Nyumbani » 13/05/2013 Entries posted on “Mei 13th, 2013”

Baraza la Usalama lalaani Shambulizi la bomu Uturuki

Kusikiliza / Baraza la Usalama kuhusu Syria

        Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, limelaani vikali mashambulizi ya bomu yalotekelezwa katika mji wa Reyhanli nchini Uturuki, mnamo siku ya Jumamosi, na ambayo yalisababisha vifo vya watu wapatao 46, na kuwajeruhi wengine kadhaa.   Wanachama wa Baraza hilo la Usalama wameelezea huzuni yao kwa waathirika, na kutuma risala za [...]

13/05/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

UNAMID yalaani mauaji Darfur

Kusikiliza / UNAMID

Ujumbe wa Muungano wa Afrika na Umoja wa Mataifa Darfur UNAMID unaungana na kiongozi wa pamoja wa Muungano huo Mohamed Chambas kulaani shambulio la kinyama la May 12 lililosababisha kifo cha Mohamed Bashar ambaye alikuwa kiongozi wa kundi la Justice and Equality Movement-Sudan (JEM/Bashar) na washirika wenzake. Bwana Chambas amesema kundi hilo lilikuwa na nia [...]

13/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UNICEF, WHO waonya kuhusu hali mbaya ya usafi duniani

Kusikiliza / Usafi bado tatizo

Ripoti ya pamoja ya mashirika mawili ya Umoja wa Mataifa lile la la afya, WHO na shirika la kuhudumia watoto UNICEF inaonyesha kwamba theluthi moja ya idadi ya watu duniani itaendelea kutokuwa na usafi hadi mwaka 2015. Ripoti hiyo iliyopewa jina la taarifa ya maendeleao ya usafi na unywajji wa maji ,2013, inahadharisha kuwa kwa [...]

13/05/2013 | Jamii: Habari za wiki, Malengo ya maendeleo ya milenia | Kusoma Zaidi »

Gesi ya cabon angani imeongezeka sana:UNFCCC

Kusikiliza / Nembo ya UNFCCC

Katibu  mkuu kwenye makubalino ya Umoja wa Mataifa kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa Christiana Figueres amelalamikia suala kuwa kuongezeka viwango vya gesi ya carbon angani vimepita kiwango cha juu zaidi ambapo ametaka hatua kuchukuwa kukabiliana na madabiliko ya hali ya hewa yanayoendelea kushuhudiwa. Amesema kuwa viwango vya sasa vya gesi ya Carbon vya mianne [...]

13/05/2013 | Jamii: Hapa na pale, Rio+20 | Kusoma Zaidi »

Pillay akaribisha hukumu dhidi ya kiongozi wa zamani Guatemala

Kusikiliza / Navi Pillay

  Kamishina mkuu wa haki za binadamu kwenye Umoja wa Mataifa Navi Pillay amekaribisha hukumu ya kwanza kabisa dhidi ya kiongozi wa zamani nchini Guatemala José Efraín Ríos Montt, kutokana na makosa ya uhalifu dhidi ya ubinadamu. Pillay anasema kuwa Guatemala imeandikisha historia kwa kuwa nchi ya kwanza kumuhukumu kiongozi wa zamani  kwenye mahakama yake [...]

13/05/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Mipaka isopodhibitiwa huchangia ugaidi:Ban

Kusikiliza / kupambana na ugaidi

  Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, amesema ugaidi hunawiri pale udhibiti wa mipaka unapokuwa hafifu. Bwana Ban amesema ili kuhakikisha kuwa ugaidi unakabiliwa ipasavyo, nchi na kanda zinazoathiriwa zinatakiwa kusaidiwa kuimarisha uwezo wao wa mifumo ya usalama. Katibu Mkuu amesema hayo wakati wa mkutano wa Baraza la Usalama kuhusu amani na usalama [...]

13/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ban apongeza uchaguzi Pakistan

Kusikiliza / Ramani ya Pakistan

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesema kuwa kukamilika kwa amani uchaguzi mkuu wa Pakistan ni ishara kwamba taifa hilo limepiga hatua na kukomaa kidemokrasia . Ban amepongeza hali iliyoonyeshwa na vyama vya siasa akisema kuwa pande zote zilizingatia uadilifu na kuheshimu misingi ya utunzaji wa amani ya nchi. Ameeleza kuwa uchaguzi huo [...]

13/05/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Kutokomeza usafirishaji haramu wa watu kunahitaji uongozi wa kisheria: Ban

Kusikiliza / Usafirishaji haramu wa watu

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon ametoa wito kwa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa kusaidia katika kutokomeza usafirishaji haramu wa watu, na kujenga ulimwengu ambako mahitaji ya watu ya kimsingi yanatimizwa na haki zao kuheshimiwa. Katibu Mkuu amesema mabilioni ya dola hutokana na usafirishaji haramu, unyanyasaji na kuwatumikisha vibaya watu, na fedha [...]

13/05/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Israel yaaswa dhidi ya ujenzi wa barabara ya njia sita Mashariki mwa Jerusalem

Kusikiliza / Richard Falk

Mwakilishi maalumu wa Umoja wa mataifa kuhusu Mashariki ya Kati Richard Falk Jumatatu ameionya Israel na kuitaka isitishe mara moja ujenzi wake wa barabara ya njia sita katika eneo la Beit Safafa Mashariki mwaJerusalem. Amesema maisha ya Wapalestina 9,300 yatasambaratishwa na ujenzi huokamautakamilika. Jason Nyakundi anaripoti(RIPOTI YA JASON NYAKUNDI) Falk ambaye ametwikwa jukumu na baraza [...]

13/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mchango wa misitu na wadudu ni mkubwa kukabili njaa:FAO

Kusikiliza / Viumbe kama panzi ni chakula

Shirika la chakula na kilimo FAO limesema misitu na rasilimali zilizomo vina mchango mkubwa katika kuisaidia dunia kukabiliana na tatizo la njaa. Taarifa zaidi na George Njogopa. (SAUTI YA GEORGE) Zaidi ya watu bilioni moja duniani kote hutegemea misitu kuendesha maisha yao ya kila siku ikiwemo chakula na uvunaji wa malighafi.Mkurugenzi wa FAO Graziano da Silva [...]

13/05/2013 | Jamii: Mawasiliano mbalimbali | Kusoma Zaidi »

Viongozi wa Baha'i waachiliwe Iran: UM

Kusikiliza / Wafuasi wa Baha'i, Iran

Kikundi cha wataalam wa haki za binadamu wameitaka mamlaka ya iran kuwaachilia huru viongozi 7 wa jamii wajulikanao kama Yaran, ikikaribia miaka mitano tangu wakamatwe, kufungwa kwao kukitajwa kama holela na kundi la UM kuhusu kukamatwa kiholela kwa watu mnamo novemba 20 2008 (Taarifa ya Grace Kaneiya) Serikali ya Iran inapaswa kuonyesha kujitoa kwake katika [...]

13/05/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Lolote lifanywe kutokomeza usafirishaji haramu wa watu: UM

Kusikiliza / Utumwa wa watu unapaswa kutokomezwa

Kila juhudi zinapaswa kufanywa ili kutokomeza utumwa wa mamilioni ya watu, huku waathirika wakisaidiwa kuanza maisha mapya.  Hayo yamesemwa na rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataia, Vuk Jeremic, wakati wa mkutano wa Baraza hilo kuhusu mpango wa kimataifa wa hatua za kukabiliana na usafirishaji haramu wa watu.Bwana Jeremic amesema anaamini kuwa wakati hatua [...]

13/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031