Nyumbani » 15/05/2013 Entries posted on “Mei 15th, 2013”

Ban na David Cameron wajadili Syria na ajenda baada 2015

Kusikiliza / Katibu Mkuu, Ban na Waziri Mkuu, UK, Bw.Cameron

  Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, amefanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameron, na kumshukuru kwa uongozi wake na uungaji wake mkono kwa Umoja wa Mataifa kuhusu masuala kadhaa, yakiwemo Somalia, Mali, wakimbizi wa Syria, kiwango cha msaada wa maendeleo unaotolewa na Uingereza na Mfuko wa Kimataifa kuhusu malaria, kifua [...]

15/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Baraza Kuu la UM lapitisha azimio kuhusu Syria

Kusikiliza / Rais wa Baraza Kuu Vuk Jeremic

  Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio ambalo pamoja na mambo mengine linatoa wito wa kuharakishwa mchakato wa mpito wa kisiasa nchini Syria huku likieleza masikitiko yake kutokana na ongezeko la idadi ya vifo kila uchwao nchini humo. Upigaji kura ulionyesha nchi 107 zikiunga mkono, nchi 12 zikipinga huku nyingine 59 zikijiepusha kuonyesha [...]

15/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Somalia yajadili ujenzi wa taifa kwa ufadhili wa wahisani

Kusikiliza / Mjadala kuhusu Somalia

Majadiliano ya ushiriki wa kutatua hali tete nchini Somalia (SAUTI MJADALA) Ni katika mkutano unaomkutanisha Waaziri Mkuu wa Somalia Abdi Farah Shirdon na wadau mbalimbali wakiwemo wahisani lengo ni ujenzi wa taifa sambamba na amani ya Somalia. Huu ni makakati mahususi ulioasisiwa na nchi zilizoendelea kiviwanda G7 mnamo mwaka 2011 kwa ajili ya mageuzi ya [...]

15/05/2013 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Ukatili wa ngono wakabiliwa DRC

Kusikiliza / Kikosi cha,MONUSCO

Ripoti ya pamoja ya ofisi ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa na serikali ya Jamhuri ya kidemokrasi ya Kongo, DRC, kuhusu unyanyasaji wa kijinsia hususani ni ubakaji nchini humo, inaonyesha kwamba takribani wanawake 200 wamebakwa  katika kipindi cha mwezi November pekee mwaka jana. Taarifa hiyo inaonyesha kwamba vitendo vya ubakaji vimekithiri zaidi katika [...]

15/05/2013 | Jamii: Mahojiano | Kusoma Zaidi »

Baraza Kuu lakutana kutafutia suluhu mzozo wa Syria

Kusikiliza / Baraza Kuu

 Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa linakutana leo kujadili mzozo nchiniSyria, huku ikitarajiwa kuwa Barazahilolitaafikia na kupitisha azimio kuhusu hali hiyo. Mwanzoni mwa kikao hich, Rais wa Baraza Kuu Vuk Jeremic, amesema ikiwa Umoja wa Mataifa utashindwa kukomesha mzozo huo ambao unageuka kuwa janga la kibinadamu, basi itakuwa ni sawa kuhoji muungano huo wa Umoja [...]

15/05/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Baraza la Usalama lajadili hali ya usalama Jamhuri ya Afrika ya Kati

Kusikiliza / Bi Margaret Vogt(kushoto) wajadiliana na Bi.Zainab Bangura(kulia)

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo limepokea ripoti ya Katibu Mkuu kuhusu hali ya usalama huko Jamhuri ya Afrika ya Kati na mapendekezo ya hatua za kuchukuliwa kufuatia kuzorota kwa usalama tangu waasi wapindue serikali. Joshua Mmali na taarifa zaidi.(Taarifa ya Joshua) Akilihutubia Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, Mwakilishi Maalum wa [...]

15/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

MONUSCO na IOM zachukua hatua kudhibiti ukatili wa kingono DRC

Kusikiliza / Mafunzo huko Ituri

Huko Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo DRC, ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini humo MONUSCO umetoa mafunzo  kwa maafisa polisi wa mahakamani ili kudhibiti vitendo vya  ukatili wa kingono ambapo utekelezaji wa mpango huo utasimamiwa na shirika la kimataifa la uhamiaji, IOM. Jumbe Omar Jumbe anafafanua kile ambacho wao watafanya.   (SAUTI YA JUMBE)

15/05/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Tusifumbie macho hasara za kiuchumi zitokanazo na majanga: Ban

Kusikiliza / Athari za mafuriko Msumbiji

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon amezungumza katika uzinduzi wa ripoti ya tatu ya udhibiti wa majanga na kueleza kuwa hasara zitokanazo na majanga hazitaweza kudhibitiwa iwapo mikakati ya kupunguza athari za majanga haitapatiwa kipaumbele. Ripoti ya Alice Kariuki inafafanua zaidi. (TAARIFA YA ALICE) Hotuba ya Katibu Mkuu Ban imesema wakati wa kufumbia [...]

15/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ban apongeza uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu mpya wa WTO

Kusikiliza / Roberto_Azevedo

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki moon amekaribisha uteuzi wa Balozi Roberto Carvalho de Azevêdo kutoka Brazil kuwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa Shirika la biashara duniani WTO. Taarifa imemkariri Bwana Ban akisema kuwa akiwa ashahudumuakamamwakilishi kwenye shirika la WTO Balozi Carvalho de Azevêdo yuko kwenye nafasi nzuri  ya kuhakikisha kuwa WTO imeendelea na [...]

15/05/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Pengo la huduma za afya kati ya nchi tajiri na maskini lapungua: WHO

Kusikiliza / Katika kliniki

Shirika la afya duniani, WHO limetoa ripoti mpya kuhusu mwelekeo wa utoaji wa huduma za afya dhidi  ya Ukimwi, Kifua Kikuu na zile za uzazi na kubainisha kupungua kwa pengo la utoaji wa huduma hizo kati ya nchi maskini na zile tajiri. Ripoti hiyo inapigia chepuo harakati za kufikia malengo ya milenia kama kichocheo kikuukamaanavyoripoti [...]

15/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UNESCO mbioni kuanzisha machapisho kwa digitali

Kusikiliza / UNESCO, kutoa machapisho kwa njia ya digitali

Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na Elimu, Sayansi na Utamaduni UNESCO  limepanga kutoa machapisho yake kwa njia ya digitali hatua ambayo itawawezesha mamilioni ya watu duniani kote kupata fursa ya kufikiwa na taarifa hizo bila malipo yoyote.Hatua hii inafuatia makubaliano yaliyofikiwa na bodi ya wakurugenzi ya shirika hiyo na hivyo kuwa ni taasisi ya [...]

15/05/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

ITU yachukua hatua kulinda watoto dhidi ya matumizi mabaya ya intaneti

Kusikiliza / Ulinzi wa watoto dhidi ya matumizi mabaya ya intaneti,ITU

  Washiriki wa mkutano wa shirika la kimataifa la mawasiliano, ITU wamechukua hatua kulinda watoto dhidi ya intaneti ikiwa ni sehemu ya mwelekeo wa kuhakikisha dunia inanufaika na jamii habari ifikapo mwaka 2015. Assumpta Massoi ana maelezo zaidi.  (TAARIFA ASSUMPTA) Katika kutekeleza hatua hiyo, mkutano huo umemteua Dame Jonathan ambaye ni mke rais wa Nigeria [...]

15/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930