Nyumbani » 08/04/2013 Entries posted on “Aprili 8th, 2013”

Ongezeko la ghasia linaathiri watu Iraq, yaonya mashirika ya usalama ya UM

Kusikiliza / Kufuati mashumbulizo ya bomu Iraq (faili)

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Iraq umeelezea wasi wasi wake kuhusu ongezeko la ghasia katika  nchi hiyo ya Mashariki ya kati ambako takriban zaidi ya raia 200 wamepoteza maisha huku zaidi ya watu 800 wakijeruhiwa katika kipindi cha mwezi mmoja tu. Afisa mkuu wa haki za binadamu katika ofisi ya Umoja wa Mataifa nchini [...]

08/04/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Kundi la awali la uchunguzi Syria kuondoka ndani ya saa 24

Kusikiliza / Katibu Mkuu Ban Ki-Moon katika mkutano huko The Hague

Kikundi tangulizi cha kuchunguza madai ya matumizi ya silaha za kemikali nchiniSyriakinahitimisha maandalizi yake hukoCyprustayari kuelekea nchini humo ndani ya Saa 24. Hiyo ni kauli ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon aliyoitoa huko The Hague, Uholanzi kando ya mkutano unaojadili mkataba wa kimataifa wa kudhibiti silaha za kemikali. Bwana Ban amesema tayari jopohiloliko tayari [...]

08/04/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Mahakama za kimataifa za uhalifu zimedhihirisha hakuna aliye juu ya sheria: Ban

Kusikiliza / Mahakama ya ICC

Marais wa mahakama za kimataifa za uhalifu wamekuwa na mazungumzo na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon huko The Hague Uholanzi ambapo Bwana Ban amesema kazi zilizofanywa na mahakama hizo kwa kipindi cha miongo miwili zimedhihirisha kuwa hakuna mtu yeyote yule aliye juu ya sheria. Amesema uendeshaji wa kesi katika mahakama hizo ikiwemo [...]

08/04/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

DPRK iache vitendo vya kichochezi: Ban

Kusikiliza / Bendera ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Korea, DPRK

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon amesema ana taarifa ya uwezekano wa kwamba Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu waKorea, DPRK inajiandaa kufanya jaribio la nyuklia. Akizungumza na waandishi wa habari hii leo mjini The Hague, Uholanzi, Bwana Ban amesema hata hivyo hana taarifa mahsusi juu ya sualahilokwa wakati huu lakinikamaambavyo amerejelea asubuhi ya leo [...]

08/04/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Syria itoe ushirikiano kwa jopo la uchunguzi wa silaha za kemikali: Ban

Kusikiliza / Katibu Mkuu wa UM Ban Ki-Moon

Katibu Mkuu wa Umoja  wa Mataifa Ban Ki-Moon amezungumza kwenye mkutano wa nchi wanachama wa mkataba wa kimataifa wa kudhibiti silaha za kemikali huko The Hague, na kurejelea wito wake kwa serikali ya Syria kutoa ushirikiano wa kutosha kwa jopo maalum alilounda kuchunguza madai ya matumizi ya silaha za kemikali nchini humo. Halikadhalika amesema ni [...]

08/04/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Uhifadhi wa misitu ni suala nyeti katika maendeleo ya kiuchumi

Kusikiliza / Hali  ya misitu baada ya migogoro

Mkutano wa kimataifa kuhusu mustakhbali wa misitu duniani umeanza hii leo huko Istanbul Uturuki ambapo ajenda kuu ni jinsi gani uhifadhi wa misitu unaweza kusaidia kuchochea maendeleo ya kiuchumi. Theluthi moja ya eneo la dunia ni misitu na takribani watu bilioni Moja na Nusu wanategemea misitu kwa maisha yao ya kila siku. Msaidizi wa katibu [...]

08/04/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Katy Perry aunga mkono juhudi za UNICEF na kutembelea Madagascar

Kusikiliza / Katy Perry

Mwanamuziki wa kimarekani ambaye ametambulika pia kimataifa katy Perry ametembelea Madagasca ikiwa ni juhudi za kuleta uelewa kuhusiana na hali jumla za watoto katika taifa ambalo bado linaandamwa na hali ya umaskini.  Madagasca kwa sasa inaanza kuumarika upya kisiasa tangu kujitokeza kwa vute nikivute iliyozuka mwaka 2009 iliyoshuhudiwa baadhi ya wanasiasa wakiondoshwa madarakani kwa nguvu. [...]

