WFP yakabiliana na utapiamlo Madagascar:

Kusikiliza /

Shirika la mpango wa chakula duniani WFP limesema linashughulikia matatizo ya utapia mlo na usalama wa chakula ambayo ni changamoto kubwa kwa taifa hilo.

WFP inatumia program maalumu za kitaifa na operesheni za misaada.Lengo kubwa ni kupunguza tatizo sugu la usalama wa chakula kusaidia elimu ya msingi na lishe na kuboresha mikakati ya kukabiliana na majanga ya asili kwa jamii za nchi hiyo.

WFP inasema mwaka huu inalenga kuwasaidia watu milioni moja ikiwa ni pamoja na kugawa mlo mashuleni kwa watoto 215,000 katika maeneo yaliyoathirika saana na ukosefu wa chakula.

 

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Septemba 2016
T N T K J M P
« ago    
 1234
567891011
12131415161718
19202122232425
2627282930