Nyumbani » 06/05/2013 Entries posted on “Mei 6th, 2013”

Afya ya watoto na akina mama wazazi ipewe kipaumbele: Ban

Kusikiliza / malimothers-300x257

Kuwekeza katika afya ya wanawake na watoto huzaa matunda makubwa kwa watu binafsi, familia, jamii, na hata kwa siku zijazo tutakazo. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, wakati wa mkutano wa Baraza la masuala ya kiuchumi na kijamii katika Umoja wa Mataifa. Bwana Ban amesema, katika siku zilizosalia hadi tarehe [...]

06/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Baraza la usalama lalaani vikali mauaji ya chifu wa Dinka

Kusikiliza / Baraza la Usalama

Wajumbe wa baraza la usalama leo wamelaani vikali mashambulizi yaliyofanywa na makundi ya Misseriya dhidi ya msafara wa mpago wa Umoja wa Mataifa kwenye jimbo la Abyei UNSFA mwishoni mwa wiki. Mashambulizi hayo yamekatili maisha ya bwana Kuil Deng Kuol ambaye ni alikuwa chifu wa Ngok Dinka na mlinda amani wa Umoja wa Mataifa kutoka [...]

06/05/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Katibu Mkuu awa na mazungumzo na Rais Park Geun-hye wa Korea Kusini

Kusikiliza / Katibu Mkuu,UM akutana na rais wa Korea

Katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa hii leo Katibu Mkuu Ban Ki-Moon amekuwa na mazungumzo na Rais Park Geun-hye ambapo wamezungumzia masuala mbali mbali ikiwemo mabadiliko ya tabianchi, malengo ya maendeleo ya milenia, haki za binadamu na hali ilivyo huko Rasi ya Korea. Mathalani kuhusu malengo ya maendeleo ya Milenia, Bwana Ban ameeleza imani [...]

06/05/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Ulimwengi unahitaji wakunga zaidi:UNFPA

Kusikiliza / Ulimmwengu unahitaji wakunga zaidi,UNFPA, picha/UNFPA

Wakati ya kujifungua kwa mama kunatajwa kuwa kupindi  kilicho hatari zaidi na cha miujiza  kwa maisha ya mwanamke. Wakunga wamechukua wajibu mkubwa katika jitihada za kupunguza hatari zinaowakumba wanawake wanapojifungua. Wakiwa na ujuzi wa juu, wakunga sasa wanaweza kukubiliana na  hatari zinaowakumba akina mama na wana wajibu mkubwa wa kuyaweka maisha  ya mama kuwa salama [...]

06/05/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Ban alaani mauaji ya chifu wa jamii ya Ngok Dinka

Kusikiliza / KM Ban Ki-moon

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki moon amelaani vikali mauji ya chifu wa jamii ya Ngok Dinka , Dengkuol Deng na mlinda amani moja wa kikosi cha Umoja wa Mataifa cha kulinda amani eneo la Abyei UNISFA baada ya msafara wao kushambuiliwa hii leo ambapo pia walinda usalama wawili walijeruhiwa vibaya. Katibu mkuu [...]

06/05/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Guterres amshukuru amiri wa Kuwait kwa kutia shime operesheni za UNHCR Syria

Kusikiliza / Antonio Guterres

Kamishna Mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi,  UNHCR António Guterres ametembelea Kuwait na kumshukuru kwa dhati kiongozi wa nchi hiyo Sheikh Sabah Al-Ahmed Al-Jaber Al-Sabah, kwa mchango wake wa dola Milioni Mia Moja na Kumi za kusaidia operesheni za shirika hilo huko Syria kama anavyoripoti George Njogopa.  (SAUTI YA GEORGE) Guterres [...]

06/05/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Vietnam kuwa na kituo cha kufundisha wajasiriamali

Kusikiliza / Uwekezaji Vietnam

Nchini Vietnam, makubaliano yametiwa saini kati ya nchi hiyo na shirika la Umoja wa Mataifa la biashara na viwanda, UNCTAD kwa ajili ya kuanzisha kituo cha 34 duniani cha kuwasaidia wajasiriamali. Ripoti ya Jason Nyakundi inafafanua zaidi. (RIPOTI YA JASON NYAKUNDI)   Vietnam imetia sahihi makubaliano na maafisa wa  UNCTAD kubuni kituo ambacho kitawapa ujuzi wafanyibiashara [...]

06/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ban asisitiza utulivu wakati kukiripotiwa kutokea mashambulizi ya angani nchini Syria

Kusikiliza / Katibu mkuu wa UM, Ban Ki-moon

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesema kuwa ameingiwa na wasiwasi kufuatia ripoti ya kufanyika kwa mashambulizi ya anga nchini Syria yaliyodaiwa kufanywa na ndege ya Israel. Huku akisisitiza juu ya kile alichosema kuwa Umoja wa Mataifa bado hauna taarifa za moja kwa moja juu ya tukio hilo, Ban ametoa wito wa kujiepusha [...]

