Nyumbani » 10/05/2013 Entries posted on “Mei 10th, 2013”

Kampeni mpya ya chanjo dhidi ya numonia yang’oa nanga

Kusikiliza / Mtoto apokea chanjo, Uganda

Nchini Uganda, ugonjwa wa numonia huua hadi watoto ishirini na nne elfu chini ya miaka mitano kila mwaka. Lakini sasa maelfu ya maisha ya watoto yataokolewa kufuatia kuanzisha chanjo mpya ya PCV dhidi ya ugonjwa huo.Shirika la Kuhudumia Watoto, UNICEF, na Shirika la Afya Duniani, WHO, kwa ushirikiano na serikali ya Uganda yalizindua kampeni hiyo [...]

10/05/2013 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Brigedi ya kuingilia kati yaanza kuwasili mashariki mwa DRC: MONUSCO

Kusikiliza / Baraza la Usalama kuangalia upya MONUSCO

    Ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kuweka utulivu katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, MONUSCO, umesema kuwa kikosi cha awali cha watu 45 kutoka kwa Brigedi yake ya kuingilia kati kimewasili mjini Goma hii leo. Brigedi hiyo iliundwa kufuatia azimio la Baraza la Usalama la Machi 28 mwaka huu wa 2013. Brigedi hiyo [...]

10/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kazi niliyotumwa Somalia nimeimaliza kwa wakati na kwa amani-Balozi Mahiga

Kusikiliza / Balozi Augustine Mahiga

Baada ya miaka mitatu ya kuhudumu kama Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia, Balozi Augustine Mahiga amesema jukumu hilo lilikuwa ni kubwa na changamoto nyingi. Lakini alisonga mbele hadi kuwezesha kuundwa kwa serikali, bunge na katiba nchini humo. Balozi Mahiga ambaye anahitimisha jukumuhilomwezi ujao wa Juni, alisema hayo katika mahojiano maalum [...]

10/05/2013 | Jamii: Mahojiano | Kusoma Zaidi »

Uvumilivu, ujasiri na kutokata tamaa vilinitia moyo: Balozi Mahiga

Kusikiliza / Balozi Augustine Mahiga

Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia Balozi Augustine Mahiga ambaye anamaliza jukumu lake mwezi ujao amesema miaka mitatu ya jukumu hiyo ilikuwa na changamoto nyingi lakini mambo makuu matatu yalimwezesha kusonga mbele na kukamilisha jukumu alililokuwa amepewa. Akizungumza katika mahojiano maalum na Radio hii, Balozi Mahiga amesema kuna wakati alikata [...]

10/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipaji cha muziki chatia matumaini miongoni mwa watoto waishio kwenye mazingira magumu Tanzania

Kusikiliza / Watoto

Nchini Tanzania kumekuwa na ongezeko kubwa la watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu,jambo ambalo linasababishwa na kukosekana kwa uthabiti kwa familia. Kundi kubwa la watoto hao wanapatikana kwa wingi katika maeneo ya miji mikubwa ikiwemo Dar es salaam, Mwanza na Arusha. Hata hivyo kumekuwa na ongezeko pia la mashairika ya kiraia ambayo yanaunga mkono juhudi za [...]

10/05/2013 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Kuharibiwa kwa maeneo wanayopumzikia ndege wanahoama kunaharatisha familia nyingi za ndege:UNEP

Kusikiliza / Ndege wanaohama

Shirika la mazingira la Umoja wa Mataifa UNEP linasema kuwa tukio la kuhama kwa ndege kila mwaka ambapo karibu ndege milioni 50 wanahama ikiwa ni karibu asilimia 19 ya familia 10,000 ya ndege duniani ni moja ya maajabu makubwa duniani lakini hata hivyo maeneo ambayo ndege hawa hutumia kukamilisha safari zao yameharibiwa au yanatoweka kabisa. [...]

10/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Pillay ataka wale wanaondesha uhalifu nchini Syria kuchukuliwa hatua

Kusikiliza / Navi Pillay

Kamishina Mkuu wa haki za binadamu kwenye Umoja wa Mataifa Navi Pillay amesema kuwa ripoti kuhusu mauaji ya halaiki nchini Syria yaynayoendeshwa na serikali ya Syria na wapiganaji wanaoiunga mkono serikali siku za hivi majuzi yataichochea jamii ya kimataifa kuhakikisha wale waliohusika kwenye ukiukaji huo wa haki za binadamu wamewajibika. Jason Nyakundi anaripoti (RIPOTI YA [...]

10/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Misaada kwa ajili ya kukabiliana na ukame uliokikumba kisiwa cha Marshall iko mbioni:IOM

Kusikiliza / iom logo

Shirika la kimataifa linalohusika na uhamiaji IOM, limesema kuwa shughuli za usambazaji wa misaada ya dharura kwenye maeneo yaliyokumbwa na ukame kaskazini mwa kisiwa cha Jamhuri ya Marshall inatarajia kuanza wakati wowote kuanzia sasa.   Zaidi ya wananchi 5,700 wanaishi kandoni mwa kisiwa hicho wamekubwa na ukame ulianza kujitokeza mwezi February mwaka huu baada ya [...]

10/05/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

WHO yapeleka maafisa Saudia kufuatia mlipuko wa coronavirus:

Kusikiliza / corona virus

Maafisa wawili wa shirika la afya duniani WHO wamekwenya nchini Saudia Arabia Jumatano wiki hii ili kukutana na maafisa wa wiraza ya afya ya taifa hilo la Kiarabu kutathimini hali ya mlipuko wa virusi vya corona vinavyosababisha maradhi ya mfumo wa hewa kwa binadamu. WHO inasema lengo kubwa la ziara hiyo ni kuelewa hali halisi [...]

10/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

WFP imeanza kupeleka msaada wa chakula Tartous

Kusikiliza / Syria wfp

Shirika la mpango wa chakula duniani WFP leo limeanza kupeleka msaada wa dharura wa chakula kwa mamia ya watu wa Syria wanaokimbia vijiji vyao kwenye pwani ya Mediteraniani katika mji wa Tartous. Kwa mujibu wa WFP hofu ya maisha ya watu inaongezeka kufuatia kutapakaa kwa machafuko katika nchi nzima ya Syria .Shirika hilo linasema mapigano [...]

10/05/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

UNICEF yalaani uingizaji watoto jeshini CAR

Kusikiliza / child-soldiers

      Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto UNICEF limelaani vikali vitendo vinavyoendelea nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati vya kuwaingiza watoto jeshini na kukatili maisha hayo. Shirika hilo linasema vitendo hivyo ni ukiukaji wa sheria za kimataifa za haki za watoto na haki za binadamu za kuishi kwani watoto wengi wanaposhiriki [...]

10/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930