Nyumbani » 30/04/2013 Entries posted on “Aprili 30th, 2013”

Simu za viganjani kuboresha elimu ya msingi Nigeria

Kusikiliza / simu za kiganjani

Shirika la Umoja  wa Mataifa la la Elimu, Sayansi na Utamaduni, UNESCO linashirikiana na wadau wake kuboresha elimu ya msingi nchini Nigeria kupitia teknolojia ya simu ya kiganjani.  Mratibu wa mradi huo kutoka UNESCO Steven Vosloo amesema kupitia simu za viganjani ambazo kwa sasa karibu kila mtu anamiliki nchini humo, walimu watapokea ujumbe wa masomo [...]

30/04/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UNSMIL yafuatilia mwenendo wa maandamano ya wananchi Libya

Kusikiliza / Maandamano nchini Libya

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa Libya UNSMIL unafuatilia kwa karibu hali ya sintofahamu inayoendelea nchini humo ambapo katika siku za hivi karibuni kumekuwa na maandamno mjini Tripoli, kuzunguka majengo ya wizara na taasisi nyingine za serikali. Akiongea na waandishi wa habari mjini New York msemaji wa Umoja wa Mataifa Martin Nesirsky amesema japo hawezi kueleza [...]

30/04/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Mzozo nchini Syria wasababisha mkurupuko wa ugonjwa wa surua

Kusikiliza / Mzozo Syria unaadhiri huduma za afya nchini

Shirika la Kuhudumia Watoto katika Umoja wa Mataifa, UNICEF, limesema mzozo unaoendelea nchini Syria umeharibu vibaya mfumo wa afya, ikiwemo programu ya kitaifa ya utoaji chanjo. Joshua Mmali anayo zaidi kuhusu hali ya Syria   (TAARIFA YA JOSHUA) Zoezi kubwa la utoaji chanjo linaendelea kwenye nchi walioko wakimbizi wa Syria kwa lengo la kuzuia mkurupko [...]

30/04/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UNHCR yaonya dhidi ya kuwalazimisha wakimbizi wa CAR kurudi makwao katika mazingira ya ghasia

Kusikiliza / UNHCR yaonya kuhusu kuwarudisha wakimbizi wa CAR makwao

Shirika la Umoja wa Mataifa la wakimbizi, UNHCR, limesema kwamba wakimbizi waliokimbia mapigano Jamhuri ya Afrika ya Kati hawapaswi kulazimishwa kurudi nyumbani. Joseph Msami na taarifa zaidi. (SAUTI YA MSAMI)  Shirika hilo linasema bado hali ya usalama nchini humo ni tete, huku kukiwa na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu na kuzorota kwa hali ya [...]

30/04/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Bi Robinson ahitimisha ziara DRC

Kusikiliza / Mary Robinson

Mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwenye ukanda wa Maziwa Makuu, Bi Mary Robinson, ambaye amehitimisha ziara yake katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, DRC hii leo, amesema kuwa umuhimu wa ziara yake nchini humo imekuwa ni kusikiliza na kuwa na mazungumzo ya wazi na pande zote husika, ili kuhakikisha makubaliano ya [...]

30/04/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mkutano wa kwanza wa ILO wafanyika Myanmar tangu kupitishwa sheria ya uhuru wa kukusanyika

Kusikiliza / Mkutano wa kwanza wa shirika la ILO, Mynmar

Mwaka mmoja baada ya serikali ya Myanmar kupitisha sheria za masuala ya kazi wajumbe kutoka mashirika 500 ya kazi wamekusanyika kwenye mkutano wa maalumu kujadili masuala ya ujuzi kazini , maamuzi ya pamoja na afya na usalama kazini miongono mwa ajenda nyingi zilizoandaliwa ambazo ni muhimu kwa wafanyakazi nchini humo. Naibu mkurugenzi wa ILO katika [...]

30/04/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Wahamiaji wanaorejea na wakimbizi wa Chad wahaha msimu wa mvua: IOM

Kusikiliza / Msimu wa mvua ukitarajiwa, hali ya wakimbizi yahofiwa, Chad

Wakati msimu wa mvua unapotarajia kuanza mwezi ujao nchini Chad, hali ya maelfu ya wakimbizi na wahamiaji waliokwama katika vituo vinne vya mpaka wa Chad inaongeza kutia wasiwasi. Yapata wahamiaji 25,000 wa Chad wamekwama kwenye kituo cha Tissi, mashariki kwenye mpaka na Sudan, baada ya kukimbia mapigano ya kikabila kati ya jamii za kiarabu za [...]

30/04/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UNRWA yalaani kutawanywa kwa wakimbizi wa Kipalestina Syria

Kusikiliza / Mzozo Syria umewaathiri wakimbizi wa Kipalwestina

Wakimbizi wa Kipalestina walioko nchini Syria wanauawa, kujeruhiwa na kutawanywa kwa kiasi kikubwa kuliko wakati mwingine wowote wakati vita vikiendelea kuwaathiri wakimbizi katika makambi yote nchini humo. Kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la msaada kwa wakimbizi wa Kipalestina UNRWA takribani wakimbizi wa Kipalestina 235,000 wametawanywa na machafuko ndani ya Syria. UNRWA inasema [...]

30/04/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

IOM yaendesha mafunzo kwa wafanyabiashara wadogo wa Ethiopia

Kusikiliza / Shirika la IOM latoa mafunzo kwa wakimbizi wa Ethiopia

Shirika la kimataifa linalohusika na uhamiajI IOM, limefanikisha mpango wa utoaji mafunzo ya kibiashara kwa raia wa Ethiopia waliorejea nchini humo kwa hiari kutoka Misri na Libya Mafunzo hayo yaliyodumu kwa muda wa siku tano yaliwaleta pamoja wahitimu 26,ambao walipewa ujuzi katika maeneo ya ujasiria mali na mbinu za uanishwaji wa biashara. Akizungumzia mafunzo hayo, [...]

30/04/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Ban ashutumu mauaji ya Naibu wakili wa serikali Somalia

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon

  Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon ameshutumu mauaji ya Naibu wakili wa serikali nchini Somalia, Ahmed Malim Sheikh Nur yaliyotokea mwishoni mwa wiki mjini Mogadishu na ametua salamu za rambirambi kwa familia ya marehemu.  Bwana Ban amekaririwa na msemaji wake akieleza wasiwasi wake juu [...]

30/04/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Novemba 2017
T N T K J M P
« okt    
 12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
27282930