Nyumbani » 23/05/2013 Entries posted on “Mei 23rd, 2013”

Mipango inahitajika kuwaandaa watoto kwa majanga: UNICEF

Kusikiliza / unicef-logo

Kuna haja ya kuwa na mipango maalumu ya kuhakikisha watoto wanajua nini cha kufanya wakati janga likitokea. Hayo yamesemwa na bwana Anthony Spalton mtaalamu wa upunguzaji hatari ya majanga kwenye shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF. Bwana Spalton amesema watoto ni lazima washiriki mipango hiyo na waruhusiwe kutoa mtazamo wao wa kile [...]

23/05/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Twahitaji wataalamu zaidi wa kutibu Fistula: CCBR

Kusikiliza / Dkt. Robert Marenga, Mtaalamu wa kutibu Fistula, CCBRT

  Wakati dunia inaadhimisha siku ya kwanza kabisa ya kutokomeza Fistula, jeraha alipatalo mzazi wakati wa kujifungua iwapo anakosa huduma muhimu au maungo yake hayajakomaa kubeba ujauzito, hospitali ya CCBRT nchiniTanzaniainasema bado wataalamu hawatoshi kukidhi mahitaji wakati huu ambapo elimu zaidi inatolewa ili wanawake wenye Fistula waweze kujitokeza kutibiwa jerahahilo. Kauli hiyo ni ya Dokta [...]

23/05/2013 | Jamii: Mahojiano | Kusoma Zaidi »

Wanawake na watoto wana haki ya kuishi kwa usalama na heshima: Ban

Kusikiliza / Usalama wa wanawake na watoto ni muhimu

Wanawake na watoto wana haki ya kuhisi wako salama na kuishi kwa utu, popote pale na wakati wote, iwe katika vita na amani, umaskini na utajiri, nyumbani na nje, shuleni na katika sehemu za kazi. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, ambaye yupo mjini Kigali Rwanda, wakati wa hafla ya [...]

23/05/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Tulifeli Rwanda lakini tuzuie baa linalojitokeza Syria: Ban

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, ametoa wito kwa jamii ya kimataifa kuungana kuzuia baa linalojitokeza nchini Syria, hata ingawa ilishindwa kuzuia mauaji ya kimbari nchini Rwanda.Bwana Ban amesema hayo mjini Kigali, Rwanda, wakati akizuru tena eneo la kaburi la halaiki na kumbukumbu ya mauaji ya kimbari ya mwaka 1994. Bwana Ban amesema [...]

23/05/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Ukame ni janga linaloongezeka Pembe ya Afrika:

Kusikiliza / Ukame bado ni tatizo, Afrika

Geneva, Uswisi kunafanyika mkutano wa kudhibiti au kupunguza athari zitokanazo na majanga na leo tunaangazia pembe ya Afrika. Kwako Alice Kariuki.(RIPOTI YA ALICE) Hali ya ukame ni janga linaloongezeka kila uchao katika Pembe ya Afrika. Hayo yameelezwa kwenye mkutano wa Umoja wa Mataifa wa upunguzaji majanga unaoendelea mjiniGeneva.  Lakini jinsi gani nchi hizo zinakabiliana na [...]

23/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kutokomeza Fistula kutanufaisha jamii -Ban

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon ametoa ujumbe katika kuadhimisha siku ya kimataifa ya kutokomeza fistula itokanayo na uzazi na kusema  kutokomeza hali hiyo ya kupata jereha wakati wa kujifungua sio tu kwamba kutasaidia katika kufikia malengo ya maendeleo ya milenia balia pia kutasawasaidia watoto watakaolelewa na mama wenye afya na mchango wao [...]

23/05/2013 | Jamii: Mawasiliano mbalimbali | Kusoma Zaidi »

UNFPA yazindua mipango ya kuboresha afya ya uzazi

Kusikiliza / Mama na wanawe

  Shirika la idadi ya watu duniani, UNFPA litazindua mipango mipya miwili kwa ajili ya kuongeza upatikanaji wa huduma za uzazi wa mpango na kuboresha afya ya wajawazito kwenye maeneo ambayo ni magumu zaidi kufikika duniani. Grace Kaneiya na ripoti kamili. (Taarifa ya Grace )  Miradi  hii inaunganisha jitihada za UNFPA za zaidi ya miaka 40 [...]

