Nyumbani » 10/04/2013 Entries posted on “Aprili 10th, 2013”

Vizuizi vipya Ukanda wa Gaza vyatia wasiwasi: UM

Kusikiliza / Ukanda wa Gaza

Kufuatia kuzorota kwa hali ya usalama huko Ukanda wa Gaza katika wiki za karibuni, Israeli ilitangaza kuimarisha vizuizi vya watu na mizigo katika eneo hilo ikiwemo kufunga kivuko cha Kerem Shalom. Hatua hiyo ya Israel imeibua wasiwasi ndani ya Umoja wa Mataifa ambapo mratibu wake wa masuala ya kibindamu James Rawley, amesema jambo hilo litasababisha [...]

10/04/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Hammarskjöld akumbukwa alivyojitolea kulinda amani

Kusikiliza / Dag Hammarskjöld, Katibu Mkuu wa UM 1953-1961

Umoja wa Mataifa leo umekuwa na kumbukumbu maalum ya miaka 60 tangu kula kiapo kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa umoja huo Dag Hammarskjöld aliyefariki dunia katika ajali ya ndege mwaka 1961 wakati akielekeaCongokwenye masuala ya amani. Shughuli hiyo imehudhuriwa na viongozi mbali mbali akiwemo Katibu Mkuu wa sasa Ban Ki-Moon ambaye katika hotuba yake amesema Hammarskjöld  [...]

10/04/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ban ahuzunishwa na tetemeko la ardhi huko Iran

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa UM, Ban Ki-moon

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amehuzunishwa na maafa na uharibifu wa mali uliosababishwa na tetemeko la ardhi la ukubwa wa Sita nukta Tatu katika kipimo cha richa hukoIran.Ban ametuma rambi rambi zake  kwa serikali ya  Iran na kwa watu waIranna familia zilizopoteza jamaa. Bwana Ban amesema Umoja wa mataifa uko tayari kuandaa [...]

10/04/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Malawi kupunguza uzalishaji wa gesi chafu itokanayo na ukataji miti

Kusikiliza / Msitu

Malawi ni moja ya nchi nne za Jumuiya ya maendeleo ya nchi za Kusini mwa Afrika SADC kuwa na mpango maalumu wa kupunguza uzalishaji wa gesi chafu itokanayo na ukataji mitina uharibifu wa misitu, yaani REDD, pia ufuatiliaji, utoaji taarifa na uthibitishaji wa suala hilo. Hayo yamesemwa na waziri wa mazingira na udhibiti wa mabadiliko [...]

10/04/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mkutano wajadili nafasi ya wanawake katika kudhibiti migogoro Sahel

Kusikiliza / Wakazi wa Ukanda wa Sahel barani Afrika

Mkutano ni hatua ya kwanza ya kuhakikisha kuwa sauti za wanawake kutoka eneo la Sahel zinasikika na kuwa maoni yao yanatiliwa maanani. Mjumbe maalum wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa katika eneo la Sahel Romano Prodi anasema kuwa wanawake katika eneo la Sahel  watakuwa kiungo muhimu katika utulivu wa eneohilo. Mjumbe kutoka kwa Jumuiya ya [...]

10/04/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Uchumi wa nchi zenye kipato cha chini umeimarika mara dufu-IMF

Kusikiliza / world-economic-outlook-300x257

Uchambuzi uliofanywa na jopo la wataalamu wa fuko la fedha duniani IMF unaonyesha kuwa nchi ambazo zinatajwa kuwa katika kiwango cha kipato cha chini, zimeimarika na kufanya vizuri katika kipindi cha miongo miwili iliyopita. Wachambuzi hao ambao wametoa hali ya mwelekeo ya uchumi wa dunia, wamesema mataifa hayo yenye kipato cha hali ya chini yamefanakiwa [...]

10/04/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Kudorora kwa kiwango cha ukuaji biashara kutaendelea kushuhudiwa 2013:WTO

Kusikiliza / Nembo ya WTO

Kiwango cha ukuaji wa biashara katika mwaka 2012 kinaripotiwa kufikia asilimia 2.0 ikiwa ni chini dhidi ya kile kilochoshuhudiwa mwaka mmoja nyuma yaani 2011 ambacho kilikuwa kwa asilimia 5.2. Hali hiyo ya kusua sua kwa kukua kwa biashara duniani inatazamiwa pia kushuhudiwa mwaka huu 2013,ambako kiwango chake kinatazamia kufikia asilimia  .3 3 huku bara la [...]

10/04/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Baraza Kuu lajadili mfumo wa haki dhidi ya jinai na maridhiano

Kusikiliza / Vuk Jeremic

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa leo limekuwa na mjadala kuhusu nafasi ya mfumo wa kimataifa wa haki kwa makosa ya jinai kwenye maridhiano. Assumpta Massoi na ripoti kamili.  (RIPOTI YA ASSUMPTA)  Ni kwa jinsi gani mfumo wa kimataifa wa haki kwa makosa ya jinai unaweza kuleta maridhiano baada ya mgogoro,hilolilikuwa swali ambapo Rais wa [...]

10/04/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Je Maendeleo ya hali ya mtoto katika nchi tajiri yako hatarini? UNICEF

Kusikiliza / child in Europe

Utafiti uliozinduliwa leo na ofisi ya utafiti ya shirika la Umoja wa mataifa la kuhudumia watoto UNICEF kuhusu maendeleo ya hali ya mtoto katika mataifa tajiri , umebaini kwamba Uholanzi na nchi zingine nne za zikiwemo za Scandnavia za Finland, Iceland, Norway na Sweden kwa mara nyingine zinashika nafasi ya juu katika orodha huku nnchi [...]

10/04/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mateso yaghubika wafanyakazi wahamiaji Mashariki yaKati: ILO

Kusikiliza / ILO

Shirika la kazi duniani, ILO limetoa ripoti yake inayoonyesha madhila yanayowakumba wafanyakazi wahamiaji huko Mashariki ya Kati. Ripoti hiyo inasema kuwa zaidi ya wafanyakazi Laki Sita hutumikishwa katika kazi mbali mbali na ukatili wa kingono baada ya kunasa kwenye mtego wa kulaghaiwa. ILO inasema kuwa ijapokuwa ukanda huo una idadi kubwa ya wafanyakazi wahamiaji, bado [...]

10/04/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031