Nyumbani » 04/06/2013 Entries posted on “Juni 4th, 2013”

IOM kuwarejesha wahamiaji waethiopia kwa hiari yao

IOM

Kila mwaka maelfu ya waethiopia huvuka mipaka kuelekea, Saudia, Yemen na nchi za ugaibuni kutafuta ajira lakini safari yao mara nyingi hukatizwa  kwa sababu ya matatizo wanayoyakumbanaa nayo wahamiaji hawa iwe mikononi mwa walanguzi au serikali za nchi wanakoelekea Katika mahojiano nami Grace Kaneiya, katika radio ya UM msemaji wa Shirika la Uhamiaji la kimataifa  IOM, [...]

04/06/2013 | Jamii: Mahojiano | Kusoma Zaidi »

Madhila ya kubakwa ni machungu kama ilivyo risasi: Bangura

Zainab Hawa Bangura

Mjini New York hii leo, ubalozi wa Ireland uliandaa mjadala kuhusu nafasi ya wanawake katika ujenzi wa amani hususan Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC ambapo washiriki wamezungumza vile ambavyo dunia hivi sasa inatambua nafasi ya wanawake siyo tu kama wahanga wa mizozo ya vita bali pia wanaharakati ambao wanaweza kuleta mabadiliko. Miongoni mwa washiriki [...]

04/06/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kupoteza chakula ndio kauli mbiu ya siku ya mazingira duniani:UNEP

Chakula kingi huishia kwenye taka, FAO

Shirika la Umoja wa Mataifa la mazingira UNEP linasema kauli mbiu ya mwaka huu ya siku ya mazingira duniani ambayo huadhimishwa kila mwaka Juni 5 ni taka za chakula na kupoteza chakula.UNEP inatoa tahadhari kwa suala hilo na upuuzi unaofanyika na kusababisha idadi kubwa ya mazao yaliyozalishwa hayafiki kwa umma kutoka mashambani. Limeongeza kuwa watu [...]

04/06/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

UNHCR inahamisha wakimbizi wa Chad kutoka kambi ya Tissi:

UNHCR linahamisha wakimbizi wa Chad

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimkbizi UNHCR linasema linaharakisha mchakato wa kuwahamisha wakimbizi wa Chad Kusini Mashariki mwa nchi hiyo.Wakimbizi hao wanatolewa katika makazi ya Tissi yaliyopo maili chache kutoka kwenye mipaqka yake na Sudan na Jamhuri ya Afrika ya Kati na kuwapeleka kwenye makazi ya Ab-Gadam kilometa 30 Kaskazini Mashariki mwa Chad. [...]

04/06/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Mtanzania kuongoza kikosi cha UNAMID, Darfur

Luteni Jenerali Paul Mella, Kamanda mpya wa kikosi cha UNAMID, Darfur

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon na Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika Nkosazana Dlamini-Zuma wamemteua Luteni Jenerali Paul Ignace Mella kutokaTanzaniakuongoza kikosi cha pamoja cha kulinda amani cha taasisi hizo mbili hukoDarfur, UNAMID.  Luteni Jenerali Meela anachukua nafasi ya Mnyarwanda Luteni Jenerali Patrick Nyamvumba ofRwandaaliyemaliza muda wake mwezi Machi mwaka huu [...]

04/06/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Silaha za kemikali huenda zimetumika Syria: Tume ya UM

Paul Pinheiro

Tume iloteuliwa na Umoja wa Mataifa kufanya uchunguzi kuhusu Syria imesema kuna ushahidi mwinginr unaoonyesha kuwa silaha za kemikali zimetumika kwa viwango vidogo katika mgogoro unaoendelea nchini humo. George Njogopa anaripoti: (RIPOTI YA GEORGE NJOGOPA)  Tume hiyo imesema kuwa imekusanya ushahidi wa kutosha kutoka kwa watu mbalimbali ikiwemo mashuhuda, wakimbizi na maafisa wa afya ambao [...]

