Nyumbani » 20/04/2013 Entries posted on “Aprili 20th, 2013”

Kongamano la misitu latamatika kwa hatua madhubuti:UM

Kusikiliza / Kongamano la misitu lamalizika

Kongamano la misitu la Umoja wa mAtaifa limekamilisha kikao chake cha kumi mjini Istanbul Uturuki mapema JUmamosi ya leo kwa kuafikiana hatua kadhaa za kuimarisha udhibiti endelevu wa misitu na kuamua kufikiria hatua ya kuanzisha mfuko maalumu wa hiyari wa kimataifa ili kusaidia kutekeleza muafaka huo. Kongamanohiloambalo limekutana kwa mara ya kwanza nje ya makao [...]

20/04/2013 | Jamii: Taathira za Mabadiliko ya Hali ya Hewa | Kusoma Zaidi »

UM na benki za kikanda wajadili jinsi ya kuchochea kasi ya maendeleo ya milenia

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa UM Ban Ki-Moon katika kikao kuhusu maendeleo endelevu

Mikutano ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon huko Washington D.C imemkutanisha na marais wa benki za kikanda duniani akiwemo wa Benki ya maendeleo ya Afrika Donald Kaberuka na wa benki ya ukarabati na maendeleo ya Ulaya Suma Chakrabati ambapo wamezungumza vile ambavyo pande mbili hizo zitachochea kasi ya kufikia malengo ya maendeleo [...]

20/04/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Agosti 2014
T N T K J M P
« jul    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031