Nyumbani » 16/05/2013 Entries posted on “Mei 16th, 2013”

“Nitakuza maendeleo ya dunia kwa biashara”- Dk Kituyi

Kusikiliza / Mukhisa Kituyi

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, amemteua Mukhisa Kituyi wa Kenya kuwa Katibu Mkuu mpya wa Kamati ya Biashara na Maendeleo ya Umoja wa Mataifa, UNCTAD, kwa kipindi cha miaka minne, kuanzia Septemba mosi mwaka huu. Katibu Mkuu wa sasa Supachai Panitchpakdi anamaliza kipindi chake mwezi Agosti mwaka huu.Kufuatia uteuzi huo mwandishi wa [...]

16/05/2013 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Lengo sasa ni kumfikikishia kila mtu intaneti nafuu na salama: ITU

Kusikiliza / Cha msingi ni kuhakikishia kila mtu mtandao salama,ITU

Ulimwengu upo kwenye ncha ya mabadiliko, wakati mtandao wa intaneti unapohama kutoka kuwa soko kubwa katika nchi zilizoendelea na kupata ufuasi na matumizi makubwa kote duniani, amesema Hamadoun, Katibu Mkuu Shirika la Kimataifa la mawasiliano, ITU. Dr. Touré amesema hayo wakati wa kuhitimishwa kongamano la tano la kimataifa kuhusu sera za teknolojia ya mawasiliano, WTPF [...]

16/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Uzazi wa mpango bado changamoto Afrika- UNFPA

Kusikiliza / Mama na mwanawe

Takwimu za Shirika Umoja wa Mataifa la idadi ya watu duniani UNFPA, zinaonyesha kwamba licha ya kampeni ya jumuiya ya kimataifa na mashirika mbalimbali juu ya uzazi wa mpango, bado utekelezaji wake umekuwa mgumu hususani barani Afrika ambako jamii nyingi huzaana bila kuzingatia mpango huo stahiki. Makala hii iliyoandaliwa na Joseph Msami inaeleza namna uzazi [...]

16/05/2013 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Watakiwa kuhama kuepuka madhara ya kimbunga nchini Myanmar

Kusikiliza / Mynmar imekumbwa na kimbunga

Wakati watu na serikali ya Myanmar wakikabiliwa na kimbunga Mahasen Mratibu wa misaada ya kibinadamu nchini humo Bwana Ashok Nigam ametaka kuhamishwa haraka kwa watu watakaoathirika.Mapema, serikali ya Rakhine imeripoti kwamba zaidi ya watu 35,000 wamehamishwa pamoja na watu wanaioshi makambini. Maelfu ya watu katika eneo hilo walilazimika kuhama makazi yao wakati wa ghasia mwaka [...]

16/05/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

TEKNOHAMA yabadili mfumo wa biashara kwa wajasiriamali wanawake

Kusikiliza / ujasiriamali na teknolojia

Mkutano wa kimataifa wa Jamii Habari wa tarehe 13 hadi 17 Mei huko Geneva, Uswisi ulioandaliwa na mashirika ya Umoja wa Mataifa ikiwemo lile la mawasiliano, ITU pamoja na mambo mengine unaangalia fursa mpya kwa wajasiriamali wanawake za kuimarisha biashara zao kupitia teknolojia ya habari na mawasiliano, TEKNOHAMA au ICT kwa kimombo. Mathalani matumizi ya [...]

16/05/2013 | Jamii: Mahojiano | Kusoma Zaidi »

Mukhisa Kituyi wa Kenya ateuliwa kuwa Mkuu wa UNCTAD

Kusikiliza / Mukhisa Kituyi

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, amemteua Mukhisa Kituyi wa Kenya kuwa Katibu Mkuu mpya wa Kamati ya Biashara na Maendeleo ya Umoja wa Mataifa, UNCTAD, kwa kipindi cha miaka minne, kuanzia Septemba mosi mwaka huu. Katibu Mkuu wa sasa Supachai Panitchpakdi anamaliza kipindi chake mwezi Agosti mwaka huu. Jason Nyakundi anaeleza zaidi. [...]

16/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ban asema anafahamu hali ilivyo nchini Nigeria

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa UM, Ban Ki-moon

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki moon anasema kuwa anafahamu kuhusu hatua ya serikali ya Nigeria ya kutangaza hali ya hatari kwenye majimbo ya kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.Ban anasema kuwa anaelewa kuhusu ghasia na kuzorota kwa usalama  eneohilo. Ban ametoa wito kwa makundi ya wanamgambo kusitisha mashambulizi yao akiongeza kuwa hakuna suluhu [...]

