Nyumbani » 09/05/2013 Entries posted on “Mei 9th, 2013”

Matarajio ya Guinea-Bissau mpya mwakani yapo licha ya changamoto: Ramos-Horta

Kusikiliza / Jose Ramos Horta

Mwakilishi maalum wa Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa huko Guinea-Bissau José Ramos-Horta amesema kuna dalili za matumaini nchini humo baada ya mapinduzi ya kijeshi ya mwaka jana ambapo tangu ashike wadhifa huo ameshirikiana na taasisi za kikanda ikiwemo Umoja wa Afrika na ECOWAS katika kuandaa mkakati wa pamoja wa kusaidia nchi hiyo kuharakisha mchakato [...]

09/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Biashara ya pembe inahatarisha uhai wa tembo

Kusikiliza / Li Bingbing na tembo mtoto

  Kuna haja ya kuweka mbinu mpya za kukabiliana na uwindaji haramu wa haswa tembo ambao uhai wao u hatarini. (Sauti Mlio wa tembo) (Sauti ya Kaneiya) Mlio wa tembo, tembo barani Afrika uhai wao uko mashakani kutokana na majangili wanaotaka kuwatoa uhai ili kuuza pembe zao kwa biashara mbali mbali. Harakati za kulinda uhai [...]

09/05/2013 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Natumai kila mwenye haki ya kupiga kura Pakistani atafanya hivyo: Ban

Kusikiliza / KM Ban Ki-moon

  "Nafuatilia kwa karibu maandalizi ya uchaguzi wa ngazi ya kitaifa na majimbo huko Pakistani na ni matumaini yangu kuwa kila raia mwenye haki ya kufanya hivyo ataweza kutekeleza haki yake hiyo ya kidemokrasia bila kujali dini, kabila wala jinsia." Hiyo ni kauli ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon katika taarifa iliyotolewa [...]

09/05/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Bi. Ogata asisitiza usaidizi kwa wanaoishi kwenye mazingira magumu

Kusikiliza / Sadako Ogata

Mkutano kuhusu usalama wa binadamu umemealizika hapa mjini New York, ambapo mwenyekiti wa heshima wa bodi inayohusiana na masuala hayo. Bi. Sadako Ogata amezungumzia umuhimu wa kuwapatia uwezo watu wanoishi katika mazingira magumu akisema kuwa ukosefu wa usalama wa maisha ni moja ya chanzo cha matatizo makubwa duniani. Maelezo zaidi na Alice Kariuki  (Taarifa ya [...]

09/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UNESCO yalaani mauaji ya mwandishi-mtangazaji mkongwe huko Iraq

Kusikiliza / Mwandishi wa habari auwawa, Iraq

Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni, UNESCO limelaani kifo cha mwandishi na mtangazaji mkongwe wa radio huko Iraq kilichotokana na shambulio la bomu mjini Baghdad.  Kwa maelezo zaidi huyu hapa George Njogopa.  (SAUTI YA GEORGE) Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO Bi Bokova, amesema kuwa amevunjwa moyo na kusikitishwa kufuatia taarifa za kuuwawa [...]

09/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Uzalishaji wa nafaka watarajiwa kuongezeka mwaka 2013

Kusikiliza / Nafaka

Uzalishaji wa juu wa nafaka ikiwemo ngano, mchele na mahindi unatarajiwa kuongezeka duniani mwaka 2013 kulingana na utabiri uliochapishwa mwezi huu na Shirika la kilimo na mazao la Umoja wa Mataifa FAO. Jason Nyakundi anaripoti (RIPOTI YA JASON NYAKUNDI) Shirika la kilimo na mazao la Umoja wa Mataifa FAO linasema kuwa zao la ngano duniani [...]

09/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ban asifu mazungumzo kati ya Urusi na Marekani kuhusu Syria

Kusikiliza / KM Ban Ki-moon

  Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki moon amekaribisha tangazo kuhusu Syria kutoka kwa waziri wa mambo ya kigeni wa Urusi Sergei Lavrov na mwenzake wa Marekani seneta John Kerrry. Ban pamoja na mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa na muungano wa nchi za kiarabu nchini Syria Lakhdar Brahimi wanasema wanaamini kuwa suluhu [...]

09/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Sheikha Jawaher achaguliwa kuhamasisha kazi za UNHCR

Kusikiliza / UNHCR lachagua mhamasishaji wa kazi zake

Sharjah’s Sheikha Jawaher Bint Mohammed Al Qasimi ametangazwa kuwa ndiye mtu mashuhuri katika Umoja wa falme za kiarabu, katika sherehe maalumu iliyofanyika wiki hii kwenye eneo la Ghuba. Mumeo Sharjah, mtawala Sheikh Sultan Bin Mohammed Al-Qasimi,na watu wengine wa heshima ni miongoni mwa wageni waliohudhuria sheria hiyo iliyofanyika siku ya jumanne. Akiwa mtu mashuhuri na [...]

09/05/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Burundi yajizatiti kudhibiti maambukizi ya Ukimwi kwa watoto

Kusikiliza / Waziri wa Afya wa Burundi Dr Sabine Ntakarutimana na Mkuu wa UNAIDS Michel Sidibé

  Burundi inachukua hatua zaidi ya kudhibiti maambukizi ya Ukimwi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto na hayo yamefahamika wakati Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na masuala ya Ukimwi, UNAIDS Michel Sidibé aliyeko ziarani nchini humo aliposhiriki maadhimisho ya kitaifa ya siku ya ukimwi. Nchini Burundi takwimu zinaonyesha kuwa mwaka 2011 [...]

09/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031