Nyumbani » 25/05/2013 Entries posted on “Mei 25th, 2013”

Baraza la usalama latambua mchango wa mahakama ya ICTY

Kusikiliza / Mahakama ya ICTY

Wajumbe wa baraza la usalama la Umoja wa Mataifa Jumamosi wameadhimisha mwaka wa 20 tangu kuundwa kwa mahakama ya uhalifu kufuatia vita vya Balkan katika miaka ya 1990. Katika taarifa yake maalumu baraza limesema linakumbuka azimio nambari 827 la tarehe 25 Mai mwaka 1993 ambalo lilipitishwa bila kupingwa na wajumbe wote kuanzisha mahakama ya uhalifu [...]

25/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Miaka 50 ya Umoja wa Afrika umeshuhudia mafanikio: Ban

Kusikiliza / Miaka 50 ya Umoja wa Afrika

Umoja wa Mataifa unajivunia kuendelea kushirikiana na Umoja wa Afrika na wakazi wa bara hilo katika kuweka mazingira ya fursa na matumaini kwa wote, ni ujumbe wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon hii leo tarehe 25 Mei, ambapo Umoja wa Afrika uliotokana na Umoja wa nchi huru za Afrika, OAU unatimiza miaka [...]

25/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Febuari 2016
T N T K J M P
« jan    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
29