08/04/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Mgogoro wa uchumi wachochea ukosefu wa ajira Ulaya:ILO

Kusikiliza / ukosefu wa ajira

  Mkutano wa  tisa  wa shirika la kazi duniani ILO kanda ya Ulaya umeanza rasmi mjini Oslo huku wito ukitolewa wa kutaka kuwepo kwa sera zinazoweza kuchangia kubuniwa kwa ajira zilizo bora. Waziri Mkuu nchini Norway  Jens Stoltenberg anasema kuwa mgogoro wa kiuchumi  barani Ulaya umesababisha kuwepo kwa ukosefu mkubwa wa ajira. Anasema kuwa Watu [...]

08/04/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Wakimbizi Ethiopia wanajichagulia makazi na kutoa fursa za ajira

Kusikiliza / Wakimbizi Dollo ado

  Shirika la Umoja wa mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR limesema maisha kwenye mahema katika kambi ya wakimbizi ya Dollo ado Ethiopia yalikuwa magumu na hatihati kwa muda mrefu. Lakini sasa yamebadilikabaada ya wakimbizi kupata makazi mapya miongoni mwao ni bi Mako na wanawe sita.UNHCR na washirika wake wamejenga makazi 7200 ya muda katika kambi [...]

08/04/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Global Fund kukusanya bilioni 15 kukabili ukimwi, kifua kikuu na malaria

Kusikiliza / Global Fund

Mfuko wa kimataifa yaani Global fund ambao unapambana na ukimwi, kifua kikuu na malaria umetangaza kwamba una lengo la kuchangisha dola bilioni 15 ili uweze kuzisaidia ipasavyo nchi katika vita dhidi ya maradhi hayo matatu katika kipindi cha mwaka 2014 hadi 2016. Global fund imejizatiti kuchagiza mafanikio ya vita dhidi ya ukimwi, kifua kikuu na [...]

08/04/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Margaret Thatcher hatunaye tena:

Kusikiliza / Margareth Thatcher

Waziri mkuu wa zamani wa Uingereza Baronnes Thatcher amefariki dunia  (SAUTI YA MARGARET THATCHER) "Rais wa Baraza , mara kwa mara tumezungumza  dhdi ya ugaidi, lakini bado kuna nchi miongoni mwetu ambazo zinahifadhi na kuwapatia mafunzo magaidi, na nyingine ambazo ziko tayari kuunga mkono ugaidi badala ya mazungumzo ya amani. Huu ni usaliti mkubwa dhidi [...]

08/04/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

ICC yachukizwa na mwenendo wa vyombo vya habari Kenya kuhusu ushahidi

Kusikiliza / Fatou Bensouda, Mwendesha Mashtaka Mkuu wa ICC

Ofisi ya Mwendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya uhalifu wa kivita, ICC huko The Hague, Uholanzi imesema inasikitishwa na mwenendo wa kishabiki wa vyombo vya habari nchiniKenyakuhusu hadhi ya mashahidi wa kesi. Taarifa ya ICC imesema ushirikiano wa mashahidi bado ni kipaumbele kikuu cha ICC na kwamba ofisi hiyo haitafuata shuku zozote za [...]

08/04/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UNAMID yakaribisha makubaliano ya amani kati ya Sudan na JEM-Sudan

Kusikiliza / Mohamed Ibn Chambas

Mkuu mpya wa ujumbe wa pamoja wa Muungano wa Afrika na Umoja wa Mataifa Darfur (UNAMID) Mohamed Ibn Chambas, amekitaja kitendo cha kutiwa saini mkataba wa amani kati ya Sudan na kundi la Justice and Equality Movemnet (JEM-Sudan) kama hatua kubwa katika kutafuta amani Darfur. Bwana Chambas amesema hayo mjini Doha, kufuatia hafla ya kutia [...]

08/04/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031