Nyumbani » 22/05/2013 Entries posted on “Mei 22nd, 2013”

UM kuzindua stamp za uhifadhi wa bahari

Kusikiliza / Rorie Katz wa UNPA

  Katika kuadhimisha siku ya kuhifadhi bahari duniani, Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya posta UNPA, inatarajia kutoa stempu tatu zilizoandaliwa kwa ajili ya kukuza uelewa kuhusu siku hiyo. Stamp hizo zinazotarajia kuanza kuuzwa May 31 mwaka huu zitakuwa na taswira zilizobuniwa na mtunzi wa vitabu vya watoto Dk Seuss. Katika kuendeleza siku ya mabahari [...]

22/05/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Benki ya dunia yaahidi dola bilioni 1 kwa ukanda wa Maziwa Makuu

Kusikiliza / Ban Ki-moon na Dr. Jim Yong Kim

Benki ya Dunia imeahidi dola bilioni mojakamamsaada mpya wa fedha kwa ajili ya kusaidia nchi za ukanda wa Maziwa Makuu katika kuboresha huduma za afya, elimu na kukuza biashara miongoni mwa nchi hizo, pamoja na miradi ya kuzalisha umeme. Ahadi hii ya msaada ni kwa lengo la kusaidia mkataba wa amani wa nchi za Maziwa [...]

22/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Fistula yatibika, kila mmoja aahidi kuizuia: UNFPA

Kusikiliza / Ugonjwa wa Fistula bado ni tatizo katika mataifa maskini

Mvua inanyesha lakini hali hii haikumzuia Essita Mulhanga, msichana wa umri wa miaka Kumi na Sita kuweza kujikongoja hadi hospitali ili aweze kupata tiba…..Ana maumivu makali na punde tu baada ya kufika hapa akaeleza..  SOUNDBITE (Shona) Essita Mulhanga, 16-anayeumua fistula: “Nililazimika kujifungulia nyumbani. Mume wangu hakuwepo kunisaidia. Baada ya kujifungua, nilichanika vibaya, tatizo hili likanianza [...]

22/05/2013 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Guinea Bissau na Mashariki ya Kati zaangaziwa katika Baraza la Usalama

Kusikiliza / Kikao, Baraza la Usalama

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, leo limefanya vikao viwili: cha kwanza kuhusu hali nchini Guinea Bissau na cha pili kuhsu hali Mashariki ya Kati. Joshua Mmali ana maelezo zaidi. (TAARIFA YA JOSHUA) Katika kikao chake kuhusu hali nchini Guinea Bissau, Baraza la Usalama kwa kauli moja limepitisha azimio la kuongeza muda wa ujumbe [...]

22/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kongamano kuhusu majanga duniani laanza Geneva kwa pole kwa wahanga wa janga la tufani Oklahoma

Kusikiliza / Baada ya tufani iliyoikumba Oklahoma

Kongamano la umoja wa Mataifa lenye lengo la kuzihakikishia jamii usalama kutokana na majanga  limengo'a nanga hii leo mjini Geneva Uswisi likionyesha huzuni yake kwa watu wa mji wa Oklahoma,  uharibifu na kupotea kwa maisha kutokana na janga la tufani  iliyoshuhudiwa siku Jumanne.Tufani hiyo ambayo ni moja ya tufani nyingi zilizizoshuhudiwa siku chache zilizopita magahribu [...]

22/05/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Ugonjwa wa Novel Corona virus waripotiwa Tunisia

Kusikiliza / corona virus

Wizara ya afya nchini Tunisia imelipa makataa Shirika la afya duniani WHO kuhusu kuthibitishwa kupitia kwa mahabara visa vya ugonjwa wa novel Coronavirus. Alice Kariuki na taarifa zaidi. RIPOTI YA ALICE Visa viwili vilivyothibitishwa kupitia kwa mahabara ni cha mwanamme mwenye umri wa miaka 34 na mwanamke wa umri wa kiaka 35 ambao wote ni [...]

22/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

IAEA kujenga kituo cha kukabili majanga ya dharura Japan

Kusikiliza / Nembo ya IAEA

Wakala wa Umoja wa Umoja wa Mataifa wa nguvu za Atomiki umetangaza mpango wa kuipiga jeki serikali ya Japan ili kufanikisha ujenzi wa kituo maalumu katika eneo la Fukushima kwa ajili ya kukabiliana na majanga ya dharura. Kituo hicho kitatumika kama nyenzo muhimu ya wakala huo kukabiliana na majanga yoyote ya dharura yatayojitokeza nchini Japan [...]

22/05/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Aina ya ugonjwa usiodhibitika wa polio waendelea kusambaa kwenye pembe ya Afrika

Kusikiliza / polio1

Eneo la pembe ya Afrika kwa sasa linakabiliana na aina ya ugonjwa wa polio usiothibitika kwa kifupi WPV1. Mtoto wa umri a miezi minne anaripotiwa kuonekana akiwa na dalili za ugonjwa huo na kulemaa karibu na kambi ya Dadaab nchini Kenya mnamo tarehe 30 mwezi Aprili mwaka huu. (RIPOTI YA JASON NYKUNDI) Utafiti kuhusu ugonjwa [...]

22/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Umoja wa Mataifa kuanzisha kambi mpya ya wakimbizi wa Syria huko Jordan

Kusikiliza / UM kufungua kambi mpya kwa ajili ya wahamiaji wasyria

Umoja wa Mataifa umetoa takribani dola Milioni Kumi kwa ajili ya uanzishwaji wa kambi mpya ya wakimbizi wa Syria huko Jordani. Maelezo zaidi na George Njogopa. (RIPOTI YA GEORGE NJOGOPA) Kambi hiyo mpya inatazamiwa kuwekwa katika mji wa Azraq ulioko umbali wa kilometa 100 mashariki mwa mji mkuu wa Jordan Amman. Inatazamia kuchukua jumla ya wakimbizi [...]

22/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Huu ni wakati muhimu sana kwa DRC na eneo la Maziwa Makuu

Kusikiliza / Ban Ki-moon, Rais Joseph Kabila na Dr. Jim Yong Kim

(SAUTI YA BAN KI-MOON) “Lakini makubaliano hayo ni lazima yatafsiriwe kwa vitendo. Muafaka wa amani ni lazima uzae matunda ya amani kwa watu, Dr. Kim na mimi tunasafiri katika eneo hili katika ziara ya kwanza ya aina yake kuonyesha mshikamano na uungaji wetu mkono.Kila mahali tunakokwenda tutawataka viongozi kutimiza wajibu wao”. Ban amesema Rais Kabila anajitahidi [...]

22/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930