Nyumbani » 12/05/2013 Entries posted on “Mei 12th, 2013”

Ban akaribisha kuachiliwa kwa walinda amani wa UNDOF

Kusikiliza / UNDOF1-342x293

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, amekaribisha kuachiliwa kwa walinda amani wanne wa kikosi cha Umoja wa Mataifa cha uangalizi wa utiaji chini silaha, UNDOF, ambao walikuwa wamezuiliwa tangu Mei 7 karibu na eneo la Al Jamlah nchini Syria. Bwana Ban ametoa shukrani kwa msaada wa serikali ya Qatar na wengine walohusika katika [...]

12/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ban alaani shambulizi la bomu kusini mashariki mwa Uturuki

Kusikiliza / KM Ban Ki-moon

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, amelaani vikali shambulizi la bomu lilitokelezwa mnamo Jumamosi kwenye mji wa Reyhanli, katika mkoa wa Hatay nchini Uturuki. Kwa mujibu wa ripoti za awali, watu arobaini wameuawa katika shambulizi hilo, na wengine zaidi ya mia moja kujeruhiwa. Bwana Ban amelaani vitendo vyote vya kigaidi, na kusisitiza kuwa [...]

12/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031