Nyumbani » 20/05/2013 Entries posted on “Mei 20th, 2013”

Kilio cha makabila asili kisikilizwe :Sena

Kusikiliza / Kanyike Sena na Edward John, mkutanoni, NY

Mwenyekiti wa Kikao cha 12 cha kudumu cha Umoja wa Mataifa kuhusu masuala ya makabila asili Paul Kanyinke Sena amezitaka serikali kupatia ushirikiano makabila yanayodai haki mbali mbali kwa kuwa makundi hayo nayo yana nafasi katika ujenzi wa nchi zao. Bwana Sena ameiambia Idhaa ya Kiswahili ya Radio ya Umoja wa Mataifa mjini New York, [...]

20/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Utayari wa wasomali umerahisisha mchakato wa amani- Balozi Mahiga

Kusikiliza / Augustine Mahiga

Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa  Balozi Augustine Mahiga anahitimisha wadhifa wake huo mapema mwezi ujao baada ya kuhudumu kwa miaka mitatu.Katika kipindi chakeSomaliailiyokuwa imegubikwa na mapigano ya wenyewe kwa wenyewe kwa zaidi ya miongo miwili imeweza kuwa na serikali, bunge na sasa mchakato wa kujenga miundombinu inaendelea. Katika sehemu hii ya [...]

20/05/2013 | Jamii: Mahojiano | Kusoma Zaidi »

Magonjwa ya mifugo ni changamoto kubwa kwa wafugaji

Kusikiliza / Mifugo, Uganda

Ni mpakani mwa Uganda na Kenya, eneo lililo ndani zaidi ambapo jamii ya hapa inategemea zaidi mifugo kwa maisha yao. Katika kusaka malisho na maji ya mifugo, mara kwa mara wachungaji wanavusha mpaka mifugo hiyo ambayo ni mbuzi na ng'ombe.Miongoni mwa wafugaji wa eneo hili ni Cholima Logid, baba wa watoto Tisa ambaye amekuwa akivusha [...]

20/05/2013 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

MONUSCO yaingiwa wasiwasi na mapigano mapya huko Goma

Kusikiliza / Mlinda amani, Kibati, DRC

Kumeripotiwa kuzuka upya kwa mapigano kwenye eneo la Kibati na Rusayo huko Goma mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasi ya Kongo, DRC, alfajiri ya Jumatatu kati ya vikosi vya serikali na waasi wa kundi la M23 ambapo Ujumbe wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa nchini humo, MONUSCO umeelezea wasiwasi mkubwa. Msemaji wa Umoja wa Mataifa [...]

20/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Makabila ya asili yasipuuzwe, nayo huchangia maendeleo: UM

Kusikiliza / Chifu Mkuu wa taifa lijulikanalo kama Onondaga Todadaho Sid Hill

Kikao cha kudumu cha Umoja wa Mataifa kinachojadili masuala ya makabila asili kimeanza Jumatatu mjini New York, Marekani.Kikao hicho kilianza rasmi kwa kupigwa wimbo maalum. Na baada ya taratibu zote kukamilika ikiwemo kuchaguliwa kwa Paul Kanyike Sena kutoka Kenya kuwa mwenyekiti wa kikao hicho cha 12, Rais wa Baraza la uchumi na Kijamii la Umoja [...]

20/05/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Ban aipongeza Msumbiji kwa kuwapa wanawake nafasi

Kusikiliza / Ban Ki-moon akutana na bi.Veronica Nataniel Macamo Dhlovo.

Katibu Mkuu wa Umoja wa mataifa Ban Ki-moon ambaye yuko ziarani Msumbiji leo amekutana na spika wa bunge la nchi hiyo bi.Veronica Nataniel Macamo Dhlovo. Amempongeza kwa kuwa mwnamke wa kwanza kushika wadhifa huo nchini Msumbiji na kuongeza kuwa ametiwa moyo na idadi ya wanawake walioko bungeni. Ban na Bi Macamo wamejadili baadhi ya changamoto [...]

