Nyumbani » 07/04/2013 Entries posted on “Aprili 7th, 2013”

Ban na waziri wa biashara na ushirikiano wa Uholanzi wajadili msaada kwa Syria

Kusikiliza / Ban Ki-moon

Katibu  Mkuu wa Umoja wa Mataifa leo amuwa na majadiliano na Bi . Lilianne Ploumen, waziri wa ushirikiano wa biashara ya nje na maendeleo wa Uholanzi. Ban ameishukurui serikali ya Uholanzi kwa msaada mkubwa kwa maendeleo ya kimataifa  na shughuli nyingi za muda mrefu za kimaendeleo kwenye Umoja wa mAtaifa. Wawili hao wamejadili hatua zilizopigwa [...]

07/04/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Ban akutana na malkia Beatrix wa Uholanzi

Kusikiliza / BAN&BEATRIX2

Katibu Mkuu wa Umoja Umoja wa mataifa Ban Ki-moon leo amekutana na Malkia Beatrix wa Uholanzi. Ban ametoa shukrani zake kwa mchango muhimu unaotolewa na Uholanzi katika kufanikisha kazi za Umoja wa Mataifa. Pia ameshukuru msaada utolewao na Prince Willem-Alexander na Princess Maxima katika kusaidia miradi ya kimataifa ya maendeleo na juhudi zao za kusaidia [...]

07/04/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Umoja wa Mataifa waongoza kampeni ya kupima shinikizo la damu

Kusikiliza / Mkuu wa WHO Margaret Chan akipima shinikizo la damu

Shirika la Afya Duniani, WHO limetangaza shinikizo la damu kuwa zingatio kuu wakati huu dunia ikiadhimisah Siku ya Afya Duniani. Kwa kutambua umuhimu wa hilo, na kama hatua ya kutoa mfano, Umoja wa Mataifa umeandaa zoezi maalum la upimaji wa shinikizo la damu kwa  wafanyakazi wake na watu wengine mjini New York, na kwingineko mashirika [...]

07/04/2013 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Shinikizo la damu tishio kwa nchi maskini na tajiri: Ban

Kusikiliza / Mhudumu wa afya akimpima mwananchi msukumo wa damu

Wakati mataifa hii leo yanaadhimisha siku ya afya duniani, shinikizo la damu limetajwa kuwa chanzo cha magonjwa mengi yanayosababisha vifo duniani ambapo Katibu Mkuu Ban Ki-Moon amesema hali hiyo ya kiafya inakumba wakazi wa nchi maskini na nchi tajiri. Katika ujumbe wake, Bwana Ban amesema shinikizo la damu linatishia zaidi afya ya binadamu kwa kuwa inachukua [...]

07/04/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Umoja wa Mataifa kukumbuka mauaji ya kimbari Rwanda

Kusikiliza / Mauaji ya kimbari Rwanda

Leo ni siku ilotengwa na Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kumbulumbu ya mauaji ya kimbari yalotokea miaka 19 iliyopita nchini Rwanda. Watu wapatao laki nane waliuawa nchini Rwanda katika kipindi cha siku mia moja mnamo mwaka 1994 nchini Rwanda. Katika kuadhimisha siku hii, Umoja wa Mataifa na watu kote duniani hufanya hafla maalum zinazojumuisha [...]

07/04/2013 | Jamii: Habari za wiki, Mahojiano | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031