Nyumbani » 08/06/2013 Entries posted on “Juni 8th, 2013”

Tuyalinde mabahari, asema Ban kwenye Siku ya mabahari duniani

Kusikiliza / WOD-Logo

Katika kuadhimisha Siku ya Mabahari Duniani, leo Juni 8, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon, ametoa wito wa ushirikiano wa kuweka mawimbi mapya ya hatua za kuhakikisha mabahari endelevu kwa ajili ya watu na sayari dunia.   Bwana Ban amesema, kuanzia biashara hadi chakula na kudhibiti tabianchi, mabahari ni sehemu muhimu ya uhai [...]

08/06/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Vyombo vya habari matatani Burundi

Kusikiliza / vyombo vya habari

  Nchini Burundi, serikali imepitisha sheria mpya ya vyombo vya habari. Mengi yameibuka baada ya Rais Pierre Nkurunzinza kutia saini sheria hiyo kutokana na kile kinachoelezwa kuwa kinabana vyombo vya habari na kuweka vikwazo kwa uhuru wa kujieleza na kupata habari ambavyo ni moja ya haki za msingi za binadamu. Tayari Umoja wa mataifa kupitia [...]

08/06/2013 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031