04/06/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Msaada wa Japan kwa ukanda wa Sahel umekuja wakati muafaka: Prodi

Romano Prodi

Mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa huko Sahel, Romano Prodi ametoa taarifa inayopongeza ahadi ya Japani ya msaada wa thamani ya dola Bilioni Moja kwa ajili ya eneo hilo. Amesema msaada huo ni muhimu kwa eneo hilo linalokabiliwa na changamoto za usalama, maendeleo na uchumi. Bwana Prodi amesema hali tete huko Sahel kama [...]

04/06/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

IOM yawasaidia wahamiaji wa Ethiopia kuondoka Somalia

Wakimbizi wa Ethiopia wakwama Hergeisa, Somalia

Shirika la Kimataifa la Uhamiaji, IOM, limesaidia kurejesha nyumbani watu arobaini na wawili, raia wa Ethiopia waliokuwa wamekwama Hargeisa, kwenye jimbo la Somaliland nchini Somalia. Wengi wa watu hao waliokwenda kutafuta makao kwenye kituo cha IOM cha kuwasaidia wahamiaji, ama walikuwa wagonjwa au wamedhulumiwa na walanguzi na wasafirishaji haramu. Jumbe Omari Jumbe ni msemaji wa [...]

04/06/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Chanjo zatolewa CAR, fedha zaidi zahitajika: OCHA

Mtoto apokea matibabu, CAR/picha ya faili

Licha ya Wabia wa afya kufanikiwa kutoa chanjo kwa takribani watoto laki moja na elfu 23 nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, bado uhaba wa fedha ni changamoto kubwa wakati ambapo misaada ya kibinadamu inahitajika.Joseph Msami na taarifa kamili(RIPOTI YA JOSEPH MSAMI) Kiasi cha dola millioni 139 zinahitajika ili kutoa misaada ya binadamu, wakati ambapo [...]

04/06/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Hali ngumu na kukosekana kwa usalama kunafanya wakimbizi wengi kushindwa kwenda Lebanon-UNHCR

UNHCR logo

Huku mapigamo yakizidi kuchacha katika eneo la Al Qusayr nchini Syria, Dhirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR limesema kuwa limeshuhudia wakimbizi wachache wakivuka mpaka na kuwasili Mashariki mwa Lebanon.  Maafisa wa shirika hilo wamesema kuwa kuna uwezekano wa kufunguliwa njia mpya inayotumiwa na wakimbizi hao kuelekea eneo la Arsal nchini Lebanon wakitokea [...]

04/06/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

WHO yaonya kuhusu kuwepo mikurupuko ya magonjwa nchini Syria na mataifa jirani.

WHO imeonya kuhusu mlipuko wa magonjwa, Syria

Shirika la afya duniani limeelezea hisia zake kutokana na kuendelea kuongezeka kwa visa vya magonjwa ya kuambukiza nchiniSyriana pia mionghoni mwa wale waliolazimika kuhama makwao walio kwenye mataifa jirani likionya kuwa bila ya hatua za kuzuia magonjwa hayo huenda kukazuka  madhara makubwa. Kwa muda wa miaka miwili mifumo ya afya nchiniSyriaimesambaratika ambapo karibu asilimia 35 [...]

04/06/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

UNHCR yahmisha wakimbizi wa Darfur kutoka mpaka wa Tissi:

car-displaced

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR linaongeza juhudi za kuwapatia maeneo wakimbizi walioko Tissi  ambao sasa wanapatiwa makazi mapya katika kambi iliyopo umbali wa maili chache kutoka mpaka wa Sudan na Jamhuri ya Afrika ya Kati, Hatua hiyo inachukuliwa ili kukabiliana na tatizo la mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika eneo la Tissi [...]

04/06/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ofisi ya UM yaelezea wasiwasi wake kutokana na matumizi ya nguvu nchini Uturuki

Ramana ya Uturuki

Ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa imeelezea wasi wasi wake kufuatia kuwepo kwa matumizi ya nguvu kutoka kwa maafisa wa usalama dhidi ya waandamanaji nchini Uturuki.Ofisi ya haki za binadamu inakaribisha dhibitisho kutoka kwa serikali kuwa huenda nguvu zimetumika lakini pia imetoa wito wa kutaka kufanyika kwa uchunguzi kuhusu sualahilona kuwachukulia hatua [...]

04/06/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930