Nyumbani » 02/05/2013 Entries posted on “Mei 2nd, 2013”

Robinson akutana na Museveni

Kusikiliza / Mary Robinson

Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika nchi za  Maziwa makuu Mary Robinson amekutana na kufanya mazungumzo na rais wa Uganda Yower Museveni ,mawaziri na wawakilishi wa asasi za kiraia nchini humo Akiongea na waandishi wa habari mjini New York msemaji wa Umoja wa Mataifa Martin Nesirky amesema mazungumzo hayo yalilenga katika [...]

02/05/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Ujumbe wa UM Somalia sasa kuitwa UNSOM

Kusikiliza / Balozi Elmi Ahmed Duale

Hatimaye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio linaloanzisha ujumbe wake wa usaidizi nchiniSomalia, UNSOM utakaochukua nafasi ya ofisi ya kisiasa, UNPOS.  Azimio hilo limepitishwa kwa kauli moja na wajumbe wote ambapo UNSOM itaanzishwa tarehe Tatu mwezi ujao na itahudumu kwa kipindi cha awali cha mwaka mmoja.  Kwa mujibu wa azimio hilo, mamlaka [...]

02/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Pillay asikitishwa na ghasia za mara kwa mara Papua (Indonesia)

Kusikiliza / Navy Pillay

Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu katika Umoja wa Mataifa, Navi Pillay ameelezea hofu kubwa kuhusu ukatili dhidi ya waandamanaji kwenye jimbo la Papua nchini Indonesia tangu Aprili 30. Askari polisi katika eneo hilo wameripotiwa kutumia nguvu zilokithiri wakati wanapowatia mbaroni watu wanaopeperusha bendera za kutaka kujitenga. Pillay amesema matukio hayo ni mifano ya ukandamizaji [...]

02/05/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Ban ajadili Syria na wajumbe wa kudumu wa Baraza la Usalama

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa UM, Ban Ki-moon

Katibu Mkuu wa UMoja wa mataifa Ban Ki-moon leo amewaalika wajumbe watano wa kudumu wa baraza la Usalama katika kikao kisicho rasmi kujadili suala la Syria. Ban na wajumbe hao wamejadili uwezekano wa hatua za kidiplomasia kumaliza mzozo wa Syria, Ban pia amewapa taarifa wajumbe hao kuhusu hatua ilityofikiwa na tume ya uchunguzi wa matumizi [...]

02/05/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Balozi Mahiga azungumzia Somalia na majukumu mapya ya Umoja wa Mataifa.

Kusikiliza / Balozi Augustine Mahiga

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linaangalia yanayotarajiwa kuwa majukumu mapya ya Umoja wa Mataifa nchiniSomaliakufuatia mabadiliko ya kisiasa yaliyotokea na kuwezesha kuwepo kwa serikali. Mabadiliko ya majukumu hayo yanajumuisha pia kubadili dhima ya ofisi yake nchini humo UNPOS. Balozi Augustine Mahiga ambaye ni Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu nchiniSomaliakatika mahojiano nami Assumpta Massoi [...]

02/05/2013 | Jamii: Mahojiano | Kusoma Zaidi »

Visa zaidi vya mafua ya H7N9 kwa binadamu vya bainika China

Kusikiliza / Visa vya mafua ya H7N9 vyabainika, China

Tume ya taifa ya afya na uzazi wa mpango nchini Uchina imeliarifu shirika la afya duniani WHO kuhusu kuthibitishwa kwa visa vingine viwili vya maambukizi ya virusi vya mafua ya avian H7N9 kwa binadamu. Mgonjwa wa kwanza ni mwanaume mwenye umri wa miaka 58 kutoka jimbo la Fujian ambaye alianza kuumwa April 21 mwaka huu [...]

02/05/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Baraza la UM lahitimisha mkutano wa 75

Kusikiliza / Baraza la UM kuhitimisha mkutano wa 75

Baraza la Uongozi la Umoja wa Mataifa ambalo ni kamishna ya fidia, limehitimisha mkutano wake wa 75 ambao pia umewajumuisha wajumbe kutoka nchini Iraq. Likiwa chini ya urais wa Australia, baraza hilo limejadilia maazimio yaliyofikiwa siku za nyuma ikiwemo azimio lilipitishwa mwaka 2011 ambalo linaweka mkazo juu ya ulinzi wa mazingira. Wajumbe katika mkutano huo [...]

02/05/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Serikali, kampuni, wahalifu wazidi kutishia maisha ya wanahabari: Ban

Kusikiliza / Uhuru wa vyombo vya habari

Maisha ya waandishi wa habari yanazidi kuwa hatarini na wanaowatisha hawachukuliwa hatua, hiyo ni sehemu ya ujumbe wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon kwa siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani kesho Mei Tatu akisema kuwa mwaka jana pekee waandishi wa habari 120 waliuawa.  Amesema mwandishi wa habari awe wa radio, televisheni, [...]

