Nyumbani » 01/05/2013 Entries posted on “Mei 1st, 2013”

Kwa ushirikiano, migogoro yaweza kuzuiliwa: Ban

Kusikiliza / KM Ban Ki-moon

Hatua za kuzuia migogoro zinaweza kupata ufanisi tu pale jamii ya kimataifa inapoongea kwa sauti moja. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, wakati wa tukio la kuzindua Mhadhara mashuhuri wa Andrew Carnegie kuhusu uzuiaji wa migogoro, kwa heshima ya Dr. David Hamburg. Bwana Ban amemsifu Dr. Hamburg kwa mchango wake [...]

01/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Chuo kikuu cha Al-Azhar na mtetezi kutoka Uganda wapewa tuzo:UNFPA

Kusikiliza / Tuzo la UNFPA

Taasisi ya elimu iliyo na uhusiano na chuo kikuu cha Al-Azhar cha Misri na mtetezi wa maswala ya afya ya umma kutoka Uganda walitajwa kamawashindi wa tuzo ya UM ya idadi ya watu kwa mwaka 2013. Tuzo hiyo inatunukiwa kila mwaka kwa watu binafsi na taasisi kwa kazi nzuri inahusiana na idadi ya watu na [...]

01/05/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Mwakilishi wa Umoja wa Mataifa Mary Robinson ziarani Rwanda

Kusikiliza / Mary Robinson

Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu ukanda wa Maziwa Makuu, Mary Robinson, leo amizuru Rwanda wakati akiendelea na ziara yake ya kikanda, yenye minajili ya kupigia debe utekelezaji wa makubaliano yalotiwa saini na nchi 11, na ambayo ameyaita "makubaliano ya matumaini." Makubaliano hayo ambayo yalisainiwa mjini Addis Ababa mnamo Februari 2013, [...]

01/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Togo kuongoza baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa mwezi Mei

Kusikiliza / Togo italiongoza baraza wa Usalama mwezi mei

Nchi ya Togo inatarajia kuchukua nafasi ya uraisi wa Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa mwezi huu wa May, ikichukua nafasi hiyo baada yaRwandakumaliza muda wake. Akiongea na waandishi wa habari mjini New York msemaji wa Umoja wa Matifa Martin Nesirky amesema Mwakilishi wa kudumu wa Togo katika Umoja wa Mataifa  Balozi Kodjo Menan [...]

01/05/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Mashirika ya misaada yataka kusita kwa bomoabomoa na upanuzi wa makazi ya Walowezi:

Kusikiliza / israelisettlement

Mashirika 16 ya misaada na maendeleo yanawataka viongozi wa dunia kuishinikiza Israel kukomesha mara moja bomoabomoa ya nyumba za wapalestina na kujenga makazi ya Walowezi wa Kiyahudi baada ya bomoa bomoa ya karibuni kuwaacha Wapalestina 52 bila makao. Kati ya April 23 hadi 30 mwaka huu mabulidoza ya Israel yamesambaratisha makazi na majengo 36 ya [...]

01/05/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Angola, Namibia na Afrika Kusini zatiliana saini matumizi endelevu ya mkondo wa Benguela

Kusikiliza / Nchi tatu zatia saini jinsi kutumia Mkondo wa Benguela

Angola, Namibia na Afrika Kusini zimekubaliana kushirikiana ili kutumia vyema mkondo wa Benguela ambao una moja ya mifumo ya ekolojia yenye rasilimali nyingi zaidi duniani kwa manufaa ya nchi hiyo na wakazi wanaoutegemea kwa maisha yao. Mkondo huo ulioko bahari ya Atlaniki, una rasilimali nyingi za baharini pamoja na kutumika kwa huduma kama vile usafirishaji [...]

01/05/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Jazz yawaleta watu pamoja kuendeleza amani, uhuru na ushirikiano

Kusikiliza / Aprili 30 ni siku kuadhimisha aina ya muziki wa Jazz

Siku ya kimataifa ya Jazz imesherehekewa katika nchi 196 kote duniani hapo jana, Aprili 30. Na katika ukumbi wa shule ya upili ya Galatasaray, mjini Istanbul, Uturuki, wasanii maarufu kutoka kote duniani walikutana katika tamasha rasmi la kuadhimisha siku hiyo, na kuendeleza ujumbe wa amani, uhuru na ushirikiano. Miongoni mwao, alikuwa ni balozi mwema wa [...]

01/05/2013 | Jamii: Mahojiano | Kusoma Zaidi »

Baraza la Haki za binadamu lapata ripoti kuhusu Cameroon

Kusikiliza / Kikao cha Baraza la Haki za Binadamu

Baraza la Haki za  binadamu  linaloendelea na kikao chake huko Geneva, limepata ripoti kuhusu masuala ya haki za binadamu huko Cameroon. Alice Kariuki anafafanua zaidi.  (TAARIFA YA ALICE) Baraza la Haki za Binadamu limekutana leo asubuhi kujadili hali ya haki za binadamu nchini Cameroon. Wajumbe wa baraza hilo wamesifu maendeleo yaliopatikana katika masuala mbali mbali [...]

