Nyumbani » 08/05/2013 Entries posted on “Mei 8th, 2013”

Tupanue wigo wa ushirikiano ili kumhakikishia binadamu usalama duniani

Kusikiliza / Ban Ki-moon

Amesema migogoro ya zamani bado inatokota, migogoro mipya inaibuka na kwamba ghasia ni tatizo hata kwenye nchi zisizo na mizozo huku wanawake na wasichana wakiwa hatarini zaidi. Bwana Ban amesema hayo ni matatizo makubwa yanayotishia usalama wa binadamu lakini akasema kuna dalili za matumaini huku akipongeza mwamko kutoka duniani kote hususan vijana wa kudai haki, [...]

08/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Baraza la usalama la laani vikali mashambulizi dhidi ya MONUSCO

Kusikiliza / Baraza la Usalama

Wajumbe wa baraza la usalama wamelaani vikali mashambulizi ya kuwalenga na kujaribu kuwateka wafanyakazi wa mpango wa Umoja wa mataigfa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo MONUSCO yanayofanywa na watu wasiojulikana. Mashambulizi hayo yalikuwa ni dhidi ya msafara wa wanjeshi ukitoka Walungu kuelekea Bukavu Kivu ya Kusini mapema jana na kusababisha kifo cha mlinda amani [...]

08/05/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu WTO wafikia ukingoni, mtarajiwa ataja vipaumbele

Kusikiliza / Roberto Azevedo

Wakati Mkutano maalum wa Baraza Kuu la shirika la biashara duniani, WTO ukitarajiwa kuitishwa tarehe 14 mwezi huu kuteua rasmi Mkurugenzi mkuu mpya wa shirika hilo, mmoja wa wagombea ambaye amepigiwa chepuo la kuchukua wadhifa huo Roberto Azevedo ametaja mambo muhimu yanayopaswa kupatiwa kipaumbele. Akizungumza katika mahojiano maalum na Radio ya Umoja wa Mataifa, Azevedo [...]

08/05/2013 | Jamii: Mawasiliano mbalimbali | Kusoma Zaidi »

Somalia yafungua ukurasa mpya

Kusikiliza / Mjini Mogadishu

Harakati za kuweka amani nchiniSomaliazinaendele kupata matumaini huku serikali ya Somalia kujikwamua kutokana na machafuko yaliyoikumba  kwa muda wa miongo miwili iliyopita. Somalia imeshudia mabadiliko makubwa kama vile kupata uhuru wa miji kadhaa ikiwemo Mogadishukutoka kundi la waasi la al shabaab. Jambo lililodhahiri ni kwamba ni jukumu la wasomali kulijenga taifa lao, Ungana na Grace [...]

08/05/2013 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Haki za binadamu huenda zikasahaulika Misri: Pillay

Kusikiliza / Navy Pillay

Kamishina mkuu wa haki za binadamu kwenye Umoja wa Mataifa Navi Pillay ametaka serikali ya misri  kuchukua hatua kuhakikisha kuwa kipengee cha katiba kuhusu mashirika ya umma kimewekwa wasi ili kuweza kuchunguzwa na wataalamu wa masuala ya haki za binadamu nchini Misri na kutoka nchi za kigeni na kuwekwa kuambatana na viwango vya kimataifa kabla [...]

08/05/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Libya isaidiwe kukabiliana na changamoto zilizopo sasa: ICC

Kusikiliza / Fatou Bensouda

Mwendesha mashtaka mkuu wa mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC amelitolea wito Baraza la Usalama kuendelea kuisaidia Libya kuimarisha mifumo yake. Assumpta Massoi na taarifa kamili. (Taarifa ya Massoi) Licha ya kupiga hatua katika urejeshaji wa Libya kwenye mkondo wa demokrasia, heshima ya haki za binadamu na uongozi wa kisheria, bado kuna changamoto nyingi. Hayo [...]

08/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mdororo wa kiuchumi waathiri fursa za ajira kwa vijana

Kusikiliza / Vijana wengi hawan kazi

Shirika la kazi duniani, ILO leo limetoa ripoti yake inayobainisha kuwa zaidi ya vijana Milioni Sabini na Tatu duniani kote wanatarajiwa kupoteza fursa zao za ajira kwa mwaka huu wa 2013 kutokana na kusuasua kwa uchumi. Jason Nyakundi ana maelezo zaidi.  (TAARIFA YA JASON) Ripoti hiyo inasema kuwa  ukuaji wa uchumi kwa mwendo wa kinyonga [...]

08/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

IOM yazungumzia uhusiano wa mabadiliko ya tabianchi na uhamiaji

Kusikiliza / Nembo ya IOM

Shirika la kimataifa la uhamiaji limeonyesha wasiwasi wake juu ya mwelekeo wa sasa wa wahamiaji wanaotakana na mabadiliko ya tabianchi katika maeneo yao ambapo shirika hilo limesema suala hilo linapaswa  kuwa miongoni mwa vipaumbele katika mpango wa maendeleo endelevu wa Umoja wa Mataifa baada ya ukomo wa malengo ya milenia mwaka 2015. Msemaji wa IOM [...]

08/05/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

UM na Somalia wasaini makubaliano ya kuzuia ukatili wa kingono

Kusikiliza / Wanawake na watoto nchini Somalia

Katika kuongeza jitihada za kuzuia vitendo vya ukatili wa kingono nchiniSomalia, Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Jan Eliasson na Rais Hassan Sheik Mohamoud wametiliana saini makubaliano ya pamoja hukoLondondhidi ya vitendo hivyo. Makubaliano hayo pamoja na mambo mengine yanataka kuwachunguza watu wote wanaojumuishwa katika vikosi vya usalama vya Taifa ili kuhakikisha kwa dhati wanatetea [...]

08/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UM walaani ubakaji na uhalifu mwingine mashariki mwa DRC

Kusikiliza / Wanawake-DRC

   Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa inasema kulikuwepo na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu kwenye jimbo la Kivu Kaskazini nchini humo mwezi Novemba mwaka jana wakati wa mapigano kati ya jeshi la serikali na waasi wa kundi la M23 na huko Kivu Kusini wakati vikosi vya serikali vilipokuwa vikirudi nyuma wakati wa mapambano. [...]

08/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Brahimi akaribisha tamko la Urusi na Marekani

Kusikiliza / Lakhdar Brahimi

Mwakilishi wa pamoja wa Umoja wa nchi za Kiarabu na Umoja wa Mataifa kwa ajili ya Syria Lakhdar Brahimi, ambaye anahudhuria mkutano wa wazee huko Ireland, amekaribisha tamko lililotolewa  Jumanne mjini Moscow na waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo Sergey Lavrov na yule wa Marekani John Kerry kuhusu Syria.  Amesema hii ni habari [...]

08/05/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Biashara inayojali mazingira inahitajika kwa maendeleo endelevu: UNEP

Kusikiliza / Uchumi unaojali mazingira

  Kuendeleza biashara inayojali mazingira ni hatua muhimu ya kufikia maendeleo endelevu, na nchi zinazoendelea zipo kwenye nafasi nzuri ya kuchagiza mabadiliko hayo, imesema ripoti mpya ya Shirika la Mpango wa Mazingira la Umoja wa Mataifa, UNEP. Ripoti hiyo iitwayo, Uchumi unaojali mazingira na Biashara, inatathmini sekta sita za kiuchumi, zikiwa ni kilimo, uvuvi, misitu, [...]

08/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031