Nyumbani » 24/05/2013 Entries posted on “Mei 24th, 2013”

Siku ya Vesak siyo kwa mabudha tu: Ban

Kusikiliza / Sherehe za siku ya Vesak

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon anasema maadhimisho ya siku ya kimataifa ya Vesak ambayo ni sherehe maalumu kwa ajili ya Mabudha kote duniani ni fursa nzuri pia kwa jumuiya ya kimataifa kufaidika na utajiri wa utamaduni wa Kibudha. Katika taarifa yake amesema maadhimisho ya mwaka huu yanafanyika wakati kukiwa na machafuko na [...]

24/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ban ahamasisha amani Ukanda wa Maziwa Makuu

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwenye kituo cha Heal Afrika mjini Goma

Wiki hii Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon alikuwa na ziara katika Ukanda wa Maziwa Makuu barani Afrika ambapo pamoja na mambo mengine alichagiza mchakato wa amani MAshariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC kufuatia kutiwa saini kwa mkakati wa amani na usalama kwa ajili ya DRC mwezi Februari mwaka huu huko [...]

24/05/2013 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Bosnia na Herzegovina zinapaswa kutukuza utamaduni: Mtaalamu wa UM

Kusikiliza / Siasa zimeteka maswala muhimu, UM

Mtaalamu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na haki za kiutamaduni , Farida Shaheed leo amezitolewa mwito serikali zote mbili Bosnia na Herzegovina kutumia fursa na nafasi zilizopo kuwawezesha wananchi wao wanajihusisha kikamilifu na masuala ya utamaduni pamoja na michezo.Pia ametaka kuweka mazingira huru ili masuala ya kisiasa na yale yanayohusu mila na tamaduni za kiutaifa [...]

24/05/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Mkutano wa matumizi ya Nuklia kufanyika mwezi ujao Saint Petersburg

Kusikiliza / Nembo ya IAEA

Mawaziri kutoka sehemu mbalimbali duniani pamoja na wataalamu wa kimataifa wanatazamiwa kukutana mwezi ujao kwa ajili ya kujadilia hatma ya nguvu za nuklia katika karne hii ya 21, wakati watapokutana kwenye mkutano wa kilele unaoratibiwa na wakala wa Umoja wa Mataifa wa nguvu za atomiki. Mkutano huo uliopangwa kufanyika kuanzia June 27 hadi 29 hukoSaint [...]

24/05/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Mkuu wa UNESCO amuenzi mwanamuziki Georges Moustaki

Kusikiliza / Mwanamziki mwendazake Georges Moustaki

Mkurugenzi mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la elimu, sayansi na utamaduni UNESCO ameelezea simanzi aliyonayo kufuatia taarifa za kifo cha mwanamuziki Georges Moustaki.Mwanamuziki huyo ambayo ni mtunzi na muimbaji  alikuwa ni maarufu na nembo ya muziki wa Urafansa na msanii wa amani wa UNESCO. Alifariki dunia Alhamisi Mai 23. Kufuatia kifo hicho Bokova [...]

24/05/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Wataalamu kwenye Umoja wa Mataifa wataka haki za wanaobaguliwa kulindwa

Kusikiliza / Watu waliotengwa walindwe

Wataalam wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu, wamesema ubaguzi utokanao na mfumo wa matabaka bado umeenea na kukita mizizi, huku waathirika wakikumbana na kutengwa kimfumo na kunyanyapaliwa, lakini wanaotekeleza uovu huo hawawajibishwi kisheria kwa kiwango kikubwa. Wataalam hao wametoa wito kwa serikali kote duniani ziimarishe ulinzi wa zaidi ya watu milioni 260 ambao [...]

24/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Tuna hofu watu wanazuiwa kuondoka Syria: UNHCR

Kusikiliza / Wakimbizi kutoka Syria

  Wakati ghasia zinapoendelea kushamiri nchini Syria shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR linasema kuwa watu zaidi wataendelea kutafuta usalama na misaada nje ya mipaka ya nchi hiyo. Jason Nyakundi na ripoti zaidi. (RIPOTI YA JASON NYAKUNDI) UNHCR inasema imetiwa wasiwasi na ripoti kuwa wasyria wanaokimbia ghasia huenda wamekwama kweneye mpaka katika [...]

24/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Reinada Milanzi: Mlinzi wa amani kutoka Tanzania aliyejikita kujenga uhusiano wa kijinsia katika jamii

Kusikiliza / Reinada Milanzi

Shughuli za ulinzi wa amani ni zaidi ya kuzuia mapigano bali pia kuweka mazingira ambamo kwao uhusiano wa kijamii unaweza kuwa bora na maisha yakasonga mbele, kwani chokochoko za kijamii zinaweza kuwa chanzo cha mapigano ya kivita. Mathalani ukatili wa kingono na unyanyasaji wa kijinsia unaweza kukithiri katika maeneo ya migogoro lakini pindi amani inapopatikana [...]

24/05/2013 | Jamii: Mahojiano | Kusoma Zaidi »

Hofu yazidi kutanda wakati M23 wakikabiliana na vikosi vya serikali huko Goma

Kusikiliza / Wakimbizi wakimbia machafuko, DRC(picha/faili)

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuratibu misaada ya kibinadamu linasema kuwa mapigano mapya kati ya vikosi vya serikali na waasi wa M23 huko Goma, mji mkuu wa jimbo la Kivu Kaskazini yameibua hofu kubwakamaanavyoripoti George Njogopa. (RIPOTI YA GEORGE NJOGOPA) Mratibu wa masuala ya kiutu Moustapha Soumaré amezitaka pande zote mbili kuheshimu matakwa ya sheria [...]

24/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

WFP Yatoa ripoti ya mpango wa ulishaji chakula mashuleni duniani

Kusikiliza / Watoto wapokea lishe shuleni

Shirika la mpango wa chakula duniani WFP kwa mara ya kwanza linatoa ripoti inayotanabaisha mpango wa ulishaji chakula mashuleni duniani kotekamainavyoeleza ripoti ya Grace Kaneiya. (RIPOTI YA GRACE KANEIYA) Ripoti ya hali ya programu ya lishe kwa watoto shuleni  duniani imezinduliwa leo na  WFP, ili kutoa kwa mara ya kwanza taswira na uchambuzi wa programu hiyo [...]

24/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Uamuzi wa kufanyika kesi mpya kwa Rais wa zamani Guatemala kwa watia hofu waathirika:UM

Kusikiliza / Rupert Colville

Ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa inasema inatiwa hofu na haki za waathirika kutekelezwa hukoGuatemalabaada ya mahakama kubadili hukumu ya Rais wa zamani wa nchi hiyo . Rais huyo alihukumiwa kwa mashitaka ya uhalifu dhidi ya ubinadamu na sasa kesi yake imeamriwa kuanza kusikilizwa upya. Umoja wa Mataifa unasema waathirika wa ukatili [...]

24/05/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Hakuna amani bila maendeleo na hakuna maendeleo bila amani: Ban

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa UM Ban Ki-Moon na Rais Paul Kagame wa Rwanda

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon bado yuko ukanda wa maziwa makuu barani Afrika ambapo tayari yukoUgandaakitokeaRwandaakiendeleza ajenda ya amani kwenye eneohilolililogubikwa mzozo ambao umejikita Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC.  Akiwa mjini Kigali, Bwana Ban ambaye anaambatana na Rais wa Benki ya dunia Jim Yong Kim,  alikuwa na mazungumzo na [...]

24/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031