Nyumbani » 01/06/2013 Entries posted on “Juni 1st, 2013”

Ban azungumza ana kwa ana na viongozi kadhaa wa Afrika mjini Yokohama, Japan

Kusikiliza / Ban Ki-moon

  Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, ambaye anahudhuria kongamano la tano la kimataifa la Tokyo kuhusu maendeleo ya Afrika, TICAD, amekutana na kufanya mazungumzo ya ana kwa ana na viongozi kadhaa kutoka barani Afrika. Miongoni mwa viongozi aliokutana nao ni mwenyekiti wa Muungano wa Afrika, Nkosazana Dlamini-Zuma, ambaye amebadilishana naye mawazo kuhusu [...]

01/06/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Wakuu wa FAO/IFAD na WFP wataka njaa itokomezwe ifikapo 2015:

Kusikiliza / TICAD Japan 2013

Wakuu wa mashirika matatu ya Umoja wa Mataifa yenye makao yake Roma Italia leo yametoa wito wa kuweka kipaumbele kwenye usalama wa chakula a lishe katika mkutano wa kimataifa wa maendeleo ya Afrika unaoendelea nchini Japan. Wamesema wakulima wadogowadogo wasaidiwe ili kuimarisha usalama wa chakula na kuwawezesha wanawake, ili kushughulikia siuala la kutokuwepo usawa wa [...]

01/06/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Lazima tushughulikie uhusiano baiana ya amani, usalama na maendeleo Afrika:Ban

Kusikiliza / Ban Ki-moon Japan

Afrika imepiga hatua kubwa katika kufikia malengo ya maendeleo ya milenia MDG's, lakini mamilioni ya Waafrika, bado hawana ajira,huduma za afya na chakula, huku mamilioni wakipata dhiki kutokana na vita. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon Jumamosi akifungua mkutano wa tano wa kimataifa kuhusu maendeleo barani Afrika TICADV mjiniTokyoJapan. Ban [...]

01/06/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930