06/05/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Watu milioni 4.6 waathirika na machafuko CAR:OCHA

Kusikiliza / car-displaced

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuratibu misaada ya kibinadamu OCHA linasema mgogoro wa kisiasa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati umesababisha kuzorota zaidi kwa hali ya kibinadamu na kuathiri watu wote milioni 4.6 wa nchi hiyo. Kutokuwepo kwa taratibu na sheria kumechangia ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu ikiwemo mauaji ya kulenga, ubakaji, utesaji, [...]

06/05/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

"Bodaboda" zalaumiwa kwa ongezeko la vifo vitokanavyo na ajali za barabarani Afrika

Kusikiliza / Usafiri wa pikipiki maarufu kama bodaboda

Wakati wiki ya usalama barabarani ikiendelea kuadhimishwa sehemu mbalimbali duniani, mtaalamu wa masuala ya afya ya umma kutoka Chuo Kikuu cha Moi nchini Kenya Dokta Wilson Odero, amesema bara la Afrika lina idadi kubwa vifo vitokanavyo na ajali za barabarani na matumizi ya pikipiki au bodaboda yamesababisha ongezekohilo. Alice Kariuki na taarifa zaidi. (ALICE TAARIFA) [...]

06/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ni wakati wa kutumia fursa zilizopo Haiti:Sean Penn

Kusikiliza / Sean Penn

Huu ni wakati wa kutumia fursa zilizopo Haiti, taifa ambalo linaweza kuwa na manufaa makubwa kwa mataifa mengine na kwa watu wake hasa kwa kutumia sekta binafsi. Mtazamo huo umetolewa na Sean Penn mkurugenzi mtendaji na mwanzilishi wa shirika lisilo la kiserikali la msaada kwa Haiti J/P HRO. Akizungumza kwenye makao makuu ya Bank ya [...]

06/05/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Hatimaye kuna matumaini ya amani DRC: Bi Robinson

Kusikiliza / Mary Robinson

Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Mataifa katika nchi za ukanda wa Maziwa Makuu, Mary Robinson, ameliambia Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuwa kuna matumaini makubwa zaidi sasa ya kupatikana amani na utulivu katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, DRC, kufuatia makubaliano ya mkakati wa ushirikiakno wa amani na usalama kwa ajili ya nchi [...]

06/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Madai ya matumizi ya silaha za kemikali Syria hayajathibitishwa:UM

Kusikiliza / Paulo Sergio Pinheiro

Tume huru ya kimataifa inayochunguza Syria imetoa ufafanuzi kwamba uchunguzi wake haujapata uthibitisho kamili kuhusu madai ya matumizi ya silaha za kemikali Syria.Tume hiyo huru kutoka baraza la haki za binadamu imesema sio serikali wala upande wa upinzani ambao wamebainika kutumia silaha hizo, na kwa hivyo haiko katika nafasi ya kutoa matamshi yoyote zaidi kuhusu [...]

06/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ujasiriamali huchangia mno ukuaji wa kiuchumi: UNCTAD

Kusikiliza / unctad_logo_copy

Kuanzisha biashara mpya, husan zile ndogondogo na zile za ukubwa wastani (SMEs) ni chanzo cha kuchagiza ukuaji na ustawi wa ukichumi, na kuchangia pakubwa katika ubunifu na kuongeza nafasi za kazi, wamesema wataalam katika mkutano wa ngazi ya juu wa Tume ya Uwekezaji, Ujasiriamali na Maendeleo. Katika mkutano wa mawaziri na maafisa wa ngazi ya [...]

06/05/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Kamati zinazofuatilia haki za binadamu zijengewe uwezo: Pillay

Kusikiliza / Navi Pillay

  Kikao cha tano cha kamati dhidi ya utesaji ya Tume ya haki za binadamu kimeanza huko Geneva, Uswisi ambapo mwenyekti wa Tume hiyo Bi. Navi Pillay amezungumzia umuhimu wa ubora wa ripoti zinazoandaliwa na waatalamu baada ya tathmini wanazofanya na kusema tayari kuna nchi zimeomba msaada wa kujengewa uwezo. Taarifa zaidi na Assumpta Massoi. [...]

06/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mahiga alaani shambulio la bomu na mauaji Mogadishu

Kusikiliza / Augustine Mahiga

      Mwakilishi maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu Somalia, Augustine Mahiga, amelaani vikali shambulizi la bomu lililotekelezwa mnamo Mai 5 kwenye kituo cha Kilometer 4 mjini Mogadishu, na ambalo liliwaua watu kadhaa na kuwajeruhi wengine. Duru zinasema shambulizi hilo liliulenga msafara wa wajumbe wa kimataifa. Katika taarifa yake, Balozi Mahiga amelitaja shambulizi hilo [...]

06/05/2013 | Jamii: Mawasiliano mbalimbali | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031