Nyumbani » 06/04/2013 Entries posted on “Aprili 6th, 2013”

Ban na Waziri wa Uchina wajadili hali kwenye rasi ya Korea

Kusikiliza / Ban-China

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, hii leo amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Uchina, Bw. Wang Yi, na kumpa risala ya hongera kwa kuteuliwa kwake hivi karibuni. Katika mazungumzo hayo, Bwana Ban na Bwana Wang wamejadilina kuhusu matukio ya hivi karibuni kwenye rasi [...]

06/04/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Suala la ubakaji makambini Somalia lamulikwa na UM

Kusikiliza / Meeting with Hon. Ms. Haja Zainab Bangura, Minister of Health of Sierra Leone

Takriban mwezi mmoja tangu mkutano uliojadili  hadhi ya wanawake ufanyike mjini New York sanjari na maadhimisho ya siku ya wanawake duniani yaliyojikita katika mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia, Mwakilishi maalumu wa Umoja wa mataifa kuhusu ukatili wa kimapenzi kwenye maeneo ya vita Bi Hawa Bangura amejikita katika mapambano hayo. Ziara hii inakuja wakati huu [...]

06/04/2013 | Jamii: Makala za wiki | Kusoma Zaidi »

Tumejifunza kutoka Rwanda, tunachukua hatua: Ban

Kusikiliza / Moja ya maeneo ya kumbukumbu ya mauaji ya kimbari nchini Rwanda

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon ametoa salamu kwa kumbukumbu ya miaka 19 tangu mauaji ya kimbari ya Rwanda na kusema yaliyotokea nchini humo ni fundisho na kwamba ofisi yake inachukua hatua kila siku kuhakikisha tukio kamahilohalitokei tena. Bwana Ban amesema mathalani mshauri wake anayehusika na hatua za kuepusha mauaji ya kimbari, anafuatilia viashiria [...]

06/04/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031