Nyumbani » 03/04/2013 Entries posted on “Aprili 3rd, 2013”

Katibu mkuu amteua Stephen Cutts wa Uingereza mahala pa Warren Sachs

Kusikiliza / Katibu Mkuu UM, Ban Ki-moon

Katibu Mkuuu wa UM Ban Ki-moon amemteua Stephen Cutts wa Uingereza kama msaidizi ofisi kuu ya huduma kwenye idara ya menejimenti. Anachukua nafasi ya Warren Sachs ambaye Katibu Mkuu amemshukuru kwa kujitoa kwa dhati katika majukumu yake. Bw. Cutts ana uzoefu mpana wa Mashirika ya Kimataifa na ana uwezo wa kusimamia mabadiliko yatakayochangia kuimarisha ufanisi. Bw. Cutts ameshika nafasi za [...]

03/04/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Saudi Arabia yasaidia ukarabati wa makazi ya wakimbizi Gaza: UNRWA

Kusikiliza / Moja ya majengo yaliyoharibiwa kutokana na mashambulizi

 Zaidi ya familia 7,000 ya wakimbizi walioko katika ukingo waGazawatapatiwa msaada wa fedha ili kuzifanyia ukarabati nyumba zao zilizoharibiwa wakati wa mashambulizi ya mwezi Novemba mwaka jana. Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhududumia wakimbizi wa Kipalestina UNRWA limepokea kiasi cha dola za marekani milioni 15.6 kutoka kwa mfuko wa Maendeleo wa Saudia Arabia ili [...]

03/04/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Kuelekea siku ya afya duniani, mfumo wa maisha wachochea magonjwa

Kusikiliza / Wakati wa kuadimisha siku ya shinikizo la damu

Takiwmu za shirika la afya duniani WHO zinaonyesha kwamba Kila mtu mzima mmoja kati ya watatu duniani ana ongezeko la shinikizo la damu, hali ambayo inasababisha karibu nusu ya vifo vyote vitokanavyo na kiharusi, na maradhi ya moyo. Takwimu hizi ni kutokana na ripoti mpya ya shirika la afya duniani ambayo pia inasema mtu mzima [...]

03/04/2013 | Jamii: Mahojiano | Kusoma Zaidi »

Baraza la Usalama lajadili Mali na ulinzi wa amani

Kusikiliza / Kikao cha Baraza la usalama

  Mashauriano ya leo ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusuMaliyamezingatia ripoti ya Katibu Mkuu Ban Ki-Moon iliyowasilishwa na Mkuu wa masuala ya siasa ndani ya Umoja huo Jeffrey Feltman. Ripoti hiyo pamoja na kuelezea hali halisi ya usalama na kibinadamu kuwa bado ni mbaya inapendekeza hatua za kuchukuliwa ili mafanikio ya kiusalama [...]

03/04/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Tuhifadhi mazingira, hatuna sayari nyingine ya kukimbilia: Ban

Kusikiliza / Katibu Mkuu Ban Ki-moon na Prince Albert II wa Monaco

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon amezungumza katika  jumba la makumbusho ya Sayansi ya Bahari nchini Monaco na kupongeza vile ambavyo nchi hiyo iko mstari wa mbele kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Bwana Ban aliyeko ziarani barani Ulaya, amesema  sera thabiti zilizopitishwa na nchi hiyo kwa ajili ya kuhamasisha matumizi ya magari ya umeme [...]

03/04/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Kamishina mkuu wa UNHCR akaribisha muafaka mpya wa biashara ya silaha

Kusikiliza / Antonio Guterres

Kamishina Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi Antonio Guterres leo amepongeza hatua ya baraza kuu la Umoja wa Mataifa ya kuidhinisha mkataba wa kimataifa wa biashara ya silaha hapo Jumanne. Amesema wakimbizi wanafahamu gharama za vita zaidi ya mtu mwingine yoyote, kwani kwao na mamilioni ya wakimbizi wa ndani kupitishwa kwa [...]

03/04/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Sheria ya Hungary kudhibiti wasio na makazi yapingwa

Kusikiliza / Magdalena Sepulveda

  Wataalamu wawili wa Umoja wa Mataifa wanaohusika na masuala ya umaskini na makazi wameshutumu mabadiliko ya sheria nchini Hungary inayopiga marufuku mtu kulala kwenye sehemu za umma. Wataalamu hao wa haki za binadamu wametaka serikali ya Hungary kutupilia mbali sheria hiyo kumbatana na uamuzi ulitolewa wa mahakama wa kutaka kutotambuliwa kama kosa hali ya [...]

03/04/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mwakilishi wa UM kuhusu ukatili wa kimapenzi kwenye migogoro azuru Mogadishu:

Kusikiliza / Hawa Bangura

Mwakilishi maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu ukatili wa kimapenzi kwenye maeneo ya vita Zainab Hawa Bangura amewasili Moghadishu ili kuhamasisha na kujadili njia za kukabiliana na tatizo la ukatili wa kimapenzi Somalia , kama anavyoarifu Alice Kariuki. (RIPOTI YA ALICE KARIUKI) Bi Bangura amekutana na maafisa wa Umoja wa mataifa , jumuiya za kijamii [...]

03/04/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Pima shinikizo la damu yako, punguza hatari: WHO

Kusikiliza / upimaji wa shinikizo la damu

Takriban watu bilioni moja kote duniani wanakadiriwa kuathiriwa na shinikizo la damu, hali ambayo inaathiri kila mtu mmoja kati ya watatu wenye umri wa zaidi ya miaka 25. Idadi kubwa zaidi ya watu walioathirika na shinikizo la damu wapo barani Afrika, linakoathiri asilimia 46 ya watu wazima. Kwa mujibu wa WHO, shinikizo la damu ni [...]

03/04/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Idadi ya walioambukizwa homa ya mafua ya ndege China yaongezeka: WHO

Kusikiliza / WHO

Shirika la Afya Duniani, WHO limesema idadi ya wagonjwa waliothibitika kuwa na homa ya mafua ya ndege nchini China imeongezeka kutoka watatu hadi Saba. WHO imesema ugonjwa huo ni aina ya (H7N9) na kwamba mamlaka nchini humo hivi sasa zinafuatilia watu 160 ambao yawezekana walikuwa na mashirikiano ya aina moja au nyingine na wagonjwa hao [...]

03/04/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Umoja wa Mataifa wahofia hali tete ya usalama Israel:Serry

Kusikiliza / Robert Serry

  Mratibu maalumu wa Umoja wa mataifa kwa ajili ya mchakato wa amani ya Mashariki ya Kati Robert Serry amesema anatiwa hofu na hali tete, kufuatia kuanza upya kuvurumishwa maroketi kutoka Gaza kwenda Israel jana na leo asubuhi, na pia kuendelea kwa mvutano dhidi ya suala la wafungwa ambalo halijapata suluhu. Amesema ni muhimu kwa [...]

03/04/2013 | Jamii: Hapa na pale | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Disemba 2017
T N T K J M P
« nov    
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
25262728293031