Nyumbani » 03/05/2013 Entries posted on “Mei 3rd, 2013”

Siku ya Uhuru wa vyombo vya habari: hali bado ni mbaya

Kusikiliza / uhuru wa kujieleza

Mei Tatu ni Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari. Tarehe, na Umoja wa Mataifa umesema bado waandishi wa habari wanafanya kazi katika mazingira ya hatari. Katika nchi nyingi, waandishi habari wameshambuliwa, na wengine hata kuuawa kwa sababu ya kutekeleza wajibu wao wa kutoa habari kwa umma, na kuongeza uwazi katika serikali.  Ingawa Somalia inaongoza [...]

03/05/2013 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Mary Robinson ziarani Burundi

Kusikiliza / Mary Robinson ziarani Burundi

Burundi imekubali uwanja wake wa ndege utumiwe katika harakati za kijeshi za Jeshi la Umoja wa mataifa mpashariki mwa DR Congo. Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza ameyatangaza hayo hii leo baada ya kumpokea mjumbe maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa mataifa katika Maziwa Makuu Mary Robinson aliye ziarani katika ukanda huo katika juhudi za [...]

03/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Maafisa washauri wa wahalifu wapewa medali Sudani Kusini

Kusikiliza / SOUTHSUDAN MEDAL

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudani Kusini UNMISS umetoa medali kwa maafisa washauri 34 ambao wamekuwa wakiwasaidia wahalifu kuishi tena na jamii hafla iliyohudhuriwa na viongozi wa idara ya magerecza nchini humo na jeshi la polisi. Ungana na Joaseph Msami katika makala inayoangazia tukio tukio hilo la kusisimua:

03/05/2013 | Jamii: Mawasiliano mbalimbali | Kusoma Zaidi »

Mexico iache “mabavu” dhidi ya raia wake

Kusikiliza / Christof Heyns

Mtaalamu huru wa Umoja wa Mataifa amesema  serikali ya Mexio inapaswa kuweka bahaya mifumo yake ya utendaji wa kuangalia maeneo bora ya matumizi ya nguvu za dola pasipo kuziendea kinyume haki za binadamu. Christof  Heyns ameitaka serikali hiyo kujiepusha na matumizi ya nguvu kama vile nguvu za kijeshi wakati inapotekeleza majukumu yake kwani kwa kufanya [...]

03/05/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

India ishughulikie chanzo cha ukatili dhidi ya wanawake: Mtaalamu UM

Kusikiliza / Rashida Manjoo

Huko India baada ya ziara ya siku Tisa, mtaalamu huru wa Umoja wa Mataifa ametaka kuchukua hatua zaidi kukabiliana na vitendo vya  ukatili dhidi ya wanawake kama anavyo ripoti George Njogopa.  (RIPOTI YA GEORGE NJOGOPA) Mtaalamu huru wa Umoja wa Mataifa Rashida Manjoo amesema wakati kuna sura inayopaswa kupongezwa kuhusiana mageuzi ya mabaraza ya kutunga [...]

03/05/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Chanzo cha vifo vya uduvi (shrimps) mwambao wa Asia chajulikana

Kusikiliza / Chanzo cha vifo vya (shrimp) chajulikana

Katika hatua kubwa ya kisayansi watafiti kwenye chuo kikuu cha Arizona hapa Marekani wamebaini chanzo cha ugonjwa wa ajabu ambao umekuwa ukiathiri mavuno ya uduvi baraniAsia. Magonjwa yaliyotajwa kama "vifo vya mapema vya uduvi" EMS na ule unaoathiri mapezi ya uduvi yaani Hepatopancreatic Necrosis kwa zaidi ya miaka miwili vimekuwa vikisababisha vifo vya idadi kubwa [...]

03/05/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Wanahabari bado waminywa na wakumbwa na vitisho: UM

Kusikiliza / Mei 3 ni siku ya uhuru wa vyombo vya habari

Ikiwa leo ni siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani, Umoja wa Mataifa umetaka usalama zaidi kwa wanahabari na wafanyakazi wa vyombo vya habari wa sekta zote kuanzia radio, magazeti, televisheni na mabloga. Ujumbe wa siku ya leo ni Zungumza bila hofu na uhuru wa kujieleza kupitia vyombo vyote! Lakini bado Umoja wa Mataifa [...]