01/05/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

M23 waripotiwa kuweka kambi karibu na MONUSCO

Kusikiliza / Ujumbe wa MONUSCO

Huko Kivu Kaskazini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, DRC  inaelezwa kuwa waasi wa kikundi cha M23 wamepiga kambi karibu na  ofisi za ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kuweka utulivu kwenye eneo hilo MONUSCO kama anavyoripoti Assumpta Massoi.  (ASSUMPTA REPORT) Radio Okapi imekariri vyanzo mbali mbali vikieleza kuwa waasi hao wa M23 kwa wiki kadhaa [...]

01/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ban ampongeza mfalme mpya wa uholanzi

Kusikiliza / Katibu Mkuu, UM na mfalme wa Uholanzi(picha ya maktaba)

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki moon amempongeza Willem-Alexander wakati wa kuapishwa kwake kama mfalme wa Uholanzi taifa lililo mshirika mkubwa wa Umoja wa Mataifa . Kupitia taarifa yake  Ban aliwatakia heri mfale  Willem-Alexander na malikia Maxima na mafanikio wakati wanapoanza kutekeleza majukumuyao. Kwa upande mwingine Ban amesema kewa lengolakekuuni kuunga mkono jitihada [...]

01/05/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Watoto nchini Somalia kupewa chanjo dhidi ya magonjwa matano hatari

Kusikiliza / Watoto wapewa chanjo, Somalia dhidi ya magonjwa hatari matano

Karibu watoto 500,000 wanaozaliwa nchini Somaliakila mwaka watanufaika na chanjo mpya ya kuwakinga dhidi ya magonjwa matano yaliyo hatari kwa maisha ya watoto. Jason Nyakundi ameandaa taarifa hii. (PKG YA JASON NYAKUNDI) Chanjo hiyo itawakinga watoto dhidi ya magonjwa kama dondakoo, pepo punda, kifaduro , Hepatitis B na Haemophilus influenza ambayo ni bacteria inayosababisha magonjwa [...]

01/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Maandalizi ni muhimu katika kukabili majanga:ESCAP

Kusikiliza / kuwa tayari ni muhimu katika kukabiliana na majanga

Maandalizi kwa ajili ya zahma, hasa majanga ya asili na mdororo wa kiuchumi lazima iwe kitovu kwa ajili ya mipango ya maendeleo katika kanda yaAsiana Pacific ambayo imekuwa katika tishio kubwa la kukabiliwa na majanga .  Hayo yamejadiliwa na mameneja wa kukabili majanga kwenye kongamano la Umoja wa mataifa linalohusisha nchi za Asia Pacific huko [...]

01/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Marekani iheshimu maisha na haki za wafungwa Guantanamo:UM

Kusikiliza / Rupert Colville

Marekani ni lazima iheshimu na kuwahakikisha maisha, afya na hadhi ya wafungwa wanaoshikiliwa kwenye kituo cha Guantanamo hususani katika hali inayoendelea sasa ya mgomo wa kula. Hayo yamesemwa na kundi la wataalamu wa kimataifa wa haki za binadamu kuhusu masuala ya utesaji, mahabusu, vita dhidi ya ugaidi na afya. Wataalamu hao wanasema wamepokea taarifa kuhusu [...]

01/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UNAMID kuhakikisha ulinzi na ustawi wa wakimbizi wa ndani:Chambas

Kusikiliza / Mohamed Ibn Chambas

Mkuu wa Ujumbe wa pamoja wa Umoja wa Afrika na Umoja wa Mataifa huko Darfur, UNAMID, Ibrahim Ibn Chambas amehitimisha ziara yake ya zaidi ya wiki moja katika majimbo matano ya eneo hilo ambapo amekuwa na mazungumzo na wananchi na viongozi kama anavyoripoti Grace Kaneiya.  (Taarifa ya Grace) Ziara hiyo ya kwanza kufanywa na Bwana [...]

01/05/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Vurugu za Iraq zamsikitisha Ban, atuma salamu za rambirambi kwa wafiwa

Kusikiliza / Baada ya mashambulizi ya bomu(picha ya faili)

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon ameeleza masikitiko yake juu ya ongezeko la matukio ya ghasia nchini Iraq yaliyosababisha vifo vya watu wengi na mamia kujeruhiwa. Taarifa iliyotolewa na msemaji wa Katibu Mkuu imemkariri Bwana Ban akituma rambirambi kwa wafiwa wa matukio hayo ya wiki iliyopita na kuwatakia majeruhi ahueni ya haraka. Halikadhalika ametoa wito [...]

01/05/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031