Sheikha Jawaher achaguliwa kuhamasisha kazi za UNHCR

Kusikiliza /

Sharjah’s Sheikha Jawaher Bint Mohammed Al Qasimi ametangazwa kuwa ndiye mtu mashuhuri katika Umoja wa falme za kiarabu, katika sherehe maalumu iliyofanyika wiki hii kwenye eneo la Ghuba.

Mumeo Sharjah, mtawala Sheikh Sultan Bin Mohammed Al-Qasimi,na watu wengine wa heshima ni miongoni mwa wageni waliohudhuria sheria hiyo iliyofanyika siku ya jumanne.

Akiwa mtu mashuhuri na muhimu wa eneo hilo, Sheikha Jawaher anatazamia kuchukua jukumu kubwa la kuhamasisha watu kuhusu kuwatambua wakimbizi na nafasi ya shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na wakimbizi UNHCR lakini zingatio likiwa ni kwa watoto.

Mwenyewe amepokea wadhifa huo akisema kuwa hiyo ni heshima kubwa kwake.

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930