16/05/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Mamilioni wakabiliwa na hali mbovu ya kibinadamu Yemen:OCHA

Kusikiliza / yemenis-food-aid-300x257

Mkuu wa Ofisi ya Kuratibu Misaada ya Kibinadamu katika Umoja wa Mataifa nchini Yemen Ismail Ould Cheikh Ahmed, amesema nchi hiyo inakabiliwa na kuzorota zaidi kwa hali ya kibinadamu, ambayo huenda ikasababisha hali tete ya kisiasa iliyopo sasa nchini humo kutumbukia matatani. George Njogopa anaripoti (TAARIFA YA GEORGE NJOGOPA) Kulingana na mratibu Cheikh Ahmed, kiasi [...]

16/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Baraza Kuu lajadili maendeleo endelevu na mabadiliko ya tabianchi

Kusikiliza / Mkutano wa, Baraza Kuu

 Hapa mjiniNew York, Baraza la Kuu la Umoja wa Mataifa leo limekutana kujadili maendeleo endelevu na mabadiliko ya tabianchi, likiangazia masuala ya maji na nishati. Joshua Mmali ana maelezo zaidi (RIPOTI YA JOSHUA MMALI) Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Vuk Jeremic, amesema haiwezekani tena wanadamu kuendelea tu na shughuli za kawaida bila [...]

16/05/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Teknohama yakomboa wafanyabiashara wanawake

Kusikiliza / mwanamke mjasiriamali

Wakati mkutano wa dunia kuhusu Jamii-Habari ukiendelea hukoGeneva, Uswisi imebainika kuwa maendeleo ya teknolojia ya habari na mawasiliano, teknohama yamekuwa mkombozi kwa wafanyabiashara wanawake ambapo hivi sasa wanaweza kutumia mawasilianokamaya simu au intaneti kutangaza bidhaa zao kwa gharama nafuu. Shirika la Umoja wa Mataifa la Biashara na Maendeleo UNCTAD  na lile la kazi, ILO yanahakikisha kuwa wajasiriamali [...]

16/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Jesús Vázquez awatembelea wakimbizi wa Syria nchini Jordan

Kusikiliza / Jesús Vázquez

Balozi mwema wa shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR ambaye pia ni mtangazi maarufu wa runinga nchini uhispania Jesús Vázquez wiki ameitembelea Jordan kuangazia hali ya maelfu ya wakimbizi nchini Syria hususan watoto na kusaidia kuchangisha fedha zinazohitajika na UNHCR nchini Syria. Akiwa kwenye kambi ya Za'atri balozi huyo amesema kuwa ziara [...]

16/05/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Mambo manane muhimu ya kufahamu kuhusu njaa nchini Mali:WFP

Kusikiliza / Machafuko yameleta njaa. Mali, WFP

Shirika la mpango wa chakula duniani WFP linasema mwaka mmoja wa machafuko nchini Mali umeleta njaa kwa maelfu na maelfu ya watu. Ukame na umasikini uliokithiri pia vimesababisha athari kubwa. Kwa mujibu wa WFP kuna mambo manane muhimu ya kuyafahamu kuhusu tatizo la njaa Mali na nini kinachofanywa na WFP kupeleka msaada wa chakula kwa [...]

16/05/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Vita dhidi ya Pepo punda yaweka historia: UNICEF

Kusikiliza / unicef-logo

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF limesema hatua ya kihistoria imefikiwa katika kutokomeza ugonjwa wa Pepopunda miongoni mwa mama na watoto wachanga ambapo zaidi ya nusu ya nchi 59 zilizokuwa na ugonjwa huo zimeweza kuutokomeza. Taarifa ya UNICEF inesema kuwa Pepopunda ambayo husababisha kifo cha mtoto mmoja mchanga katika kila dakika Tisa, [...]

16/05/2013 | Jamii: Habari za wiki, Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

ITU na UNODC kudhibiti uhalifu wa kimtandao

Kusikiliza / ITU na UNODC kudhibiti uhalifu wa mtandao

  Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya kupambana na madawa ya kulevya na uhalifu UNODC kwa kushirikiana na shirika la kimataifa la mawasiliano ITU linanuia kupambana na uhalifu wa kimtandao katika nchi za Afrika Mashariki kwa kutoa mafunzo kwa watumishi katika sekta ya sheria na kuanzisha mikakati endelevu ya kukomesha uhalifu huo.Akizungumza na idhaa hii [...]

16/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Jamii ya kimataifa yaahidi dola bilioni 4.18 kukarabati Mali

Kusikiliza / Jamii ya kimataifa kutoa msaada kwa Mali

Jamii ya kimataifa imeahidi kutoa msaada wa dola bilioni nne nukta moja, ambazo zitasaidia katika mpango wa kuiendeleza nchi ya Mali. Alice Kariuki na taarifa kamili. (TAARIFA YA ALICE) Ahadi hizo za msaada zimetolewa wakati wa mkutano uloandaliwa na serikali za Mali na Ufaransa pamoja na jumuiya ya nchi za Ulaya, mjini Brussels, Ubeljiji. Mpango [...]

16/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031