Nyumbani » 04/04/2013 Entries posted on “Aprili 4th, 2013”

Baraza la Usalama lafurahishwa na mazungumzo ya kitaifa Yemen

Kusikiliza / Balozi wa Rwanda UM

Wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, leo wameelezea kufurahishwa na mazungumzo ya kitaifa yanayoendelea nchini Yemen, na ambayo yametajwa kuwa jumuishi. Mazungumzo ya kitaifa Yemen talianza mnamo Machi 18. Kikao cha leo cha Baraza la Usalama pia kimehutubiwa na Mwakilishi Maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Yemen, Ben Omar Jamal. Kwa mujibu [...]

04/04/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Njaa na utapiamlo vinaweza kutokomezwa: Ban

Kusikiliza / ban-ki1

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, amesema leo kwamba ulimwengu unaweza kutokomeza njaa na utapiamlo kwa sera nzuri na uwekezaji wenye busara. Bwana Ban amesema hayo wakati wa kufunga kikao cha mashauriano ya ngazi ya juu kuhusu njaa, usalama wa chakula na lishe katika muktadha wa maendeleo baada ya mwaka 2015, ambacho kimemalizika [...]

04/04/2013 | Jamii: Habari za wiki, Malengo ya maendeleo ya milenia, Rio+20 | Kusoma Zaidi »

Kuelekea kikomo cha MDGs Burundi yapiga hatua, elimu

Kusikiliza / Masomo, Burundi

Ikiwa kikomo cha malengo ya milenia kinakaribia mwaka 2015 nchi mbalimbali zinajitahidi kufikia malengo hayo ambapo  nchini Burundi nchi iliyoko Afrika Mashariki, imepiga hatua katika kuandikisha elimu ya msingi kwa watoto wanaosatahili. Mathalani takwimu zinonyesha kwamba mwaka 2004 wavulana na wasichana walioandikishwa kuanza elimu ya msingi nchini Burundi ni asilimia 57. Takwimu za serikali pia [...]

04/04/2013 | Jamii: Mahojiano, Malengo ya maendeleo ya milenia | Kusoma Zaidi »

Uchina yatajwa kuongoza kama chanzo cha watalii kote duniani

Kusikiliza / Utalii

Kwa karne iliyopita Uchina imekuwa  nchii inayowatoa watalii wengi duniani kote kufuatia kuimarika kwa miji, mapato ya juu na kulegezwa kwa masharti ya kusafiri kwenda nchi za kigeni. Idadi ya wasafiri wa kichina kimataifaa imeimarika kutoka millioni 10 mwaka 2000 hadi milioni 83 mwaka 2012, huku matumizi yao ya fedha katika nchi za kigeni yakiongezeka [...]

04/04/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Hali ya usalama Magharibi mwa Cote d'Ivoire bado si shwari sana: Koenders

Kusikiliza / Bert Koenders

Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Cote D'Ivoire Bert Koenders amesema hali bado si shwari sana Magharibi mwa nchi hiyo licha ya kuwepo kwa utulivu. Akizungumza katika mahojiano maalum na Radio ya Umoja wa Mataifa mjini New York, Koenders ametaja mambo makuu matatu yanayosababisha hali hiyo kuwa ni migogoro juu ya [...]

04/04/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Bangura akutana na viongozi wa Kenya na wahanga wa ukatili wa kimapenzi:

Kusikiliza / Bi. Hawa Bangura

Mwakilishi maalumu wa Umoja wa mataifa kuhusu ukatili wa kimapenzi kwenye maeneo ya vita Bi Hawa Bangura leo yuko Nairobi Kenya ambako amekuwa na mkutano na viongozi wa Kenya na vyombo vya habari. Joshua mmali na taarifa kamili. (SAUTI YA JOSHUA MMALI) Akizungumza mjini Nairobi Bi. Bangura  amesema ili kutokomeza ukatili wa kimapenzi ofisi yake [...]

04/04/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Vitisho vya Korea ya Kaskazini vyamtia hofu Ban Ki-moon

Kusikiliza / Bendera ya DPRK

Katibu Mkuu wa Umoja wa mataifa Ban Ki-moon amesema anatiwa hofu na kusumbuliwa na ongezeko la vitisho na mvutano kwenye ghuba ya Korea na hasa vitisho vya Jamhuri ya Kidemokrasia ya watu wa Korea DPRK. Amelitaka taifa hilo kuzingatia maazimio ya baraza la usalama, na kuongeza kuwa baraza hilo limepitisha maazimio matatu ya vikwazo dhidi [...]

04/04/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

UNICEF kushirikiana na Mexico kuwasaidia maskini

Kusikiliza / Nembo ya UNICEF

Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na watoto UNICEF limezindua mpango maalumu nchini Mexico wenye shabaha ya kuzikwamua jamii maskini ikiwemo watoto. Mpango huo ambao umezinduliwa kwa ushirikiano wa pamoja baina ya UNICEF na serikali ya Mexico unatazamiwa kuleta hali njema kwa mamilioni ya familia ambayo yanaandamwa na hali duni ya maisha. Chini ya kichwa [...]

04/04/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Pamoja na kupiga hatua kwenye malengo ya milenia, lakini tatizo la njaa bado ni kubwa-FAO

Kusikiliza / José Graziano da Silva

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la chakula ulimwenguni FAO José Graziano da Silva amesema serikali pamoja na viongozi wa kitaifa wanaowajibu mkubwa wa kuwahakikishia wananchi wao usalama wa chakula. Akizungumza kwenye mkutano unaowakutanisha maafisa wa ngazi za juu wanaomulika mpango wa Umoja wa Mataifa wa kuelekea mwaka 2015, da Silva amesema kimsingi kuwepo kwa malengo ya [...]

04/04/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Madhara ya mabomu ya kutegwa ardhini ni dhahiri: Ban

Kusikiliza / Athari za mabomu ya kutegwa

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon ametoa ujumbe wake wa siku ya ya kuhamasisha na utoaji msaada wa kutokomeza matumizi ya mabomu ya kutegwa ardhini hii leo na kupaza sauti juu ya athari za silaha hizo kwenye maeneo ya migogoro kama vile Mali na Syria. Ametaja madhara hayo kuwa ni yale ya kibinadamu [...]

04/04/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

WFP imeanza kuwalisha watoto wakimbizi wa Syria walioko Jordan na Iraq

Kusikiliza / Watoto, Syria

Shirika la mpango wa chakula duniani WFP limezindua mradi wa kuwalisha watoto mashuleni. Watoto zaidi ya 10,500 ambao ni Wasyiria wanaohudhuria masomo kwenye kambi za wakimbizi za Jordan na Iraq watafaidika na mpango huo wenye lengo la kuboresha lishe na kuhamasisha watoto kuhudhuiria shule. Jordan watoto zaidi ya 6000 wanapokea chakula cha mchana katika shule [...]

04/04/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031