Nyumbani » 02/04/2013 Entries posted on “Aprili 2nd, 2013”

Kupitishwa kwa mkataba wa kimataifa wa kudhibiti silaha ni ushindi mkubwa: Ban

Kusikiliza / Silaha

Kitendo cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kupitisha mkataba wa kimataifa wa kudhibiti biashara ya silaha, ATT ni ushindi wa dunia nzima na hiyo ni kauli ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-Moon. Katika ujumbe wake, Bwana Ban amesema sasa itakuwa vigumu kwa soko haramu la silaha kushamiri duniani na kwamba wababe wa [...]

02/04/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

 AMISOM yatoa mafunzo ya kijeshi Somalia

Kusikiliza / AMISOM2-300x257

Vikosi vya muungano wa Afrika nchini Somalia AMISOM vimekuwa vikitoa misaada kadhaa ya kijeshi ikiwemo kusaidia katika ulinzi na usalama wa nchi hiyo ambayo imeshuhudia mizozo kwa miongo kadhaa. Misaada ya AMISOM imekwenda mbali  ambapo sasa wanatoa mafunzo ya kijeshi kwa majeshi ya nchi hiyo. Hivi karibuni Umoja wa Ulaya ulitoa msaada wa euro milioni [...]

02/04/2013 | Jamii: Mahojiano | Kusoma Zaidi »

Amani Afrika kuendelea kumulikwa ndani ya Baraza : Rwanda

Kusikiliza / Balozi Eugène-Richard Gasana, Mwakilishi wa kudumu wa Rwanda katika UM

Rais wa Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa kwa mwezi Aprili Balozi Eugène-Richard Gasana ametangaza mpango kazi wakati wa kipindi chake cha mwezi huu wa Aprili ambapo miongoni mwa mambo yatakayomulikwa ni jinsi ya kuzuia migogoro barani Afrika.  Balozi Gasana ambaye ni Mwakilishi wa kudumu wa Rwanda katika Umoja wa Mataifa amewaeleza waandishi wa [...]

02/04/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Mamilioni wameathirika na ugonjwa wa mtindio wa ubongo

Kusikiliza / autism

Ugonjwa wa mtindio wa ubongo unaoathiri ukuaji wa mwili umemulikwa hii leo ambayo ni siku ya kuhamasisha dunia juu ya ugonjwa huo ambao umeenea maeneo yote duniani. Shirika la afya duniani, WHO linaeleza kuwa ugonjwa huo hujitokeza mwanzoni kabisa mwa uhai wa mwanadamu na chanzo ni hitilafu za mishipa ya fahamu ambayo hatimaye huathiri utendaji [...]

02/04/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Hali yazidi kuwa tete kwa wahamiaji nchini Yemen, IOM yarejelea ombi la msaada

Kusikiliza / Jumbe Omari Jumbe

NchiniYemen, shirika la kimataifa la uhamiaji, IOM linaendelea kutoa ombi la kupata dola Milioni Tano kwa ajili ya kusaidia wakimbizi waEthiopianaSomaliawaliokwama nchini humo baada ya kushindwa kuendelea na safari zao za ughaibuni. Mazingira ya kibinadamu ni magumu, wengine wanafariki dunia na wengine hususan wanawake na watoto wako hatarini kukumbwa na ukatili. Uhasama umeshamiri baina ya [...]

02/04/2013 | Jamii: Mahojiano, Mawasiliano mbalimbali | Kusoma Zaidi »

WHO yabaini faida ya kuondosha mafuta kwenye vyakula

Kusikiliza / whohqs3

Kupigwa marufuku aina ya mafuta yaitwayo transfats kuandalia vyakula, kumeelezwa kuwa mojawapo wa njia mwafaka zaidi kukabiliana na baadhi ya magonjwa tishio duniani, lakini pamoja na tija hiyo bado serikali nyingi zimeshindwa kuzingatia hilo. (SAUTI YA GEORGE NJOGOPA)

02/04/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Makambi zaidi yanahitajika kuwahifadhi wakimbizi kutoka Syria: UNHCR

Kusikiliza / unhcrconcernsyrian

Misongamano kwenye kambi waliko wakimbizi kutoka Syria imekuwa ni tatizo kubwa katika utoaji wa misaada kwa mujibu wa Shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR. Kwa sasa UNHCR inatoa wito kwa serikali katika eneo hilo kutoa nafasi kwa ujenzi wa kambi zaidi. Msemaji wa UNHCR Adrian Edwards anasema kuwa huduma za usafi zimekuwa [...]

02/04/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Hatimaye Baraza Kuu lapitisha mkataba wa kudhibiti biashara ya silaha duniani

Kusikiliza / Rais wa Baraza Kuu Vuk Jeremic

Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha nyaraka ya mwisho ya Mkataba wa kimataifa wa kudhibiti biashara ya silaha duniani, ATT ambayo ilishindwa kupitishwa katika mkutano wa mwisho wa mkataba huo mwishoni mwa wiki iliyopita. Rais wa Baraza hilo Vuk Jeremic amewaambia wajumbe kuwa kupitishwa kwa mkataba huo ni jambo muhimu katika kuepusha matumizi ya [...]

02/04/2013 | Jamii: | Kusoma Zaidi »

Ban aitaka DPRK kumaliza mvutano wa nyuklia

Kusikiliza / KM Ban Ki-moon

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon amezungumzia mvutano wa nyukilia katika rasi ya Korea na kusema amesikitishwa na kukua kwa mgogoro huo ambao ameuita usio wa lazima kwa kuwa anaamini hakuna mtu mwenye lengo la kuishambuilia rasi hiyo kutokana na tofauti za mfumo wa siasa na sera za nje. Bwana Ban amewaambia [...]

02/04/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Rwanda yachukua Urais wa Baraza la Usalama kwa mwezi Aprili

Kusikiliza / Balozi Eugène-Richard Gasana

Mzunguko wa nafasi ya Urais wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, kwa mwezi huu wa Aprili umengukia Rwanda ambapo hii leo Mwakilishi wa kudumu wa nchi hiyo katika Umoja wa Mataifa Balozi Eugène-Richard Gasana atawajulisha wawakilishi wa nchi zisio na ujumbe katika baraza hilo mpango kazi wakati wa kipindi chake. Rwanda inachukua urais wa [...]

02/04/2013 | Jamii: Taarifa maalumu | Kusoma Zaidi »

Maiti za wahamiaji waliokwama Yemen kuzikwa mjini Haradh: IOM

Kusikiliza / Raia wa Ethiopia nwalioko Yemen

Hatimaye halmashauri ya mji wa Haradh ulioko Kaskazini mwa Yemen imeridhia kuzika maiti Ishirini na watano ya wahamiaji waliokuwa wamerundikwa katika chumba kimoja mjini humo karibu na ofisi za shirika la kimataifa la uhamiaji, IOM. Hatua hiyo imekuja tarkibani wiki moja baada ya IOM kuripoti taarifa hizo wakati huu ambapo shirikahilolinakabiliwa na ukata na halijaweza kupata [...]

02/04/2013 | Jamii: Habari za wiki | Kusoma Zaidi »

Kipindi Kamili
Kipindi Kamili
Loading the player ...

 

Januari 2018
T N T K J M P
« dis    
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031