23/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mapigano yasababishwayo na M23 Mashariki mwa DRC yanatia wasiwasi: Ban

Kusikiliza / Mapigano mapya yazuka, DRC

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon anaendelea na ziara yake ya Ukanda wa Maziwa Makuu barani Afrika ambapo leo yukoRwanda na kubwa ni kuchagiza mchakato wa kuleta amani huko Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, DRC. Kabla ya kuelekea Rwanda Bwana Ban alizungumza na Radio Okapi huko DRC na kuelezea wasiwasi wake juu ya [...]

23/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Bangladesh na Brazil zashinda tuzo la UN-Sasakawa

Kusikiliza / sasakawa_website

Nchi za Bangladesh na Brazil, ambazo hukumbwa zaidi na majanga ya mara kwa mara, zimepokea kwa pamoja tuzo la UN-Sasakawa, ambalo limewasilishwa na Mkuu wa Ofisi ya kupunguza hatari za Majanga katika Umoja wa Mataifa, Bi Margareta Wahlström, mbele ya mfadhili wa tuzo hilo na mwenyekiti wa Hazina ya Nippon, Yohei Sasakawa. Bwana Sasakawa amesema [...]

23/05/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Wanawake kutoka jamii za watu wa asili Amerika Kusini wasalia nyuma kisiasa:UNDP

Kusikiliza / Ingawa watu wa asili wanajumuishwa katika maswala ya jamii bado kuna pengo

Utafiti uliotolewa na shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa maendeleo UNDP inaonyesha kuwa Amerika ya Kusini katika miongo miwili iliyopita imejitahidi kuwajumuisha watu wa asili katika masuala mbalimbali ya kijamii lakini ushiriki wao katika masuala ya kisiasa na hususani wanawake bado ni mdogo mno.Ripoti hiyo imetolewa katika kongamano la 12 la watu wa [...]

23/05/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Mzozo wa Israeli-Palestinian usipuuzwe kwa kutupia macho zaidi mapigano ya Syria:UM

Kusikiliza / Robert Serry

  Afisa wa ngazi za juu wa Umoja wa Mataifa ameonya jumuiya ya Mataifa kuendelea kutupia macho mzozo wa Syria huku ikikawia kutafutia ufumbuzi  mzozo wa muda mrefu baina ya Israel na Palestina. Robert Serry ambaye ni mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa katika eneo la Mashariki ya Kati ambayeliambia baraza la usalama kuwa hali [...]

23/05/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Visa vya ugonjwa wa novel Coronavirus vyathibitishwa eneo la maashariki ya kati

Kusikiliza / coronavirus

Wizara ya afya nchini Saudi Arabia imelifahamisha Shirika la afya duniani WHO kuhusu kuthibitishwa kwa ugonjwa wa kupumua unaofahamika kama Novel coronavirus. Taarifa zaidi na Jason Nyakundi. (RIPOTI YA JASON NYAKUNDI) Kisa cha ugonjwa huo kiliripotiwa kutoka eneo la Al-Qaseem kati kati mwa nchi na inasemekana kuwa hakina uhusiano na visa vilivyoripitiwa kutoka eneo la [...]

23/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Unyanyapaa kikwazo cha kutokomeza Fistula : UNFPA

Kusikiliza / Nembo ya UNFPA

Wakati leo ni siku ya kimataifa ya kutokomeza fistula, Shirika la idadi ya watu la Umoja wa Mataifa, UNFPA limezungumzia hali ilivyo nchiniTanzaniana kile inachofanya kutokomeza ugonjwa huo. Flora nducha na maelezo zaidi.(TAARIFA YA FLORA) Shirika la idadi ya watu duniani, UNFP linasema nchiniTanzaniakila mwaka kuna wagonjwa wapya Elfu Tatu wa Fistula itokanayo na uzazi [...]

23/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Leo ni siku ya kimataifa ya kutokomeza Fistula

Kusikiliza / Siku ya kuadhimisha siku ya kutokomeza fistula, mei 23

Kwa mara ya kwanza dunia hii leo inaadhimisha siku ya kutokomeza fistula, hali ambayo inampata mwanamke aliyekaa na uchungu muda mrefu kabla ya kujifungua kutokana na kukosa huduma za uzazi haraka au mtoto wa kike ambaye bado hajakomaa kuweza kujifungua. Hali hii husababisha mzazi kuchanika sehemu za siri na hivyo kutokwa na haja ndogo na [...]

23/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031