03/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Saudi Arabia yakumbwa na virusi vya nCoV:WHO

Kusikiliza / Virusi vya nCoV viagundulika, Sudia Arabia

Wizara ya afya nchini Saudia Arabia imeliarifu shirika la afya duniani kwamba imebaini visa vipya saba vya maambukizi ya virusi vijulikanavyo kama novel corona (nCoV) vinavyoshambulia mfumo wa hewa. Virusi hivyo vimesababisha vifo vya watu watano. Wagonjwa wawili kati ya hao saba hivi sasa wako katika hali mahtuti, na serikali inafanya uchunguzi kujua chanzo cha [...]

03/05/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Idadi ya wahamiaji waliokwama Djibouti yaongezeka: IOM

Kusikiliza / Wahamiaji wa Kiethiopia

Kituo cha Shirika la Kimataifa la Uhamiaji cha Obock nchini Djibouti kimebanwa na mahitaji ya msaada kutokana na ongezeko la wahamiaji wa Ethiopia waliokwama nchini humo, na ambao wanaomba msaada wa kurejeshwa nyumbani. Katika miezi ya kwanza minne mwaka huu, yapata wahamiaji 7,137 wameandikishwa kwenye kituo hicho cha kuwasaidia wahamiaji cha Obock, idadi ambayo inaonyesha [...]

03/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mauaji ya raia kaskazini mwa Nigeria ni lazima yachunguzwe: UM

Kusikiliza / Msemaji wa ofisi ya haki za binadamu Rupert Colville

  Umoja wa Mataifa umetoa wito wa kutaka kufanyika kwa uchunguzi ulio huru kuhusu mauaji ya karibu watu 200 kaskazini mwa Nigeria wakati wa oparesheni moja ya kuwavurusha wanamgambo wa kislamu. Alice Kariuki na ripoti kamili. (PKG YA ALICE KARIUKI) Mkuu wa haki za binadamu kwenye Umoja wa Mataifa Navi Pillay anasema kuwa oparesheni hiyo iliyoendeshwa [...]

03/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Machafuko yaendelea kutawanya watu Pakistan:OCHA

Kusikiliza / Watu wa Pakistani ambao walitawanywa

Huko nchini Pakistan katika maeneo ya Kaskazini yanayodhibitiwa na FATA takriban watu 76,000 wamekimbia katika bonde la Tirah tangu katikati ya mwezi Machi kufuatia mapigano yanayoendelea baina ya makundi hasimu yenye silaha na operesheni za majeshi ya serikali dhidi ya makundi hayo. Kwa mujibu wa shirika la Umoja wa mataifa la kuratibu misaada na masuala [...]

03/05/2013 | Jamii: Mawasiliano mbalimbali | Kusoma Zaidi »

Hali ya kibinadamu yazidi kutetereka DRC:WFP

Kusikiliza / Wananchi wa DRC wakiwa kwenye moja ya kambi

Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula, WFP limesema linatiwa hofu na kuendelea kutetereka kwa hali ya kibinadamu kwenye maeneo ya jimbo la Katanga nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC kufuatia mashambulizi yanayofanywa na wapiganaji wa kundi la Mayi Mayi.  Kwa mujibu wa shirikahilowatu wapatao 200,000 wamelazimika kukimbia eneohilokatika miji mitatu ya [...]

03/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Waandishi wa habari waachwe wafanye kazi zao kwa uhuru:UM

Kusikiliza / Peter Launsky-Tieffenthal

Leo ni siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani ambapo Umoja wa Mataifa umesema bado mazingira kwa waandishi wa habari na wafanyakazi wa vyombo vya habari ni hatarishi licha ya kwamba kazi wanayofanya ni muhimu kwa maendeleo endelevu. Ujumbe wa siku hii ni Zungumza bila hofu na uhuru wa kujieleza kupitia vyombo vyote, lakini [...]

03/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031