu alipoanza majukumu yake kama mkuu wa mpango wa wa usaidizi wa Umoja [...]

13/06/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Bila kuhusishwa mwanamke hakuna maendeleo ya anga za mbali:Tereshkova

Kusikiliza / Anga za juu

Hakuna maendeleo zaidi yatakayopatikana katika anga za mbali iwapo mwanamke hatoshirikishwa amesema Bi Valentina Treshkova katika kuadhimisha miaka 50 ya mwanamke kwenda anga za mbali. Flora Nducha anaripoti(Ripoti ya Flora Nducha) Bi Tereshkova amesema hata ndege hawezi kuruka kwa bawa moja pekee na hivyo ndivyo kwa mpango wa anga za juu iwapo utaengua wanawake, basi [...]

13/06/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Jumla ya watu 93,000 wameuawa kwenye mzozo nchini Syria

Kusikiliza / Mzozo wa Syria umepelekea maelfu kupoteza maisha,UM

Karibu watu 93,000 wameuwa nchini Syria tangu kuanza kwa mzozo wa kisoasa mwezi Machi mwaka 2011 kwa mujibu wa takwimu mpya zilizochapishwa na ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa.Zaidi ya asilimia 80 ya wale waliouawa ni wanaume lakini hata hivyo ofisi hiyo ya Umoja wa Mataifa imeripoti kuhusu kuawa kwa zaidi ya [...]

13/06/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UNHCR yazindua kampeni maalum ya siku ya wakimbizi duniani.

Kusikiliza / Vita vyatenganisha familia

Shirika la Umoja wa Mataifa la wakimbizi UNHCR, linazindua kampeni inayoonyesha madhara ya vita kenye familia iitwayo familia moja. Katika kutia nakshi kampeni hiyo wanamuziki mashuhuri kama vile Juanes kutoka Colombia, Lady Antebellum, Barbara Hendricks na mwanamitindo wa kimataifa Alek Khaled Hosseini pamoja na watu wengine nguli watashiriki katika kampeni hii kutoa wito kwa jamii [...]

13/06/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031