Nyumbani » 07/06/2013 Entries posted on “Juni 7th, 2013”

Athari za mabadiliko ya tabianchi ni dhahiri na hazibagui: Ban

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon amezungumza katika chuo cha taifa cha utafiti wa masuala ya anga huko Boulder,Coloradonchini Marekani na kusema kuwa ajenda kuhusu mabadiliko ya tabianchi sasa imechukua hatua kwa kuwa madhara yake hayaongopi na hayabagui na sasa yanagusa hadi hatma ya usalama na utulivu wa nchi.  Bwana Ban amewaeleza wasomi [...]

07/06/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

UNICEF yabadili maisha ya mtoto Meshack

Kusikiliza / Mtoto mwenye mahitaji maalum

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto Unicef kwa kushirikiana na wadau mbalimbali limejikita katika kusaidia watoto na wakimbizi wenye ulemavu kwa ujumla ambapo wamebadilisha maisha ya baadhi ya wakimbizi wa ndani huko nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo kwa kutoa msaada uliowezesha kurejesha matumaini kwa walemavu hususani mtoto ambaye anamulikwa katika makala iliyoandaliwa [...]

07/06/2013 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Baraza la Usalama lasikitishwa na hali mbaya Syria, lataka iruhusu watoa huduma.

Kusikiliza / Baraza la usalama

Wajumbe wa baraza la usalama la Umoja wa Mataifa wameelezea kusikitishwa kwao na hali mbaya ya kibinadamu kufuatia mapigano makali ya hivi karibuni katika eneo la Al-Qusayr nchini Syria. Wajumbe hao wameitaka serikali ya Syriakuruhusu haraka na kwa usalama upatikanaji wa huduma za misaada stahiki ya kibinadamu ikiwamo kuwaruhusu wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa kuwafikia [...]

07/06/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

WFP na UNFPA zamulika lishe bora kwa wajawazito

Kusikiliza / WFP/UNFPA kuboresha lishe ya wanawake wajawazito

Shirikal la mpango wa chakula la Umoja wa Mataifa WFP na lile la idadi ya watu duniani, UNFPA wanazindua ushirikiano mpya wa kuboresha lishe miongoni mwa wanawake wajawazito na wale wanaonyonyesha ili kuhakikisha kizazi kijacho cha watoto kinapata makuzi mazuri. Alice Kariuki anaripoti.(RIPOTI YA ALICE KARIUKI) Mpango huu mpya unazinduliwa kabla ya kuandaliwa kwa mkutano [...]

07/06/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mwaka mmoja baada ya mapigano ya kikabila Rakhine, bado wengi wanaishi ukimbizi: UNHCR

Kusikiliza / Watu wengi bado hawana makazi

Takribani Watu Laki Moja na Elfu Arobaini bado wamepoteza makaziyaohuko jimbo la Rakhine nchini Myanmmar ikiwa ni mwaka mmoja tangu ghasia za kikabila zisababishe vifo na maelfu kukimbia makwao. Taarifa ya George Njogopa inafafanua zaidi.(TAARIFA YA GEORGE) Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR limesema kuwa liko tayari kuipiga jeki serikali yaMyanmarili kufanikisha [...]

07/06/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Umoja wa wabunge kuchunguza haki za binadamu DRC

Kusikiliza / IPU kuchunguza haki za bindamu, DRC

Kamati ya umoja wa mabunge duniani, IPU inayohusika na haki za binadamu itafanya ziara huko Jamhuri ya kidemokrasia yaCongo, DRC kuchungua madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu yanayohusu wabunge 34 wa mmoja wa zamani. Mbunge huyo wa zamani ni ambaye pia alikuwa kiongozi wa chama cha upinzani ni Pierre Jacques Chilupa ambaye alifungwa mwaka [...]

07/06/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UNHCR yachapisha utafiti wake kuhusu ukosefu wa makazi kwa wakimbizi walioko Poland, Bulgaria na Slovakia

Kusikiliza / Ripoti ya UNHCR ya ukosefu wa makazi kwa wakimbizi wengi

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UHNCR leo limechapisha tafiti tatu ambazo zimeangazia madhira wanayokumbana nayo jamii za wakimbizi waliko katika nchi za Poland, Bulgaria na Slovakia.Tafiti hizo zenye kichwa cha habari kisemacho nyumbani kwangu ni wapi? zimemulika suala la ukosefu wa makazi katika nchi hizo tatu suala ambalo limebainika kuwa ni moja [...]

07/06/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

UM na washirika wake wahitaji dola Bilioni 5.2 kusaidia wananchi wa Syria

Kusikiliza / UM na wahitaji ufadhili zaidi kusaidia waSyria

Umoja wa Mataifa na washirika wake wametangaza ombi la dola Bilioni Mbili nukta Tano, ombi ambalo ni kubwa zaidi kuwahi kutolewa kwa ajili ya wananchi wa Syria ambao bado wanakimbia makwao kutokana na mapigano yaliyodumu kwa zaidi ya miaka miwili sasa.Takwimu zaonyesha kuwa kwa wastani wasyria Elfu Saba wanakimbia nchi yao. Taarifa zaidi na Assumpta [...]

07/06/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Dola biloni moja zahitajika kuwalisha wakimbizi wa Syria

Kusikiliza / syria-appeal

Shirika la mpango wa chakula la Umoja wa Mataifa WFP linasema litahitaji dola milioni 725 zaidi kwa kipindi cha miezi sita inayokuja ili kuweza kuwahudumia mamilioni ya raia wa Syria waliolazimika kuhama makwao kutoakana na mapigano yanayoendelea nchini humo. Jason Nyakundi anaripoti. (RIPOTI YA JASON NYAKUNDI) WFP inasema kuwa tayari imetumia karibu dola milioni 300 [...]

07/06/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Burundi izingatie viwango vya kimataifa vya sheria za habari: UM

Kusikiliza / Rupert Colville

Ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa imeitaka serikali ya Burundi kupitia tena sheria yake mpya ya vyombo vya habari na kuzingatia viwango vya kimataifa. Kauli hiyo imefuatia Rais wa Burundi kutia saini sheria mpya ambayo inadaiwa itabana uhuru wa vyombo vya habari. Katika sheria hiyo waandishi wanatakiwa kueleza vyanzo vya habari, faini [...]

07/06/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031