Nyumbani » 06/06/2013 Entries posted on “Juni 6th, 2013”

Ukuaji mdogo wa uzalishaji wa kilimo watarajiwa: OECD-FAO

Kusikiliza / Kilimo Africa

  Uzalishaji wa kilimo duniani unatarajiwa kukua kwa asilimia 1.5 kwa wastani kwa mwaka katika muongo ujao ikilinganishwa na ukuaji wa asilimia 2.1 kati ya mwaka 2003 na 2012. Hayo ni kwa mujibu wa ripoti iliyochapishwa Alhamisi na shirika la chakula na kilimo FAO na shirika la ushirikiano wa uchumi na maendeleo OECD. Kupungua kwa [...]

06/06/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Sheria mpya kubana uhuru wa vyombo vya habari Burundi

Kusikiliza / Rais Pierre Nkurunziza

Serikali ya Burundi imepitisha sheria mpya za vyombo vya habari, zilizotiwa saini na Rais wa nchi hiyo Pierre Nkurunziza, ambazo waandishi wa habari , wadau wa kutetea maslahi ya vyombvo vya habari na asasi zisizo za kiserikali wanasema sheria hiyo mpya sio tuu itakuwa adha kwa waandishi bali bila walengwa wa habari watakkosa fursa ya [...]

06/06/2013 | Jamii: Mahojiano | Kusoma Zaidi »

Utapiamlo na utipatipwa miongoni mwa watoto ni tishio nchi zinazoendelea: WHO

Kusikiliza / malnutrition

Shirika la afya duniani limetoa ripoti inayomulika vitisho viwili vya afya kwa watoto kwenye nchi zinazoendelea ikiwemo Afrika ikitaja kuwa ni utipwatipwa au uzito kupita kiasi na wakati huo huo ukosefu wa lishe bora. Taarifa ya Jason Nyakundi inafafanua zaidi.  (TAARIFA YA JASON) WHO inasema kuwa zaidi ya asilimia 75 ya watoto milioni 43 walio [...]

06/06/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Baraza la Usalama laijadili Somalia

Kusikiliza / Jan Eliasson, Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa hii leo limejadili hali ya Somalia ambapo limejulishwa ya kwamba miezi minane baada ya kuundwa kwa serikali, mwelekeo ni mzuri licha ya kwamba serikali inakabiliwa na changamoto kubwa ya kuunda taasisi thabiti za usalama, haki na kuweka fursa za kiuchumi kwa raia wake. Joshua Mmali na ripoti zaidi. [...]

06/06/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UN women yamulika ugatuaji madaraka kwa maslahi ya wote

Kusikiliza / unwomen_logo_500

Mtandao wa Umoja wa Mataifa unaohusika na ustawi wa wanawake umeanza mkutano wa siku mbili nchini Tanzania kwa ajili ya kutathmini hatua za maendeleo na namna nchi za Afrika zilivyopiga hatua kuteleza mpango wa ugatuaji madaraka. George Njogopa na taarifa zaidi Mkutano huo ambao umewaleta pamoja wajumbe kutoka nchi za Msumbiji, Rwanda, Sierra Leone na [...]

06/06/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Vikwazo vya Israel ni kizingiti cha uchumi wa Palestina ILO

Kusikiliza / Uchmu wa Palestina umekwamishwa na vikwazo

Uchumi kwenye utawala wa Palestina hautaboreka hadi pale Israeli itakapoondoa vikwazo ilivyoweka kwa mujibu wa Shirika la kazi duniani ILO.Alice Kariuki anaeleza.(TAARIFA YA ALICE KARIUKI)Kupitia kwa ripoti yake ya kila mwaka kuhusu hali ya wafanyikazi kwenye maeneo ya kiarabu yaliyokaliwa ILO inasema kuwa uchumi wa Palestina unajikikota kukua huku kukiwa na ukosefu mkubwa wa ajira, [...]

06/06/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

NGO’s zisiwekewe kisasi, Urusi,wataalamu:UM

Kusikiliza / Claudio Grossman

Wataalamu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa wamekosoa vikali hatua ya serikali ya Russia kuyatia kwenye mashtaka mashirika mawili yasiyo ya kiserikali ambayo yalitoa ushahidi kuhusiana na vitendo vya mateso vilivyofanywa na Russia.  Mashirika hayo ikiwemo kituo kinachopinga ubaguzi kilichopo St Petersburg  na Wakfu wa hukumu ya umma, yalitiwa hatiani katika kipindi cha [...]

06/06/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ban asikitishwa na sheria mpya za vyombo vya habari Burundi:

Kusikiliza / KM Ban Ki-moon

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesema amesikitishwa kwamba sheria mpya ya vyombo vya habari Burundi  ina rasimu na mashariti ambayo yanaweza kuwa na athari mbaya kwenye uhuru wa vyombo vya habari nchini humo. Amesisitiza kwamba haki ya uhuru wa kujieleza na kuwa na vyombo huru vya habari ni kipengee muhimu katika kudumisha [...]

06/06/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031