20/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Baraza kuu la Umoja wa Mataifa laiweka Polynesia kuwa eneo lilo kwenye orodha ya Umoja wa Mataifa ya kuwa huru

Kusikiliza / Kikao cha Baraza Kuu

Baraza kuu la Umoja wa Mataifa wiki iliyopita lilipiga kura ya kuamua kuviondoa visiwa vya Polynesia kutoka kwa ukoloni wa Ufaransa na kuiomba serikali ya Ufaransa kufanya hima . Kupitia kwa azimio lililopendekezwa na visiwa vya Nauru,Tuvaluna Solomon baraza kuu liliamua kuwa watu wa Polynesia wana haki ya kuwa huru kuambatana na mkataba wa Umoja [...]

20/05/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Baraza kuu la afya lajadili magonjwa yasiyo ya kuambukiza:WHO

Kusikiliza / WHO

Baraza kuu ni chombo cha ngazi ya juu kabisa cha maamuzi cha WHO ambacho huweka sera za shirika na kupitisha bajeti. Msemaji wa WHO Glen Thomasi anaainisha baadhi ya ajenda zitakazojadiliwa katika kikao hicho cha 66 cha baraza la WHO.  (SAUTI YA GLEN THOMAS) "Miongoni mwa maswala yatakayojadiliwa ni jinsi gani ya kuzuia na kudhibiti [...]

20/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Bokova azuru Afghanistan kuchagiza elimu ya mtoto wa kike:UNESCO

Kusikiliza / Mkurugenzi Mkuu, UNESCO,Irina Bokova

Mkurugenzi mkuu wa shirika la elimu, sayansi na utamaduni UNESCO Bi Irina Bokova ametumia ziara yake nchini Afghanistan kuchagiza kuhusu elimu kwa mtoto wa kike na kueleezea umuhimu wa urithi wa utamaduni wa taifa hilo kama kivutio cha kiuchumi.Katika ziara hiyo ya siku tatu Bi Bokova amekutana na viongozi mbalimbali wa serikali akiwemo Rais Hamid [...]

20/05/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Utayari wa wasomali uliwezesha mchakato wa kisiasa: Balozi Mahiga

Kusikiliza / Balozi Augustine Mahiga

  Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia anayemaliza muda wake, Balozi Augustine Mahiga amezungumzia sababu ya mafanikio ya amani inayodhihirika nchini Somalia baada ya miongo miwili ya mapigano ya wenyewe kwa wenyewe.Grace Kaneiya anaripoti(PKG YA GRACE KANEIYA) Balozi Mahiga ametaja sababu hiyo katika mahojiano maalum na Radio ya Umoja wa [...]

20/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ban ajadili mustakhbali baada ya 2015 Msumbiji

Kusikiliza / Ban Ki-moon akaribishwa, Msumbiji

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon yuko ziarani nchini Msumbiji ambako Jumatatu amekutana na spika wa bunge la nchi hiyo Bi Veronica Makamo na kushiriki mjadala wa " Mustakhbali tunaoutaka baada ya malengo ya milenia 2015 na ajenda za 2025".Katika mjadala huo Ban amesisitiza kwamba mustakhbali ambao dunia inautaka ni mtazamo wa kimataifa [...]

20/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ban aelezea wasiwasi kutokana jaribio la Kombora lililofanywa na Korea Kaskazini

Kusikiliza / Ban Ki-moon

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesema ameingiwa na hali ya wasiasi kufuatua mvutano baina ya Korea mbili, ambazo zimeingia kwenye msuguano uliosababishwa na kitendo cha Korea ya Kaskazini kurusha kombora la masafa ya katika bahari.   Hatua hiyo iliyochukuliwa na Korea imekuja huku kukiwa na mashinikizo makali toka jumuiya ya kimataifa ikiwemo [...]

20/05/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

UPU yaendelea kusaidia umarishaji wa huduma za posta Palestina

Kusikiliza / Waziri Safa Nasser Eldin alishukuru UPU kwa jitihada zake(picha,UPU)

  Umoja wa mashirika ya posta duniani, UPU umerejelea azma yake ya kutoa msaada wa kiufundi ili kuboresha huduma za posta huko Palestina.Assumpta massoi na taarifa zaidi (RIPOTI YA ASSUMPTA MASSOI) Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa UPU Bishar Hussein huko Berne Uswisi baada ya mazungumzo yake na Waziri wa Mawasiliano wa Palestina SafarNasserEldin [...]

20/05/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031