Nyumbani » 11/04/2013 Entries posted on “Aprili 11th, 2013”

Ban akutana na Obama, masuala ya Syria, DPRK yapaziwa sauti zaidi

Kusikiliza / Wakati wa mkutano, Katibu Mkuu UM, Ban Ki-moon na rais Obama

Katika Ikulu ya Washington DC hii leo Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amekuwa na mazungumzo na Rais Barack Obama yaliyojikita juu ya Syria, Jamhuri ya kidemokrasia ya watu wa Korea, DPRK na mchango wa Marekani katika Umoja wa Mataifa. Kuhusu Syria Bwana Ban amesema amemsihi Rais Obama kudhihirisha uongozi katika kushirikiana na [...]

11/04/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

G-8 yaunga mkono jitihada za UM dhidi ya ukatili wa kingono

Kusikiliza / Zainab Hawa Bangura

  Unaweza kuelezea vipi mantiki ya kunajisiwa watoto wenye umri wa kati ya miezi Sita hadi mwaka mmoja? Hiyo ni hoja aliyoitoa Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya ukatili wa kingono kwenye migogoro, Zainab Hawa Bangura alipohutubia mawaziri kutoka kundi la G8, huko London, Uingereza walipokutana kupitisha azimio la kuzuia [...]

11/04/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UNHCR yapanua fursa ya elimu ya juu kwa wakimbizi

Kusikiliza / Nembo ya UNHCR

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR kwa kushirkiana na shirika la huduma za wakimbizi la Jesuits, JRS linapanua wigo wa fursa ya elimu ya juu kwa wakimbizi na watu wengine waliofurushwa makwao kuweza kupata elimu  ya juu. Elimu hiyo itakayotolewa kwa njia ya mtandao na madarasani inafuatia makubaliano kati ya pande mbili [...]

11/04/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ban afanya mkutano na rais wa Serbia Tomislav Nikolić

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa UM Ban Ki-moon

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amekutana na rais wa Jamhuri ya Serbia Tomislav Nikolić ambapo walizungumzia mjadala wa baraza kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu wajibu wa mahakama ya kimataifa ya uahlifu wa kivita kenye mapatano.Katika mazungumzo hayo Bwana Ban alirejelea kauli alioitoa kwenye mkutano huo ya kwamba Umoja wa Mataifa umejizatiti [...]

11/04/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Wanawake wa ukanda, Sahel, wakutana Ubelgiji

Kusikiliza / Wakaazi wa eneo la Sahel barani Afrika

Wanawake wa ukanda wa Sahel wamekutana mjini Brussels Ubelgiji katika kongamano la kujadili maswala ya kiuchumi na ushiriki wao katika siasa. Mkutano huu ni hatua ya kwanza ya kuhakikisha kuwa sauti za wanawake kutoka eneo la Sahel zinasikika na kuwa maoni yao yanatiliwa maanani. Ungana na Joseph Msami katika ripoti hii ufahamu kwa undani matumaini [...]

11/04/2013 | Jamii: Mahojiano | Kusoma Zaidi »

Kirusi aina ya A(H7N9) cha watia kiwewe wataalamu wa afya

Kusikiliza / Sintofahamu kirusi aina ya A(H7N9)

Shirika la kimataifa linalohusika na afya ya wanyama, OIE limekumbwa na sintofahamu juu ya ugonjwa wa homa ya mafua ya ndege ya kirusi aina ya A(H7N9) ambacho hadi sasa kimesababisha vifo vya watu Kumi nchini China. Sintofahamu hiyo inatokana na taarifa ya kwamba kuku waliothibitika na kirusi hicho na pia kushukiwa kuwa chanzo cha maambukizi [...]

