Ban na waziri wa biashara na ushirikiano wa Uholanzi wajadili msaada kwa Syria

Kusikiliza /

Katibu  Mkuu wa Umoja wa Mataifa leo amuwa na majadiliano na Bi . Lilianne Ploumen, waziri wa ushirikiano wa biashara ya nje na maendeleo wa Uholanzi.

Ban ameishukurui serikali ya Uholanzi kwa msaada mkubwa kwa maendeleo ya kimataifa  na shughuli nyingi za muda mrefu za kimaendeleo kwenye Umoja wa mAtaifa.

Wawili hao wamejadili hatua zilizopigwa na Uholanzi katika kuafikia malengo ya maendeleo ya milenia, kazi iliyosalia kukamilisha azma hiyo na ajenda za kuzipa kipaumbele baada ya mwaka 2015.

Pia Katibu Mkuu na waziri huyo wamebadilisha mawazo kuhusu masuala ya MalinaSyriana hali ya Maziwa Makuu. Na mwisho Ban ameishukuru serikali ya Uholanzi kwa msaada wake kwa wakimbizi na wahanga wa vita vyaSyria.

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Agosti 2017
T N T K J M P
« jul    
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
28293031