02/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Maisha ya watembea kwa miguu yakatiliwa kwa ajali barabarani -WHO

Kusikiliza / Watoto wakivuka barabara

Ripoti ya Shirika la afya duniani, WHO inaonyesha kuwa watembea kwa miguu zaidi ya 5000 hufa kila wiki kwa ajali za barabarani kutokana na umuhimu wao kutozingatiwa.Joseph Msami na maelezo zaidi (RIPOTI YA JOSEPH MSAMI) Kwa mujibu wa Mkurugenzi Msaidizi wa magonjwa yasiyo ya kuambukiza, na afya ya akili wa WHO Etenne Krug, utafiti huo [...]

02/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UM waidhinisha ufadhili kwa miradi ya kupambana na uharamia nchini Somalia

Kusikiliza / pirates of somalia

Mfuko wa Umoja wa Mataifa unaopambana na uharamia umedhinisha miradi inayokabiliana na uharamia nchini Somalia na maeneo mengine yaliyoathirika yakiwemo Djibouti, Ethiopia, Kenya, Maldives na usheli usheli . Tangazo hilo lilitolewa mjini New York na naibu katibu mkuu kwenye masuala ya kisiasa kwenye Umoja wa Mataifa Tayé-Brook Zerihoun ambaye anasisimia bodi inayounga mkono miradi ya [...]

02/05/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Ahadi za matunda ya uhuru hazijatimizwa kwa wazawa Namibia:

Kusikiliza / James Anaya

Watu wa asili au wazawa nchini Namibia wanaojumuisha kabila la San na Himba wanaendelea kutofaidika na kutengwa ikiwa ni zaidi ya miaka 20 tangu taifa hilo kujinyakulia uhuru. Hayo yamesemwa na mtaalamu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za wazawa kana inavyofafanua ripoti ya Jason Nyakundi. (RIPOTI YA JASON NYAKUND

02/05/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Msumbiji yajadili mikakati ya vivutio vya uwekezaji nchini mwake:

Kusikiliza / Bendera ya Msumbiji

Ujumbe wa ngazi ya juu kutoka Msumbiji umeieleza tume ya Umoja wa mataifa inayohusika na uwekezaji na maendeleo kwamba serikali yake inaunga mkono mapendekezo yaliyotolewa na tathimini ya UNCTAD kuhusu sera nchini humo na kuitaka pamoja na mambo mengine kufanya mabadiliko ya sheria zake za uwekezaji. Kama inavyoeleza ripoti ya Alice Kariuki.   (RIPOTI YA [...]

02/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Baraza la Usalama lajadili majukumu mapya ya UM nchini Somalia

Kusikiliza / Balozi Augustine Mahiga

 Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo linajadili ubadilishaji wa majukumu ya ofisi yake ya kisiasa nchini Somalia UNPOS, ambapo ripoti ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa inaeleza bayana umuhimu wa kubadilisha majukumu kutokana na mabadiliko ya kisiasa nchini Somalia.   Mashauriano ya leo yanafuatia azimio namba 2093 la Baraza la Usalama lililotaka [...]

02/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Msimu wa uhaba wa chakula Sudan Kusini waongeza ukosefu wa uhakika wa chakula

Kusikiliza / Sudan Kusini

Nchini Sudan Kusini, kuzorota kwa upatikanaji wa chakula kunazidi kuchochewa na kuendelea kwa msimu wa uhaba wa bidhaa. Habari zinasema bei za vyakula zimepanda, kiwango cha kipato kimeporoka na kwamba ukosefu wa usalama unafanya watu washindwe kushiriki katika shughuli za kujipatia kipato kama anavyoripoti George Njogopa. (RIPOTI YA GEORGE) Mamia ya watu waliokosa makazi katika [...]

02/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kiwango cha joto duniani mwaka jana kilizidi kuongezeka

Kusikiliza / Mwaka wa 2012 ulikuwa na viwango vy joto vya juu

Shirika la Umoja wa Mataifa la hali ya hewa, WMO limetoa ripoti yake kuhusu mwenendo wa hali ya duniani na kueleza kuwa mwaka 2012 umeingia katika orodha ya miaka yenye viwango vya juu zaidi vya joto licha ya athari za mkondo baridi wa baharini, La Nina. WMO inasema mwaka 2012 wastani wa kiwango cha joto [...]

02/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Vifo nchini Iraq vimeongezeka saana tangu 2008:UNAMI

Kusikiliza / Baghdad

  Takwimu za vifo zilizotolewa leo na mpango wa Umoja wa Mataifa nchini Iraq UNAMI zinaonyesha kwamba mwezi wa April mwaka huu vimeshuhudiwa vifo vingi zaidi tangi Juni mwa ka 2008. Jumla ya watu 712 wameuawa na wengine 1633 kujeruhiwa katika vitendo vya kigaidi na machafuko mengine. Idadi ya raia waliouawa kwa mwezi April ni [...]

02/05/2013 | Jamii: Mawasiliano mbalimbali | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031