11/04/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Bidhaa za Maziwa zainua bei za vyakula mwezi Machi:FAO

Kusikiliza / Bidhaa zitokanazo na maziwa

Shirika la Umoja wa Mataifa la chakula na Kilimo, FAO limesema kiwango cha bei za vyakula kwa mwezi uliopita wa Machi kiliongezeka angalau kwa asilimia Moja ikilinganiswa na mwezi uliotangulia wa Februari na kichocheo ni bidhaa zitokanazo na maziwa. Jason Nyakundi anamulikia zaidi habari hiyo.Makadirio ya Shirika la kilimo na mazao la Umoja wa Matataifa [...]

11/04/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UNESCO kusaidia radio za kijamii Uganda

Kusikiliza / Wanachama wa COMNETU

Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu,Sayansi na Utamaduni, UNESCO, litatia shime juhudi za vyombo vya habari vya kijamii nchiniUgandakatika kutimiza wajibu wa vyombo hivyo kwa maendeleoa ya jamii nchini humo.UNESCO itadhamini uzinduzi rasmi wa Mtandao wa radio za kijamii nchini Uganda  COMNETU tukio litakalowaleta pamoja wadau wa vyombo hivyo ikiwemo Tume ya mawasiliano, Chama [...]

11/04/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Misitu na sekta ya misitu vyachangia uchumi unaojali mazingira

Kusikiliza / Misitu

Kuna haja ya kuweka vyema kumbukumbu za mchango wa kijamii na kiuchumi utokanao na misitu kwa maendeleo ya binadamu . Hayo yameelezwa leo katika kongamano la Umoja wa Mataifa la mistu linaolendelea huko Istanbul Uturuki. Kongamanohilolinafanyika katika wakati muafaka hasa ukizingatia matokeo ya mkutano wa Rio+20 na mapendekezo ya kongamano hilo kuhusu ufadhili na maendeleo [...]

11/04/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Uwepo wa mamia ya makundi madogo barani Afrika hatarini

Kusikiliza / Rita Izsák

Mtaalamu huru wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki ya makundi madogo Rita Izsák ameonya kuwa mamia ya makundi ya aina hiyo barani Afrika yanatishiwa uwepo wao na hivyo serikali husika pamoja na jumuiya ya kimataifa zichukue hatua za dharura. Ameibua hoja hiyo kwenye mkutano wa 53 wa Tume ya haki za binadamu ya Umoja wa [...]

11/04/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

UM umetoa wito kuongeza vikosi vya usalama, Somalia

Kusikiliza / Augustine Mahiga

Umoja wa Mataifa umetoa wito wa kuongezwa vikosi vya usalama nchini Somalia kwa ajili ya kukabiliana na masuala na wanamgambo wa kundi la alshaabab ambao hivi karibuni walisambaratishwa katika ngome zao.Wito huo umetolewa na Mwakilishi maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia Balozi Augustine Mahiga wakati alipokutana na waandishi wa habari jijiniDar [...]

11/04/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ban kuwa na mazungumzo na Obama hii leo

Kusikiliza / Katibu Mkuu Ban Ki-moon atafanya mazungumzo na Rais Obama,Marekani

  Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon baadaye hii leo atakuwa na mazungumzo na Rais Barack Obama hukoWashingtonDC. Miongoni mwa ajenda za mazungumzoyaoni hali ya sintofahamu huko rasi yaKoreawakati huu ambapo Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu waKoreainaendeleza vitisho vya kutaka kufanya jaribio la silaha za nyuklia kinyume na maazimio ya Baraza la Usalama. [...]

11/04/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Kuna mpango mpya wa kutokomeza kichomi na kuhara kwa watoto:WHO /UNICEF

Kusikiliza / vaccine child

Mashirika mawili ya Umoja wa Mataifa yamezindua mpango mpya wa kutokomeza vifo vya watoto vitokanavyo na kuhara na nimonia au kichomi katika muongo mmoja ujao. Flora Nducha ameandaa taarifa hii (TAARIFA YA FLORA NDUCHA) Mpango huo wa pamoja wa kuzuia na kudhibiti nimonia na kuhara wa shirika la afya WHO na lile la kuhudumia watoto [...]

11/04/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031